Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Viva Russia, hii ndo Russia iliyokua haina chakula na wanajeshi wake mstari wa mbele waliishiwa chakula pia. Ahsante Putin
Tulia kaka, hakuna aliyesema Urusi haina chakula. Ila muundo wa jeshi ulikuwa mbovu mwanzoni mwa vita, walishindwa kuleta chakula kwa askari, waliopaswa kuiba kwenye maduka (ila akishika bunduki, wenyeji watasita kumpiga mwizi).
Na baadaye walipewa chakula cha kijeshi kilichoishiwa muda wake (sawa na matairi ya magari waliyoacha njiani), kwa sababu tatizo kubwa katika jeshi la putin ni wizi.... Askari wanaina chakula dukani, jenerali wanaiba pesa ya matairi mapya na chakula . . .
 
Nyambizi zitafuatwa huko huko Chini ya maji zinaangamizwa.Russia ndo ananyambizi za kutisha kuliko uingereza.
 
Swali hili "Wakati Sarmat iki destroy UK, unafikiri Moscow na miji mingine mikubwa ya Urusi itabaki?" kalijibu post namba ngapi?
Hakujibu. Swali linasumbua mno. Wanahitaji kujigamba . . .
Unasumbua, bwana! Mbaya we !
 
Mwambie asome doctrine ya "nuclear triad" nafikiri ndio atakuelewa. Au asome kuhusu vanguard class nuclear submarine.
 
Marekani wahuni sana, walizinanga droni za Turkey kwa kufeli kuisaidia Ukraine kujilinda na mashambulizi ya majeshi ya Russia. Marekani wakajipigia chapuo kuwa droni zao ndio bora zaidi, zitabadili hali ya mambo vitani Ukraine...wakamuingiza kingi Zelensky akanunua kwa mkopo midoli mingi toka Marekani yenye majina mazuri na ya kuvutia mno kibiashara; 'Kamikaze drones' na 'Phoenix Ghost drones'

Sasa hivi Marekani anaripoti kuwa zaidi ya droni 900 za Ukraine zimeangushwa na kuchomwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine. Anasahau kuwa ktk ktk droni hizo zimo kibao zimetoka kwake mwenyewe (Marekani)

Ikumbukwe kuwa Russia baada ya kuona Marekani na NATO wamezimimina droni zao Ukraine, naye alaamua kuwapelekea silaha mpya ambazo wao wenyewe NATO wanasema hawazifahamu (secret weapons), ambazo zinachoma droni za Marekani/NATO kama mishikaki vile

======



 
Mwambie asome doctrine ya "nuclear triad" nafikiri ndio atakuelewa. Au asome kuhusu vanguard class nuclear submarine.
Asante kwa ushauri. Sina uhakika kama atapenda kuangalia chochote kinachoweza kutikisisha imani yake...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wao hii technology wanadai hawaifahamu (wanasema ni imaginary)
Coz inatumia mionzi kuchoma drone iliyo umbali Zaid ya km 5

Hii Vita inaweza kuonyesha uhalisia wa silaha za ajabu walizonazo RUSSIA
 
Hata wao hii technology wanadai hawaifahamu (wanasema ni imaginary)
Coz inatumia mionzi kuchoma drone iliyo umbali Zaid ya km 5

Hii Vita inaweza kuonyesha uhalisia wa silaha za ajabu walizonazo RUSSIA
Unazani USA Haina laser weapons? Jidanganye hizo Dola Bil 40 subiri utaona zinachoenda kufanya huko
 
Dollar inatazikwa na BRICS👇


$29989.51+1.70%ETH$2012.31+1.54%BNB$317.55+1.58%XRP$0.42+0.27%BUSD$1.00-0.00%ADA$0.54+0.66%SOL$51.66+2.73%DOGE$0.09+0.28%DOT$10.02+0.90%AVAX$31.04+3.84%WBTC$29987.68+1.62%TRX$0.08+3.95%SHIB$0.00+0.05%DAI$1.00+0.04%LTC$70.92+1.05%MATIC$0.66+1.57%UST$0.25+0.01%NEAR$6.13+1.97%FTT$30.57+1.41%BCH$197.54+2.03%
BTC$29989.51+1.70%ETH$2012.31+1.54%BNB$317.55+1.58%XRP$0.42+0.27%BUSD$1.00-0.00%ADA$0.54+0.66%SOL$51.66+2.73%DOGE$0.09+0.28%DOT$10.02+0.90%AVAX$31.04+3.84%WBTC$29987.68+1.62%TRX$0.08+3.95%SHIB$0.00+0.05%DAI$1.00+0.04%LTC$70.92+1.05%MATIC$0.66+1.57%UST$0.25+0.01%NEAR$6.13+1.97%FTT$30.57+1.41%BCH$197.54+2.03%
ECONOMICS
by Terence Zimwara

15 hours ago
10126
Report: BRICS Countries Told to Consider Countering the Dollar's Global Hegemony


Chinese experts have called on leaders of BRICS (Brazil, Russia, India, China and South Africa) countries to consider countering the dollar, whose global hegemony is thought to be abusive. Still, the experts concede that any attempt to diminish the dollar’s dominance will take time.

BRICS Countries’ Dependence on the US-Dominated Global Financial System
 
Jamani ninyi waumini wa Putin mlipatana kumpuuza Zelensky ? Si hekima sana. Alionyesha udhaifu kabla ya vita lakini tangu vita ianze amemshinda Putin katika sifa zote za uraisi.
Aliweza kuunganisha nchi yake, kuwapa askari na watu raia moyo wa kupigana na washambuliaji, alifaulu kuathiri mataifa ya nje kutoa misaada kwa Ukraine. Anajua jinsi ya kuwasiliana.
Putin anaonekana anasumbuliwa na ugonjwa wake, anaonekana mara chache. Hotuba zake ni dhaifu, anarudia tu "kila kitu kinaendelea kufuatana na mpango" - wakati familia za askari wanajiuliza wana wao wako wapi?
Picha za Putin jinsi anavyokaa mezani kwa umbali mkubwa kutoka mgeni wake hazioneshi picha ya nguvu - wakati Zelensky anatembea mara kwa mara katika mji wake mkuu.
Mwanzoni wa vita wote walitegemea Urusi itashinda haraka. Haikushinda (na hakika mambo hayakufuata mpango wa putin).
Ni dhahiri Zelensky alichangia mengi katika hiyo.
lakini umpuuze tu!
(Usisahau: wakati unanyosha kidole, vidole vitatu vinealekea kwako!)
 
Unazani USA Haina laser weapons? Jidanganye hizo Dola Bil 40 subiri utaona zinachoenda kufanya huko
Ficha ujinga wako mkuu...

Kwani US ndio nini? Hukuona hypersonic missiles ilivyowatoa jasho US wakati wenzake Russia, China na North Korea wakiwa tayari wanazo na Russia akaenda kuwatandika nayo kabisa Ukraine?

Muwe mnafikirisha bongo kidogo, US sio kwamba ana kila kitu...vingine huwa anasubiri wengine wanamtangulia
 
Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…