Nina imani kijana kakuelewa, pia ubarikiwe mkuu.A
Acha kuwabana watu wasitoe maoni yao,hivi hujui kwamba kutoa maoni ni haki ya kikatiba?
Du! aridhi ya comedian inaenda kuchakaa vikiendelea nimeona msaada wa kijeshi wa france nao umeshiba unaingia kwa train kukiwa kumetulia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia sio Kama bongo ...mtu akisafiri Sana na kusaini msichokijua mnasema anaupiga mwingi...
Vikwazo mnaogopa nyinyi dunia ya tatu, Urusi ukimwekea vikwazo ndipo anazidi kuumiza kichwa.Refer Korea Kaskazini.Russia waneomba poo,baada ya jumuiya ya kimataifa kupitisha vikwazo vya uchumi ambavyo Russia hawezi kutoboa.
Nassuport policies zake za nationalism ila kwa hili la kuipiga Ukraine hapana.Putin atapigwa sana. Hata huko Moscow anaweza akapinduliwa
Endelea kuota unazani moscow ni kama chadema kule wanajielewa , sana putin kuwa mahali hapo yupo wakati sahihi , pamoja na vikwazo lkn bado ana survive kibabePutin atapigwa sana. Hata huko Moscow anaweza akapinduliwa
Wa Africa tunapenda kulia Lia na kudeka Vita vyenyewe haviwahusu wanakimbia nn wameshaambiwa waingie underground kuna chambers speshoHaya waafrica waliyoko Ukrain wameshatengenezewa justification ya kubaguliwa.
Inshu kama hyo sio lazma serikal ihusike Moja Kwa Moja... Sekta binafsi ipo wangeshirikiana na seeikali tu..Bajeti boss
Korea kaskazini kawekewa vikwazo mpaka kajidisconnect na Dunia na mpaka Sasa anatoboa!Russia waneomba poo,baada ya jumuiya ya kimataifa kupitisha vikwazo vya uchumi ambavyo Russia hawezi kutoboa.
utilivu wa macron kivipi?Binafsi nimependa utulivu wa MACRON, sambasamba na Rais wa Uturuki, hawa muda wote wanataka kuwe na mazungumzo zaidi ya Vita.
Hawana haraka wala kelele nyingi. UK, GERMAN wao wanawaza sana VITA, hata NATO hao ndio viherehere.
Mbn hujui hatakuandika sehem kubwa umeandika kwa mihemko ya bangin, wapi putin kaomba poo nawac wac hata history ya dunia hauijui wewe ndio maana unakuja na bla bla kibaoKwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani, so kuuchukua uzi wa mtu ambae kila siku anatumia data zake, muda wake, fikra zake na energy yake kuchangia comment mbali mbali au kuandika thread mbali mbali afu kwenda kuunganisha na uzi wa mtu mungine bila taarifa au sababu za msingi ni kuingilia uhuru wa watu kutoa maoni yao hapa jukwaani. Kwahiyo mwisho wa siku mtajenga hofu na uoga kwa wateja wenu, maana mtu atajua akileta uzi hapa kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu yanayojiri huko duniani mods watauchukua huo uzi wake na kuupeleka sehem wanayojua wao bila idhini yake ili kupoteza maana ya kile alichoandika hapa jukwaani. So nina imani mods mtazingatia ushauri wang huu niliowapa. Tuje kwenye mada husika. Ndugu zangu kitendo cha raisi wa Russia kuomba poo ya mazungumzo ya kumaliza mapigano kati ya jeshi lake linalosifika kuwa na nguvu zaidi duniani baada ya lile la Marekani, kimewashangaza wengi waliokuwa wakimuunga mkono mbabe huyo na jeshi lake. Wakati akijiandaa na uvamizi, wengi wa wapambe wake walitegemea uvamizi wake ungechukua usiku mmoja tu kumaliza kile alichoita safisha safisha ya viongozi vibaraka wa magharibi. Sasa anashangaa pamoja na ukubwa wa jeshi lake, wingi wa silaha zake, na ukubwa wa nchi yake ameshindwa kutwaa hata miji mitatu tu mikubwa, badala yake yeye ndo amekuwa akirudishwa nyuma na kunyang'anywa mji wa pili kwa ukubwa ambapo hapo awali jeshi lake ndo lilikuwa linaumiliki. Bila shaka Putin ashasoma alama za nyakati baada ya kunusa ule mtego wa Marekani ambao waliutega kwa lengo la kupata sababu ya kuingia kijeshi kuiadhibu Russia kupitia katika ardhi ya Ukraine. Ikumbukwe Marekani na genge lake la NATO walisema hawawezi kuingia vitani kuisadia Ukraine kwani sio mwanachama wao kamili wa NATO. Ila nyuma ya pazia Marekani alikuwa anapanga mpango wa kurushwa kombora moja tu la Russia nchini Poland ambae ni mwanachama wa NATO ili watemi hao wa dunia waweze sasa kuingia kazini live bila kujificha kwa kisingizio kuwa Russia ndio ilianza uchokozi wa kumshambulia mwanachama mwenzao wa NATO (Poland) Silaha kubwa kubwa zimekuwa zikitumwa Ukraine usiku na mchana kwa kisingizio cha kuipa msaada wa silaha Ukraine, kumbe wakubwa hawa wanaziandaa kwa ajili ya kwenda kuzitumia wenyewe hapo baadae baada ya mipango kukamilika. Mimi na wewe hatujui hilo kombora lingerushwaje rushwaje ili mission yao ikamilike kuingia mzigoni. Wangesubiri kombora la Russia likosee njia na kuangukia kwa mwanachama wao? au wale wale askari wa Ukraine wangetafuta njia ya kupata kombora la Russia na kulivugumiza nchi yoyote mwanachama kinyemela ili msala umuangukie Putin? Pongeza kwa Putin kwa kuliona hili mapema na kuwahi kuomba poo before mambo hayajaharibika, maana Mmarekani na genge lake sio watu wazuri hata kidogo. Kweli unaweza kujikakamua kupambana nao lkn mwisho wa siku wewe ndo utaanguka miguu juu. Mungu aepushe mbali vitaa hii, ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi kwa amani.
Kafanya maamuzi aliwa na hasira na panicNassuport policies zake za nationalism ila kwa hili la kuipiga Ukraine hapana.
Amekosea sana.
Sijajua lengo la kuitaja chadema: ama unadhani mm ni mwanachama wa Chadema au mfuasi. Si kweli.Endelea kuota unazani moscow ni kama chadema kule wanajielewa , sana putin kuwa mahali hapo yupo wakati sahihi , pamoja na vikwazo lkn bado ana survive kibabe
Duuhh hivi Siasa za Putin umeanza kuzifatilia baada ya hii vita kuanza???Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani, so kuuchukua uzi wa mtu ambae kila siku anatumia data zake, muda wake, fikra zake na energy yake kuchangia comment mbali mbali au kuandika thread mbali mbali afu kwenda kuunganisha na uzi wa mtu mungine bila taarifa au sababu za msingi ni kuingilia uhuru wa watu kutoa maoni yao hapa jukwaani. Kwahiyo mwisho wa siku mtajenga hofu na uoga kwa wateja wenu, maana mtu atajua akileta uzi hapa kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu yanayojiri huko duniani mods watauchukua huo uzi wake na kuupeleka sehem wanayojua wao bila idhini yake ili kupoteza maana ya kile alichoandika hapa jukwaani. So nina imani mods mtazingatia ushauri wang huu niliowapa. Tuje kwenye mada husika. Ndugu zangu kitendo cha raisi wa Russia kuomba poo ya mazungumzo ya kumaliza mapigano kati ya jeshi lake linalosifika kuwa na nguvu zaidi duniani baada ya lile la Marekani, kimewashangaza wengi waliokuwa wakimuunga mkono mbabe huyo na jeshi lake. Wakati akijiandaa na uvamizi, wengi wa wapambe wake walitegemea uvamizi wake ungechukua usiku mmoja tu kumaliza kile alichoita safisha safisha ya viongozi vibaraka wa magharibi. Sasa anashangaa pamoja na ukubwa wa jeshi lake, wingi wa silaha zake, na ukubwa wa nchi yake ameshindwa kutwaa hata miji mitatu tu mikubwa, badala yake yeye ndo amekuwa akirudishwa nyuma na kunyang'anywa mji wa pili kwa ukubwa ambapo hapo awali jeshi lake ndo lilikuwa linaumiliki. Bila shaka Putin ashasoma alama za nyakati baada ya kunusa ule mtego wa Marekani ambao waliutega kwa lengo la kupata sababu ya kuingia kijeshi kuiadhibu Russia kupitia katika ardhi ya Ukraine. Ikumbukwe Marekani na genge lake la NATO walisema hawawezi kuingia vitani kuisadia Ukraine kwani sio mwanachama wao kamili wa NATO. Ila nyuma ya pazia Marekani alikuwa anapanga mpango wa kurushwa kombora moja tu la Russia nchini Poland ambae ni mwanachama wa NATO ili watemi hao wa dunia waweze sasa kuingia kazini live bila kujificha kwa kisingizio kuwa Russia ndio ilianza uchokozi wa kumshambulia mwanachama mwenzao wa NATO (Poland) Silaha kubwa kubwa zimekuwa zikitumwa Ukraine usiku na mchana kwa kisingizio cha kuipa msaada wa silaha Ukraine, kumbe wakubwa hawa wanaziandaa kwa ajili ya kwenda kuzitumia wenyewe hapo baadae baada ya mipango kukamilika. Mimi na wewe hatujui hilo kombora lingerushwaje rushwaje ili mission yao ikamilike kuingia mzigoni. Wangesubiri kombora la Russia likosee njia na kuangukia kwa mwanachama wao? au wale wale askari wa Ukraine wangetafuta njia ya kupata kombora la Russia na kulivugumiza nchi yoyote mwanachama kinyemela ili msala umuangukie Putin? Pongeza kwa Putin kwa kuliona hili mapema na kuwahi kuomba poo before mambo hayajaharibika, maana Mmarekani na genge lake sio watu wazuri hata kidogo. Kweli unaweza kujikakamua kupambana nao lkn mwisho wa siku wewe ndo utaanguka miguu juu. Mungu aepushe mbali vitaa hii, ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi kwa amani.
Sekta binafsi ipo profit oriented. Watataka misamaha ya kodi kwenye biashara zao n.k gharama inarudi kule kule tu. Unless useme in time being serikali isikusanye kodi yoyote kwenye mafuta.Inshu kama hyo sio lazma serikal ihusike Moja Kwa Moja... Sekta binafsi ipo wangeshirikiana na seeikali tu..