Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hili nimelifanya sababu najua sina muda sana humu ninarudi kwenye majukumu na NITAWAMISS SANA. Ningeweza kuweka picha kabisa ila sasa itakuwa balaa.😃
Majukumu mema mkongwe, tuache sisi tusiokuwa na majukumu tuendelee kushinda humu. Lakini Ukraine akishinda vita tutakutag hivyohivyo hata kama upo kwenye majukumu.
 
Sawa kijana. Leo tuseme umeshinda. Ngoja nibugie k-vant kwanza nipate akili.
 
Asante kwa habari za Haftar, nimeleta majina mengine ambayo hayana uhusiano wowote na mambo ya nje.
Kuhusu Ukraine: hakuna sababu kujadili Ukombozi wa Ukraine kutoka mikononi mwa NeoNazi kwa sababu Ukraine haiko mkononi mwa NeoNazi; kama wako ni wachache, hawana umuhimu kisiasa na hakika ni wachache kuliko nchini Urusi.
 
⚡️Urgent⚡️2 battalions of Poles arrived in Pavlograd⚡️

This is reported by the sources of the @wargonzo project in Dnipro.

According to our data, 2 battalions of Polish infantry moved out from Kiev the day before and have already reached Pavlograd. Each battalion has 4 Rapira anti-tank guns, armored personnel carriers and American armored cars.

At present, the Polish infantry is being prepared for the transfer to the Avdeevsky front. Whether we are talking about regular troops or mercenaries, it is difficult to say now. But in any case, the appearance of these data against the background of Zelensky’s dances with the Rada regarding the participation of foreign contingents in hostilities looks quite logical.

@wargonzo
 
Yaaani kwenye maksi kiutashi nilizani yuko 7out of 10 kumbe kiualisia anachezea -7(negative).
Kuna mdau alisema kuwe na darasa m naona lianze mapema maana haiingiii akilin mambo vinafsi yawe interfered na kazi /boss tena sio jasusi n mtaalamu wa fedha.
 
'Wapambanaji wa ukweli' wanaacha mji wa Mariupol unatekwa, wao wanakimbia na raia wa kawaida kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakiwatumia raia hao kama ngao ya kivita ili wasipelekewe moto!
Unajua nini wewe.... Hata manati hujawai kutumia kazi kuongeaongea sisi tunaoijua vita na tuliopigana vita tunajua maana ya kujisalimisha pia inawezekana kujisalimisha pia ikawa sehemu ya mkakati wa kuondoka sehemu salama pia... Hujui vita unavisikia Tu na itel yako umeshiba zako mafenesi unaongea makamasi.... Shwaini
 
Majukumu yake yanamruhusu kutumia JF, lakini asitumie ID fake, eeeh!?
😂😂😂
Spana zimemlemea 😃😃😃😃akaona isiwe tabuu kazini haturuhusiwi kutumia fake ID.
Ni sawa na western media zinavyotuambi evacuation instead of surrendered wale 2000 na kuendelea mbinu n zilezile ngumu kusema poooo.
 
Labda ni muhasibu wa Maxence Melo ,ndio maana hatakiwi kutumia ID fake akiwa kwa majukumu.
😁😁😁😎
 
Sawasawa.
*Jeshi la Poland inapigania ndani ya Ukraine.
*Putin ni genius aliyepanga kwa umakini kutuma jeshi lake Kyiv na Charkiv pamoja na kupoteza maelfu na kurudi Urusi,
  • Putin ana huruma kwa watu raia hii ni sababu ya jeshi lake kuendelea polepole
  • Azovstal ilijaa majenerali kutoka Kanada na Marekani na nchi nyingine za NATO
  • Maiti za Bucha zilipelekwa huko na Ukraine baada ya Warusi kuondoka

Kweli bunilizi ni tawi la fasihi lisilo na mipaka . . . . Nasubiri hadithi mpya!
 
Nimechekaaaaa ....eti anazuiwa fake ID kazini ... Kwa hiyo kazini wanakaguliwa akaunti zao za jamiiforums !!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…