Hizo bidhaa zote hazitoki WEST, kama hujui kitu kausha.We unatumia vingapi kutoka kwao..
[emoji419]Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus[emoji3]
[emoji419]Madawa ya ukimwi?
[emoji419]Condoms?
[emoji419]Chanjo ulipewa za kigoma?
Niendelee!
Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta[emoji16]
Toa sababu zingne utaeleweka
We unadhani vikao vya harusi vimeanza leo??Habari zilizotufikia hivi Punde ni kwamba kikao kimemalizika cha viongozi wa mataifa zaidi ya 50 na kuja na kauli moja ya kuisaidia Ukraine kwa makombola bora zaidi.
Denmark nayo haiko nyuma na imeamua kuipatia Ukraine kitu kinaitwa Harpoon Anti-Ship Missiles na Launchers zake, hii itasaidia kuifungua Bahari nyeusi ambayo Meli za Kirusi zimeifunga hivyo kuzuia kupita kwa meli za mizigo kwenda bandari za Ukraine.
Sasa ni hivi, watu wakishaanza kukukalia kikao regardless una ubora ama akili namna gani ujue - UMEKWISHA.
View attachment 2236916
Nina uhakika hawezi kujibu maswali hayoTunaomba coordinates za mahali tukio hili limetotokea. Pia tupe na Registration namba ya vifaru vilivyolipuliwa.
Natanguliza shukrani.
ha ha ha ha soma hapaWe unadhani vikao vya harusi vimeanza leo??
Habari zilizotufikia hivi Punde ni kwamba kikao kimemalizika cha viongozi wa mataifa zaidi ya 50 na kuja na kauli moja ya kuisaidia Ukraine kwa makombola bora zaidi.
Denmark nayo haiko nyuma na imeamua kuipatia Ukraine kitu kinaitwa Harpoon Anti-Ship Missiles na Launchers zake, hii itasaidia kuifungua Bahari nyeusi ambayo Meli za Kirusi zimeifunga hivyo kuzuia kupita kwa meli za mizigo kwenda bandari za Ukraine.
Sasa ni hivi, watu wakishaanza kukukalia kikao regardless una ubora ama akili namna gani ujue - UMEKWISHA.
View attachment 2236916
We unadhani vikao vya harusi vimeanza leo??
Huyu alitengenezwa Kwa maslahi sio ya nchi yake, ni western ndio wana muendesha, Kwa nilivyo fuatilia hoja zake Mara Kwa Mara anapo toa tamko LA kukata tamaa na kutaka diplomatic itumike haraka sana anaitwa kwenye vikao vya Western na kuulizwa unahitaji nini tukusaidie,sasa kipengele cha kuulizwa huwa akijumuishiwi katika habari ,Bali habari inazo tolewa ni kile alicho sema yeye tuu na huwa linatangulizwa neno ameomba.Huu ni mchezo maalum Kwa ajili ya kumpunguza nguvu PutinNimetoka kutafakari Hilo,Yani Kuna kitu anataka ongea ila Kuna nguvu kubwa na shinikizo zito mgongoni,ukisikiliza maneno yake between lines unagundua anazungumza lugha ambayo anatamani AMANI. rejea aliposema ni diplomasia tu italeta amani iwepo ila baada ya muda tena anakaza shingo,fikiria juzi anasema kwa masikitiko kua anapoteza marubani wengi,mara askari zaidi ya mia kwa siku huko mashariki,lakini ghafla masaa machche mbele anaibuka,vita iendlee hatuko tayari kutoa ardhi yetu. Huyu mtu hafai kua rais hana maamuzi masikini
Jameni vifaru sio zana za kutegemea tena kwenye vita vya ulimwengu wa leo, kinaliwa shaba kwa kombora moja tu na kuwa chuma chakavu, ukizingatia gharama ya kutengeneza na kusafirisha vifaru.....kha!!!
Mi nachoona hasara ni juu yake na nchi yake, au wanaweza kumu eliminate wazalendo waliomzunguka.kweli ni mjinga sana...huenda hata akipata muda wa kutafakari anajiona fala kbs.Huyu alitengenezwa Kwa maslahi sio ya nchi yake, ni western ndio wana muendesha, Kwa nilivyo fuatilia hoja zake Mara Kwa Mara anapo toa tamko LA kukata tamaa na kutaka diplomatic itumike haraka sana anaitwa kwenye vikao vya Western na kuulizwa unahitaji nini tukusaidie,sasa kipengele cha kuulizwa huwa akijumuishiwi katika habari ,Bali habari inazo tolewa ni kile alicho sema yeye tuu na huwa linatangulizwa neno ameomba.Huu ni mchezo maalum Kwa ajili ya kumpunguza nguvu Putin
Nato+ Usa na ukraine mpaka wayaite maji , Mmma!
ha ha ha nitajie ni taifa gani lilopeleka jesh lake kuisaidia ukrainePutin alisema yoyote atakayethubutu kuisaidia Ukraine atakipata ambacho hawajahi kukiona maishani - haya atuonyesha basi maana mataifa karibia 20 yanaisaidia Ukraine.
Putin threatens Ukraine allies as Truss urges ‘doubling down’ on support for Kyiv
Russian president says retaliation against outside interference will be ‘lightning-fast’ as UK foreign secretary calls for total expulsion of Russian forces.www.theguardian.com
Cha msingi namshauri tu Putin aachane na hii vita - ataifanya Urusi ipotee pamoja na yeye. Huwezi kushindana na watu zaidi ya 30 wewe upo peke yako - Mchina, Mhindi na Mkorea si watu wa kutegemea kabisa kwenye ugomvi mkumbwa kama huu.
Kesema kweli huyu Shangazi kama alovyojitambulisha ana upeo mkubwa sana.Mumeo alipata "dodo" rafiki yangu, sio kwamba kwasababu we ni Pro-Russia hapana, bali kwa uwezo ulionao wa kuelewa jambo.
Hapo mwanzo nilihisi proRussia ni vidume watupu kumbe kuna "Shangazi" from kaskazini anawaikalisha jinsia ya pili vyema kabisa 😍...
Dah! Ase Miss ngaboru na deni lako ila sijui la nini, Siku nikilijua nitakupa. Hongera sana Comrade.
Nakupa sifa sio tu kwasababu we ni Pro-Russia, No... Nakupa sifa kwa uwezo ulionao wa kuelewa na kutafakari jambo.
Duh vita so lelemama aisee ,kifo unakiona kabisa ,Russia akimaliza huu mgogoro hatokaa arudie tena hii kitu