LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sidhani kama ni lazima Ukraine iungwe NATO. Wakikubaliana na kila mtu akapata atakacho na vita vikaisha basi wote ni washindi.
 
Nani kaomba poo? Ukraine ndiye aliye omba poo mpaka kamchagua Roman Abramovic ambaye ana uhusiano mziri na Putin awe anaongoza usulihishi wao.
Source: ESPN


 
kwani tarehe na mwaka zenye thamani tano kama utazipunguza nimepitia ngapi?
 
Tanzania ndo intellijensia yetu imekufa.. tumeshindwa hTa kutumia intellijensia ya US kuwataka watanzania waondke Ukraine kabla ya vita.Kliko hivi sasa wanatoa matamko... Yasyo na maana
Walikuwa bize kwa Mfalme Zumridi badala ya kuwaambia raia wake watoke Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…