LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
ikawachukue na nini sasa na treni au maana ndo usafiri pekee angani akiahuki kituu ila all in all nawachukia wabaguzi [emoji83][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Yani hao wajamaa kama wana ubaguzi hivyo wacha wapigwe tu hamna namna, kimsingi nasikia ukanda wao huko ni wale wazungu ambao bado wanaubaguzi yani kule bado kuna high degree ya racism!!!...compared na nchi kama france na uk.
 
Kupiga makombora kwenye makazi ya watu na kuua watu hiyo ni mojawapo wa mauaji ya kimbari, labda utakua haujui nini maana ya huo msemo, huwa haijalishi idadi ya watu, kimsingi umeelekeza makombora kunako watu kwenye makaz yao na kuua akina bibi na watoto wasiokua na hatia.
Kwa upande wa wanajesh kuuawa, hiyo sio issue maana wale wapo vitani na wameingia wakijua watauawa.
Kama adui kajificha na kukushambulia kutoka kwny makazi ya watu unafikiri utafanyaje
 
Haya sasa URUSI wako Serious nyie mnaopiga vita hapa JF na mliowaua wanajeshi 5000 wa Urusi humu mitandaoni endeleeni kuua hao askari.
Lakini huko UKRAINE hali tete, USA kama kawaida yake kwenye Vita hizi kubwa anajoin mwishoni sana wakati nchi zenu zimechapika kisawasawa.View attachment 2134100
Mkuu hii nafikiri hii imekuja baada ya RUSSIA kuhisi usa watakuwa wanapanga shambulizi la makombora na ndio maana nayeye anawaweka tayari vijana wake wa ICBRM(Inter-Continental Balastic-Range Missile)..na amelihisi hilo maara baada ya masaa machache yaliyopita marekani kutoa amri ya kuondoka kwa wafanyakazi wa ubalozi wake na wanadiplomasia wake nchini russia.
 

Waafrika na wahindi wanazuiwa kuingia kwenye Treni kuelekea Poland,iambieni serikali yenu ikachukue watu wake wanateseka


Nimeona Rais wa Nigeria tu akilaani source-BBC
 
[emoji4]
IMG_20220228_170257.jpg
 
Wayahudi wako sehemu waliyovamia na kuteka maeneo ya majirani, kutokea uko wanaandamana kupinga Russia kuvamia Ukraine. Wao ukiandamana kupinga fujo zao unaitwa 'anti-semitic' na unapingwa vikali duniani.

Ukraine kuna white supremacist movement ambao ni neo-Nazi wanapigana, wale ni kama wavuta bangi huku. Hao dunia ikiwa na amani wanapingwa sana ila sahivi wamepewa silaha na huwa wanapigana vizuri mno. Kuna hoja inatokea hizi silaha vita ukiisha watazirudisha zote kweli? Wazungu hawana rekodi watoe silaha vita iishe alafu wazibebe. Kwani juzi hapo Afghanistan Marekani alibeba silaha? Hata makampuni yao yakija kwenye miradi magari huwa wanatuachia mara nyingi. Hizi silaha zitakuja sumbua dunia kama zile za Yugoslavia.

Hivi mmegundua COVID-19 ilivyokuwa inakuzwa kuliko uhalisia. Nani anaifatilia sasa kule, raia waliochanjwa ni 35% na walioboost ni 1%. Sijaona aliyevaa mask, sijaona walioko kwenye metro wamezivaa na mule ndani hewa kidogo.
Vita ina mambo mengi
Mkuu umechange direction ghafla....
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii vita mitandaoni URUSI askari wanauawa kama M23. Ila sasa wenyewe UKRAINE muda wote wanaomba msaada wa vifaa, askari na hata kugawa silaha kwa Raia wao, wafungwa nk. URUSI wameteka miji kibao ya UKRAINE lkn huku ndani wanasema wamepigwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Putin anawazoom Kisha anacheka hi hi hi...BHAGOSHA [emoji1787][emoji1787]
IMG_20220228_154956.jpg
 
Anachotaka kufanya urusi Kwa akili yako ni sahihi ??? Huwezi kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye [emoji4]
Kama uyo bwana anahatarisha usalama wangu Lazima nikutwange[emoji2]
 
Hayo mazungumzo ya Belarus yatashindikana tu,hapa solution ni Vita tu,natamani Russia ishinde hii vita. Wakishimdwa kuna madhara makubwa Sana Kwa nchi zinazojiita za kijamaa na kujitegemea ikiwemo Tanzania 🇹🇿
 
Haya MZOZO WA USA na CHINA unafuata hapa. Hii vita haitokaa iishe.
Screenshot_20220228-171300_Twitter.jpg
 
Watatumia uwanja gani kuzirusha hizo wakati wakati viwanja vyote vimeteketezwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Si viwanja vyote vilivyoteketezwa. Hata hivyo, ndege kama hizo ni ndogo na zinahitaji runway tu ya kawaida. Hata barabara ya lami iliyonyooka vizuri (highway) inaweza kutumika kuzirusha wakati wa dharura.
 
Hizo ni Grad rockets. Ziko dumb sio precision guided munitions kwahiyo zina tabia ya kukosea. Waliofyatua unakuta hawakupanga kupiga makazi ya raia. Smart munitions huwa ni gharama sana zinaepukwa kutumiwa kwa wingi au zinatumiwa kwenye kuhitaji accuracy kubwa mfano wakigundua chimbo alipo Zelensky.

Mrusi bado hajatumia silaha kali hapo unaona katumia Grad wakati anazo hata Smerch uko kwake. Kuna hiyo Koalistiya self propelled howitzer inafyatua aina fulani ya shell mpaka kilomita 70 na iko accurate. Kwenye list za howitzers duniani huwa naamini ni ya kwanza
Nawaza tu russia akianza tumie zile bombs zake za nyuklia za ICBM(InterContinental Ballastic-range Missile) asije chochea WWIII...pia ikumbukwe ana best AIR-DEFENCE systems hapo tunazungumzia S200, S300, S400, S500 na S700...hapo ndipo alipo vizuri russia.
 
Alafi kuna watu wanasema tuiombee Ukraine badala ya kuombea Waafrika wenzao.
Mzungu siyo wa kuombewa shenzi kabisa!
#INFIRIORITY COMPLEX!!
View attachment 2134098
View attachment 2134096
Hao ni wananchi wa serikali zisizo proactive za Afrika. Biden aliposema Wamarekani wahame Ukraine maana vita ikianza itashindikana Marekani kuwakomboa hakuwa anatania. Serikali zote serious kina UK, Israel zilihamisha raia na kuwachukua. Waliobaki ni Ukrainians, Poland inawapokea bila visa kwa kuwa ni wakimbizi na imejipanga kuwapokea. Nyinyi Waafrika mnaenda kama kina nani? Wahindi serikali yao ilizubaa kuwachukua hadi sasa hivi inahangaika kuchukua kidogo kidogo, jana kuna wengine iliwapitisha Hungary badala ya Poland ambapo kuna msongamano.

Ukraine haipo responsible na watu wasio raia wake. Poland inapokea Ukrainians tu na at least EU member wana utaratibu wa migration, hata hapo unapoona weusi wanalialia kuna Asians kibao wamekwama.

Siku ukiwa nchi yoyote ukaona Israel, US na UK wamehamisha raia kaa chonjo. Mpaka leo kuna mitaifa yenye viongozi ovyo haijatoa namna ya kusafirisha watu wake, Poland iwapeleke wapi sasa. Wanafunzi wa East Africa leo ndio wamepewa utaratibu wa kuondoka baada ya raia kuruhusiwa kutoka kwenye bomb shelters. Wazungu hawafanyi vitu kiholela
 
‘Russia doesn’t start wars… Russia finishes them’ — MoD Ukraine briefing update


▪️ DPR’s forces are close to blocking off Mariupol and have advanced 23km in total


▪️All settlements secured by the Russian Military are returning to routine schedules


▪️ Administrations work together with Russian forces to establish law and order


▪️ The MoD stated only military officers and contract servicemen are taking part in the ‘special operation.’
 
Mkuu umechange direction ghafla....
Sikuwa na direction. Sipendi vita, sipendi Russia ilivyovamia Ukraine, sipendi yeyote anayelazimisha vita iendelee. Yani kuna watu wako maofisini wanalazimisha vijana wapigane wakati wana uwezo wa kumaliza mgogoro kwa mazungumzo.

Vita ina matokeo hasi ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom