Kusema NATO haijapeleka jeshi kwa sababu Ukraine sio member ni kujiFicha kwenye shamba la karanga!Kusema Urusi alikuwa anapigana na mataifa 39 wakati hayo mataifa hayajapeleka majeshi yao sio sahihi.
NATO hawawezi kupeleka majeshi huko maana Ukraine sio mwanachama wa huo umoja, hilo naamini unalifahamu vyema.
Urusi anapigana na Ukraine tu inayosaidiwa kisilaha na mataifa ya NATO (tena silaha nyingi wanazopewa ni za enzi ya Ussr wanazozimudu vyema kutumia).
Kama Ukraine wangepewa zana za kisasa na hao wa magharibi kama wanazopewa Israel, naamini Putin angekua na wakati mgumu mno kuliko huu alioupata alipojaribu kuiteka Kyiv.
Hii Vita imeonyesha udhaifu wa jeshi la Urusi (japo ina nguvu) ila inaweza kupingwa tu (Although it is strong but it can be challenged).
Tsh dudus Jackal T14 Armata Coco Master Root
Nyamizi Frank Wanjiru Yoda
Siku moja niliwahi kusema zele in mpango maalum ulio wekwa kimkakati na hana huruma na wananchi wala nchi yenyewe yeye amekua sehemu ya mkakati maalum,wanaiba,Kwa kisingizio cha vita,wanapora Kwa kisingizio cha vita,familia haipo Ukraine pia hata yeye ni mashaka uwepo wake ndani ya nchi.Hivi ni Kwa nini anafikilia ku export chakula wakati nchi yake hipo vitani na wananchi wake wanakihitaji pia icho chakula....
Aisee Idawa hili neno lako la "Asante Putin kwa kutufungulia Dunia"Hiyo sentensi ya "silaha ngeni zisizofahamika" inamaanisha nini kwa NATO/Marekani.?
Asante Putin kwa kutufungulia dunia.
Wakati Putin anasema hata nzi aitoke hawakuelewa wakajifanya wanapeleka chakula. Wameshushwa kama maembe mtiniZelensky akata tamaa, asema Ukraine haiwezi kutoboa/kushinda vita mbele ya majeshi ya Russia...
Asema diplomacy ndio pekee itawaokoa waUkraine toka kwenye kichapo cha majeshi Russia....
Akiri Ukraine kupoteza marubani wengi mno (idadi yao asema hatoweza kuitaja hadharani, itakuwa ni fedheha kwa jeshi la Ukraine) na ndegevita nyingi sana huko Mariupol ktk jitihada za kupeleka chakula, maji, madawa kwa wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kama panya huko Azovstal ambao wote wameishia kutekwa na majeshi ya Russia
WATU HUMU WANABISHANA KAMA WATOTO MNAOTOKA KUANGALIA MOVIES ZA RAMBO URUSI WAKIBINYA HICHO KITUFE CHA NYUKLIA KWANI NCHI ZA ULAYA HAWANA HICHO KITUFE KWENYE NCHI ZAO VITA YA NYUKLIA IKIANZA HAKUNA MSHINDI IMPACT YAKE NI KUBWAKusema NATO haijapeleka jeshi kwa sababu Ukraine sio member ni kujiFicha kwenye shamba la karanga!
Swali, hizo nchi zote walizowahi kupeleka ma/jeshi zilikuwa wanachama!?
Kubalini tu wanaiogopa Urusi!!! Na wao wenyewe wamesema kwa lugha ya 'kuavoid direct confrontation with Russia'
Peleka jeshi Puti aminye kitufe chekundu. Kuna anayetaka kubaki historia kwenye hii dunia!?
Ukiwa na first strike capability na ukawa na uwezo wa kumuwahi adui yako kwa nuclear haijalishi wingi wa silaha zako. Russia ana faida ya vitu vitatu:Wakati Sarmat iki destroy UK, unafikiri Moscow na miji mingine mikubwa ya Urusi itabaki?3
Aaaaah basi bana ,usitoe SiriNakujibu kwa evidence
View attachment 2234642
Umekimbilia wapi mwana. Hatujamalizana. Tunaingia kwemye ICBMHatakuelewa hapo.
ICBM za USA hizi hapa:-Hatakuelewa hapo.
Hivi huko ni kujigamba?! Hizo nuclear za Uk zitaipiga Russia saa ngapi wakati Uk itakuwa imeshafutwa kwenye ramani na hypersonic missles carrying nuclear warheads?! Hypersonic missles cannot Be detacted...mnashitukia tu mmeshatwangwa...ukitaka uelewe vizuri mchezo wa vita vya nuclear soma vizuri nuclear doctrines za West (na hasa USA) na Russia...doctrine ya USA ni first strike yaani awe wa Kwanza kurusha makombora. ..na ndiyo maana USA hupenda silaha za nyuklia ziwe karibu na nchi zilizo karibu na Russia kama Ukraine, Poland na hata Rumania ili makombora hayo yatumie muda mfupi kwa first strike kwa miji kama Moscow...Haelewi maana ya silaha za nyuklia na overkill. Hata kama Urusi inaangamiza Uingereza 100%, nyambizi za Kiingereza zenye silaha za nyuklia zinabaki , zinatosha kufuta miji ya Urusi.
Majenerali wa Putina wanaijua hivyo hawatatumia silaha zao; lakini wanasiasa wa Moscow na waumini wa dini ya Putin wana nafasi ya kujigamba.
Basi.
Ni nchi moja lakini ni kubwa kuliko nchi zote za ulaya magharibi zikiwekwa pamoja! Urusi inajulikana kama "mfalme wa kaskazini" kwenye biblia. Itakuja kuangamizwa tu na Bwana YESU kwenye vita ya Armagedonia!Yaani mataifa yote vigogo yanapigana na chi moja na bado yanashindwa kuikomboa Ukraine???
Danganya wajinga (wasiojua) wenzio. Siyo mimi. Usifikiri JF ni ya mbumbumbu. US news maana yake "habari za marekani". Haina maana kuwa ni chombo cha habari cha Marekani. Hata kama kingekuwa chombo cha habari cha Marekani, wapi kinasema Marekani imesikitika? Onyesha maneno yanayosema 'Marekani imesikitika'. Kadanganye wasiojua (wajinga) wenzio huko kijiweni.
Narudia tena, hii habari imeriportiwa na Reuters, Shirika la Habari la Uingereza tarehe 22 May 2022. Reuters wanaripoti taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. Moderator huu ni upotoshaji wa makusudi na hii ni feki news.
View attachment 2234635