Most of the best weapon wanayojua kuitumia. Wanakuchachafya kwanzaNATO NA USA propaganda wanaiweza hasa... Na wanatumia kutawala nchi nyingi sana
Wanaiweza ikiwa pia wataacha pande zingine zitoe taarifa na sio kumiliki utoaji taarifa hizo za propaganda na Fake News.NATO NA USA propaganda wanaiweza hasa... Na wanatumia kutawala nchi nyingi sana
walianza kumlegeza kwanza.
Sasa ameshalegea unatupiamo muhogo mzima!
Putin bye bye!
Ndo Putin ajue western countries ndo wanarun dunia kiuchumi, kijeshi na ndo maana kiurusi hata top ten ya nchi zenye GDP kubwa hakipo, na bado atabanwa kende mpaka maji aite mma na muhogo aite mhoho. Mabepari achana nao ndo maana china waliona ni upumbavu kuendelea na sera za ujamaa maana hazilipi wakaingia kwenye ubepari mazima matokeo yake leo hii China yupo namba mbili kiuchumi. Na china kwenye sakata hili haongei sana maana hataki kumuuzi sana US na wenzie maana anakumbuka kichapo cha kiuchumi alichopewa juzi kati ndo maana anaenda aste aste.Hii sasa ni kufuru.
Marekani imesema baada ya kuiondoa benki kuu ya Russia kwenye mifumo yake ya kifedha kitakachofuatia ni kuizuia kutumia fedha yake US Dollar.
Mungu wa mbinguni wahurumie raia wa Tanzania wanaoishi Russia!
Kwani wamezizuia pande zingine kutoa taarifa? si wanatoa uchaguzi ni kwa wasaka taarifa wachukue zipi. Nchi kama Russia, Iran, North Korea, China si wana mashirika yao ya habari?Wanaiweza ikiwa pia wataacha pande zingine zitoe taarifa na sio kumiliki utoaji taarifa hizo za propaganda na Fake News.
HahaaaNdo Putin ajue western countries ndo wanarun dunia kiuchumi, kijeshi na ndo maana kiurusi hata top ten ya nchi zenye GDP kubwa hakipo, na bado atabanwa kende mpaka maji aite mma na muhogo aite mhoho. Mabepari achana nao ndo maana china waliona ni upumbavu kuendelea na sera za ujamaa maana hazilipi wakaingia kwenye ubepari mazima matokeo yake leo hii China yupo namba mbili kiuchumi. Na china kwenye sakata hili haongei sana maana hataki kumuuzi sana US na wenzie maana anakumbuka kichapo cha kiuchumi alichopewa juzi kati ndo maana anaenda aste aste.
Hao jamaa wanatumia akili nyingi kuliko nguvu na anayetumia akili hufanikiwa sanaMost of the best weapon wanayojua kuitumia. Wanakuchachafya kwanza
mbona wanalia lia na wamekuwa na maneno meengi so pressure nyingi wakashindwa kuhimili wanaume hawana vifua vita hata wiki haina wanakimbilia kutishia nuclear je vita ikiendelea mwezi miezi mwaka miakaRussia wanaendelea kusisitiza kwamba walijiweka tayari kwenye nuclear weapons... Sababu kulikuwa na pressure nyingi kutoka kwenye nchi za ulaya na magharibi
Russia wanaendelea kusisitiza kwamba walijiweka tayari kwenye nuclear weapons... Sababu kulikuwa na pressure nyingi kutoka kwenye nchi za ulaya na magharibi
Mkuu Nuclear unayosikia kama hujatoa tahadhari watu hawatakuelewa.mbona wanalia lia na wamekuwa na maneno meengi so pressure nyingi wakashindwa kuhimili wanaume hawana vifua vita hata wiki haina wanakimbilia kutishia nuclear je vita ikiendelea mwezi miezi mwaka miaka
kiongozi, putin akianguka ataanguka na maadui zake karibu wote ,lazma afyatue tu manuclear, die with me tactic lazima aitumie ukizimgatia umri maji yajioni tayari nadhani hana chakupoteza...Tuko na Rais Vladimir Putin - akianguka tunaanguka nae.
Russia wenyewe wamewazuia raia wao kuona taarifa za vita, sembuse Iran, North Korea na China?Kwani wamezizuia pande zingine kutoa taarifa? si wanatoa uchaguzi ni kwa wasaka taarifa wachukue zipi. Nchi kama Russia, Iran, North Korea, China si wana mashirika yao ya habari?
Huyu hana tofauti na Alsahaff aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Iraq ya Saddam hussein.Ukraine makes offer to Russian soldiers who lay down weapons
Ukrainian Defence Minister Oleksii Reznikov has appealed to Russian soldiers, saying they will receive full amnesty and monetary compensation if they lay down their weapons.
Hayo mataifa yanayoinukia ni yapi hasa? Haya ambayo kazi yao kubwa imekuwa ni kupokezana kwenda Ulaya na Marekani kuomba misaada?Russia alichokifanya ni kuwafumbua macho mataifa mengine waone tabia halisi za wamagharibi hivi vikwazo vinavyowekwa hovyo hovyo vitawafumbua macho mataifa mengine yanayoinukia na baada ya huu mgogoro wataanza kudeal na mbinu za kujadiliana navyo kimyakimya soon tutapata SWIFT mpya, heshima ya fifa itashuka nk
Russia ni moja ya supplier mkubwa wa pipi ulaya. Ile ni nchi ya kimafia na putin ni mafia haswaHivi mimi najiuliza sana RUSSIA anapata wapi pesa za kutengeneza hzo nyuklia zote na ana vikwazo kama vyote, anapata wapi pesa?? Russia ni tajir sema propaganda za NATO wanafanya tuone Russia haina kitu.
Russia akitolewa vikwazo vyote atakua hatari sana. Silaha ya mmarekani ni VIKWAZO tu hana mbinu nyingine. Mwisho wake utafika ataanguka tu.
Exactly. Ndo nimachowaambia watu. Yatupasa kulaani mambo ya uvamizi bila kujali anayefanya ni USA au URUSI.Russia wenyewe wamewazuia raia wao kuona taarifa za vita, sembuse Iran, North Korea na China?
China wenyewe wamesema hawako tayari kuingilia suala hilo ishara kwamba waunga mkono kampeni hiyo ya Russia Ukraine.
Dunia kwa sasa yaangalia na hata weye huna budi kujifunza kwamba siku ikingine Marekani, NATO na wengine wakitaka kuishambulia nchi yoyote ile ni lazima nao wakumbane na hali wanayokumbana nayo Russia kwa sasa.
Maana hatukuona kule Afghanstani, Iraq, Syria, Siera Leone na kwingine.
Dunia yasubiri kuona New World Order ikizaliwa.