bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.Hebu jibu hoja kwa kutumia vigezo vifuatavyo.
1. Uchumi wa urusi upo vibaya umetumia vigezo gani?
2. Zelensky anashinda. Kakomboa maeneo mangapi mpaka sasa.
Super power hawezi kugwaya proxy -war kama tunavyoaminishwa humu na ndiyo maana tunasema kama Mrusi akiendelea na vita kwa muda mrefu uchumi wake utaporomoka vibaya mno, cha msingi aachane nayo.Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.
Nimeona nikufungue macho.
Jamaa ameamua kwa makusudi kutotumia ubongo wake sawasawa. Hajui kama Russia inapigana na nchi zidi ya 40 ndani ya ardhi ya Ukraine.What is your reference?.
Kwenye military strengths?
Aisee utaumwa kichwa bure yaonekana haya mambo yamekuzidi kimo. Kwa nini usiende kwenye ule uzi wa Kimasihara.
True, Putin na azishambulie nchi kama alivyozionya mwanzoni mwa vita hii.Czech Republic recently donated attack helicopters, tanks and rockets, and that Italy, Greece, Norway and Poland announced new donations Monday of artillery systems and ammunition.
Mbali na hizo nchi Denmark pia katuma vitu.
Tukumbushane, Putin alisemaje kuhusu nchi zitakazo saidia Ukraine! Vipi kashapiga hata nchi moja wapo?
Jibu swali kwa nini Putin asizishambulie nchi zinazoendelea kutoa msaada kwa Ukraine kama alivyoahidi mwanzoni ??Jamaa ameamua kwa makusudi kutotumia ubongo wake sawasawa. Hajui kama Russia inapigana na nchi zidi ya 40 ndani ya ardhi ya Ukraine.
Pia amesahau kama Marekani na NATO walittumia miaka 20 Afganistan kuwatoa TALIBAN madarakani kwa kuwaweka TALIBAN madarakani.
Unaruka ruka kama bisiMpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.
Tatizo la underestimations.
Tukumbushane waliokuwa wamezingirwa chini ya kiwanda hawakuwa maadui wa Putin?, Je kawafanyeje au hakuwa na uwezo wa kuwarushia mabomu pale. Au jikumbushe vifaa vinavyopelekwa na nchi wasaidizi wake toka waanze mbo havijamuondoa Putin huko UkraineCzech Republic recently donated attack helicopters, tanks and rockets, and that Italy, Greece, Norway and Poland announced new donations Monday of artillery systems and ammunition.
Mbali na hizo nchi Denmark pia katuma vitu.
Tukumbushane, Putin alisemaje kuhusu nchi zitakazo saidia Ukraine! Vipi kashapiga hata nchi moja wapo?
Kwamba alitumia miaka 20 kuwatoa taliban madarakani! Bro una uhakika[emoji16]Jamaa ameamua kwa makusudi kutotumia ubongo wake sawasawa. Hajui kama Russia inapigana na nchi zidi ya 40 ndani ya ardhi ya Ukraine.
Pia amesahau kama Marekani na NATO walittumia miaka 20 Afganistan kuwatoa TALIBAN madarakani kwa kuwaweka TALIBAN madarakani.
Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.
Tatizo la underestimations.
Wenyewe kazi yao ni kutoa misaada na kuilinda Ukraine.. ndio maana mpaka sasa hamjafikia malengo yenu [emoji16]Tukumbushane waliokuwa wamezingirwa chini ya kiwanda hawakuwa maadui wa Putin?, Je kawafanyeje au hakuwa na uwezo wa kuwarushia mabomu pale. Au jikumbushe vifaa vinavyopelekwa na nchi wasaidizi wake toka waanze mbo havijamuondoa Putin huko Ukraine
hiki ndiyo nilikuwa namaamisha, Dunia inamshangaa Putin.Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.
Tatizo la underestimations.
mbona umekasirika sana ha ha ha ha ha ha haMpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.
Tatizo la underestimations.
tulia tuendelee tu, maana baba yenu Putin alisema atamfumua yoyote atakayesogeza mguu kwenye vita yake na Ukraine, ehee sasa ?mbona umekasirika sana ha ha ha ha ha ha ha
Tangu nato wenu wajisalimishe pale mariupol mmkewa na hasira kama wanaweke wenye mimba changa ha ha ha ha
Walienda kichwa kichwa wakakutana na ngumi ya pua, wakarudi nyuma fastahiki ndiyo nilikuwa namaamisha, Dunia inamshangaa Putin.
When Russia invaded Ukraine on Feb. 24, it had hoped to overtake the country in a blitz lasting only days or a few weeks.
Many Western analysts thought so, too.
As the conflict marked its third month Tuesday, however, Moscow appears to be bogged down in what increasingly looks
like a war of attrition, with no end in sight and few successes on the battlefield.
tulia tuendelee tu, maana baba yenu Putin alisema atamfumua yoyote atakayesogeza mguu kwenye vita yake na Ukraine, ehee sasa ?
tuendelee na hapo ndugu - kamfumua nani so far ?