LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Iini putingi ameomba poo au unadhani ni mwenyekiti wa act wazalundi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Gharama zote alizofanya za vita kwa maandalizi ya miezi zaidi ya mitatu, silaha kubwa kubwa, maelfu na malaki ya wanajeshi leo ni wa kwenda mkutanoni kuomba suluhu kabla hata ya week mapambanoni.
 
Nilichogundua media nyingi zinatoa taarifa za kuipamba hii vita kuwa Ukraine ameiweza sana
Western propaganda..na ndio wana media zenye covered kubwa duniani kote..achana na vionline uchwara ambavyo hata vikisema ukweli coverage yake ni local tu.

USA ni habari nyingine..sijaona taifa la kuinagusha.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizara ya Nishati imesema kutokana na kupanda kwa bei za mafuta katika Soko la Dunia kunakosababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo vita kati ya Urusi na Ukraine, mwenendo wa bei za mafuta nchini umeathirika kwa bei hizo kuendelea kupanda.

Tozo ya Tsh 100 kwa lita kufutwa.

Uzuri mafuta yakipanda ipasavyo, Warusi weusi, Wamarekani wa Tanganyika na wengine wote tunakuwa kitu kimoja kuisoma namba na jina letu la Waathirika wa vita kutoka nchi masikini.
 
Ukraine ndiyo ametaka ceasefire https://www.bbc.com/news/live/world-europe-60542877
 
Kiufupi Ukraine amisha lost kwa sababu zifuatazo,kwa kuwa yeye ndio kakubali mazungumzo so Odds zipo against yeye.akisema amukubalie Urusi madai Yale maana yake Urusi anaenda kuweka kambi ya jeshi hapo Ukraine na unakuwa mwisho wa USA na NATO-kitu ambacho USA na washirika wake kukibali itakuwa ngumu.
Vilevile,akisema asikubali kunakwenda kuibuka Vita kubwa-maana atapata back up ya NATO&USA-ndio maana Putin Jana alicheza movie ya kimaneno kabla ya Kikao chao cha Leo.

Ukraine kete IPO mkononi make,akubaliane na Urusi vita iishe na NATO wa ondoke forever,au akatae Nchi yake igeuke uwanja wa vita kati ya Urusi&USA.
Chaguo ni lake.
 

ONGEZA SAUTI KIDOGO

 
Nimeona makamanda wachache sana akina Yoda na Jitegemee ndio wanaunga mkono udhalimu unaofanywa na Russia lakini walio wengi wako upande wa Ukraine na washirika wake.

Na kuhusu Lumumba wao wakati wote husimama na wale wanaoonewa yaani upande wa haki.

Hakika, Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…