political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
ivyo vyoo wanavyovijenga kumbuka nyie ndiye mnaoenda kuwaomba msaada wawajengeeHAYA NDIO MAZUZU ALIYOSEMA NYERERE,
HIV VYOO HIVYO NA HIYO MISAADA YOTE INAFANANA NA MALI WANAZOVUNA NCHI HII?
China mtoe apo hana tech yoyote zaidi ya kukopi na ku pasteTop 10 Largest Navies in the World (by total number of warships and submarines - 2020):
- China - 777
- Russia - 603
- North Korea - 492
- United States - 490
- Colombia - 453
- Iran - 398
- Egypt - 316
- Thailand - 292
- India - 285
- Indonesia - 282
hao hao you call them mashoga wata-mfix tu atake asitake.Yani mashoga 40 wanapambana na mwanaume mmoja
Hahahaππ€£ππ€£π uwe mpole tu...wengineo wamezaliwa miaka ya 2000 na hata vitabu vya historia na siasa hawavijui...Mkuu umezaliwa lini Kama hujui mchango wa Russia katika ukombozi wa kusini mwa jangwa la saharaβοΈ I see siwezi tena kubishana nawe.
Huu ni wizi si ndio? Au mie nimeelewa vibaya.US Confiscates Oil from Russian-Operated Ship Near Greece
Washington has seized an alleged Iranian oil cargo from a ship operated by 19 Russian crew and impounded by Greek authorities near the island of Evia last month.
An anonymous source from the Greek shipping ministry told Reuters that the US Dept of Justice informed Athens of the cargoβs origins and that the oil had been transferred to an American vessel to be taken to the US.
Subscribe to RT t.me/rtnews
Ni aibu kabisa kwako kuleta comment ya Aina hii....sijui ni Mtanzania wa wapi wewe?!?! Yaani unafurahia kujengewa choo?! Don't you know kwamba that is humiliation? Hujui kabisa kuwa Wazungu na hasa hao Waingereza na Wmarekani ni washenzi na wezj wa radlimali zetu?! Yaani wanatuibia dhahabu, almasi na kadhalika halafu ndio wanatupatia misaada ya udhalilishaji?! Hujui kuwa sisi siyo maskini Bali umaskini huu 'tumelazimishwa' kuwa nao kutokana na mfumo kandamizi wa dunia?!pro Russia niwakumbushe kuwa adi ndugu zetu uko kinijini wanaokunya porini wametengenezewa vyoo kwa msaada wa USAID
Serious or unatania [emoji1787]Niweke kwenye msafara siku ikifika chief.
Of course ni John Depp π¬ a like. That what they are planning. Bas thing wamegundua asset za Russia in EU hazifiki EUr 50 billion na jamaa kakalia ndege zao na kawaambia hawatoki na kitu Russia kama wataendelea kutaifisha Mali za Russians.Huu ni wizi si ndio? Au mie nimeelewa vibaya.
Saudi Arabia icho kitu awez kuthubutu kukifanya neverDUNIA INABADILIKA KWA KASI SANA
[emoji635][emoji1210][emoji1033] Saudi Arabia and Argentina have expressed interest in joining the BRICS group (Brazil, Russia, India, China, and South Africa), Russian Foreign Minister Sergey Lavrov says.
KWANI TECHNOLOGY NI NIN?China mtoe apo hana tech yoyote zaidi ya kukopi na ku paste
fuatilia history vizuri china iyo kula ya veto kaipatajeKWANI TECHNOLOGY NI NIN?
KAMA HANA TECHNOLOGY THEN WHAT FACTOR CONSIDERED CHINA KUWA NA KURA YA VETO KWENYE UN SECURITY COUNCIL, IKAACHWA INDIA?
π π πTanks za mamilion ya dolar vinakuja kuunguzwa na vijeverin vya laki
Sidhani kama hata anajua kitu mwambie pia alipewa nishani ya juu kabisa nchini urusi kaacha mke aliwa mjamzito wakati huo. Wanaosapoti nato wengi kichwani weupe sanaNdugu yangu nani kakuambia Urusi hawakutia ground forces Syria?
Urusi kapigana sana Syria Tena ground forces Kali kabisa .
Unakumbuka kisa kimoja Askari mmoja dogo TU wa Urusi.
Alikua anapiga na ISIS Yuko na wenzake.
Yeye ikatokea akiwa peke yake akawa anapambana nao kishenzi.
ISIS wakiwa wengi kweli,kacheza nao lakini hawaishi wanazidi kumsogelea TU.
Akaona isiwe taabu,akaomba msaada wa ndegevita,akaielekeza Yuko wapi,akaiamuru ipige pale alipo kwa sababu Kuna ISIS wengi ili wafe na yeye afe ili wasije wakamteka .
Yaani afe pamoja nao.
Aisee Ile ndege ilikua ikapiga pale mahala walikuafa ISIS kibao pamoja na dogo huyo wa Urusi.
Ingekua USA angekubali kutekwa halafu nchi yake ingebembeleza kulipua hela ili dogo wa USA aachiwe na magaidi.
Huyo alikua ni askari wa miguu wa Urusi