LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
ikawachukue na nini sasa na treni au maana ndo usafiri pekee angani akiahuki kituu ila all in all nawachukia wabaguzi [emoji83][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Yani hao wajamaa kama wana ubaguzi hivyo wacha wapigwe tu hamna namna, kimsingi nasikia ukanda wao huko ni wale wazungu ambao bado wanaubaguzi yani kule bado kuna high degree ya racism!!!...compared na nchi kama france na uk.
 
Kama adui kajificha na kukushambulia kutoka kwny makazi ya watu unafikiri utafanyaje
 
Mkuu hii nafikiri hii imekuja baada ya RUSSIA kuhisi usa watakuwa wanapanga shambulizi la makombora na ndio maana nayeye anawaweka tayari vijana wake wa ICBRM(Inter-Continental Balastic-Range Missile)..na amelihisi hilo maara baada ya masaa machache yaliyopita marekani kutoa amri ya kuondoka kwa wafanyakazi wa ubalozi wake na wanadiplomasia wake nchini russia.
 
Waafrika na wahindi wanazuiwa kuingia kwenye Treni kuelekea Poland,iambieni serikali yenu ikachukue watu wake wanateseka

Nimeona Rais wa Nigeria tu akilaani source-BBC
 
Mkuu umechange direction ghafla....
 
Putin anawazoom Kisha anacheka hi hi hi...BHAGOSHA [emoji1787][emoji1787]
 
Anachotaka kufanya urusi Kwa akili yako ni sahihi ??? Huwezi kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye [emoji4]
Kama uyo bwana anahatarisha usalama wangu Lazima nikutwange[emoji2]
 
Hayo mazungumzo ya Belarus yatashindikana tu,hapa solution ni Vita tu,natamani Russia ishinde hii vita. Wakishimdwa kuna madhara makubwa Sana Kwa nchi zinazojiita za kijamaa na kujitegemea ikiwemo Tanzania 🇹🇿
 
Haya MZOZO WA USA na CHINA unafuata hapa. Hii vita haitokaa iishe.
 
Watatumia uwanja gani kuzirusha hizo wakati wakati viwanja vyote vimeteketezwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Si viwanja vyote vilivyoteketezwa. Hata hivyo, ndege kama hizo ni ndogo na zinahitaji runway tu ya kawaida. Hata barabara ya lami iliyonyooka vizuri (highway) inaweza kutumika kuzirusha wakati wa dharura.
 
Nawaza tu russia akianza tumie zile bombs zake za nyuklia za ICBM(InterContinental Ballastic-range Missile) asije chochea WWIII...pia ikumbukwe ana best AIR-DEFENCE systems hapo tunazungumzia S200, S300, S400, S500 na S700...hapo ndipo alipo vizuri russia.
 
Alafi kuna watu wanasema tuiombee Ukraine badala ya kuombea Waafrika wenzao.
Mzungu siyo wa kuombewa shenzi kabisa!
#INFIRIORITY COMPLEX!!
View attachment 2134098
View attachment 2134096
Hao ni wananchi wa serikali zisizo proactive za Afrika. Biden aliposema Wamarekani wahame Ukraine maana vita ikianza itashindikana Marekani kuwakomboa hakuwa anatania. Serikali zote serious kina UK, Israel zilihamisha raia na kuwachukua. Waliobaki ni Ukrainians, Poland inawapokea bila visa kwa kuwa ni wakimbizi na imejipanga kuwapokea. Nyinyi Waafrika mnaenda kama kina nani? Wahindi serikali yao ilizubaa kuwachukua hadi sasa hivi inahangaika kuchukua kidogo kidogo, jana kuna wengine iliwapitisha Hungary badala ya Poland ambapo kuna msongamano.

Ukraine haipo responsible na watu wasio raia wake. Poland inapokea Ukrainians tu na at least EU member wana utaratibu wa migration, hata hapo unapoona weusi wanalialia kuna Asians kibao wamekwama.

Siku ukiwa nchi yoyote ukaona Israel, US na UK wamehamisha raia kaa chonjo. Mpaka leo kuna mitaifa yenye viongozi ovyo haijatoa namna ya kusafirisha watu wake, Poland iwapeleke wapi sasa. Wanafunzi wa East Africa leo ndio wamepewa utaratibu wa kuondoka baada ya raia kuruhusiwa kutoka kwenye bomb shelters. Wazungu hawafanyi vitu kiholela
 
‘Russia doesn’t start wars… Russia finishes them’ — MoD Ukraine briefing update


▪️ DPR’s forces are close to blocking off Mariupol and have advanced 23km in total


▪️All settlements secured by the Russian Military are returning to routine schedules


▪️ Administrations work together with Russian forces to establish law and order


▪️ The MoD stated only military officers and contract servicemen are taking part in the ‘special operation.’
 
Mkuu umechange direction ghafla....
Sikuwa na direction. Sipendi vita, sipendi Russia ilivyovamia Ukraine, sipendi yeyote anayelazimisha vita iendelee. Yani kuna watu wako maofisini wanalazimisha vijana wapigane wakati wana uwezo wa kumaliza mgogoro kwa mazungumzo.

Vita ina matokeo hasi ya muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…