Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aiseee haya n madini tosha tatizo sisi hatupendi kujifunza na ndio hapo wanapo tula vichwa.
 
Hakuna kifaru icho kwa hapa duniani labda uwe umetumia RPG na sio makombola mazito wala tusiongopeane kwa ilo.
Abrams hasa hii modification ya Sep3 ni more advanced. Vifaru vya NATO vyote wanatumia armoured weapons station na blast proof doors kutenganisha crew na mizinga. Crew inakuwa watu wanne ambao ni dereva anayeonekana mbele akifungua hatch, gunner anayekaa juu na bunduki, tank commander na loader anayekuwa nyuma kabisa akibadili mzinga gani wa kufyatua. Unakuta compartment ya silaha ina shells za armour piercing, HEAT, gun launched missile na nyingine anabadili kadri ya amri ya tank commander.

Kifaru kikipigwa ile mizinga imefungiwa kwenye chamber yake ngumu hailipuki, ikitokea inalipuka kuna weak points nyuma zinafungua mlipuko na moto unatokea nyuma kabisa ya kifaru na crew inasalimika. Mtu vulnerable kufa pale ni gunner ila ni chance ndogo na uzembe wake.

Upande wa Urusi wao wanapenda kupunguza idadi ya crew wawe watatu. Wanatumia automatic loader ambayo hii inasababisha kifaru kiwe na ring la mizinga. Hii ring iko wazi ikitokea kifaru kimepigwa na kupenywa ring nzima inalipuka kwa chain. Ndio maana turrets zinarushwa. Mfumo huu haulindi crew na mara nyingi crew unakufa. Kingine ambacho Marekani walikataa kutumia autoloader wanadai ikiwa una kifaru cha crew ya watu watatu mmoja akijeruhiwa au kupata shida basi waliobaki hawawezi kufanya kitu. Ila ukiwa na kifaru cha wanne, mmoja akapata shida pale loader anakuwa kama reserve.

Israel ndio wako serious na kulinda maisha ya wanajeshi. Vifaru vyao vya Merkava IV vina engine mbele ili ukipiga ukapenya ukutane na injini watu wapone. Na crew compartment ndio ngumu kuliko vifaru vingine. Na wana Trophy active protection system inafanya kazi kama Shtora ya Warusi, zile zinazoonekana kama taa nyekundu mbele ya vifaru zikiwa active. Trophy iko more superior than Shtora na ishakuwa proven mara nyingi
 
Labda kama umeanza kufuatiria mzozo huu baada ya kuanza vita ,ila ss tulio fuatilia mgogoro huu tangu zamani tunajua Ukraine alikuwa na nia ya kujiunga na NATO ,mpaka raisi wa Ukraine alishawahi kusema ni razima Ukraine ijiunge na NATO hata kama Urusi hapendi.
 

Mtu kama huyu sidhan hata kama anajitegemea ni wale unakuta hata chupi ananunuliwa [emoji706][emoji706]
 
Ndio wanalegea hivyo


EU Explains Why it Keeps Buying Russian Oil


Europe cannot place an immediate embargo on Russian oil, European Commission President Ursula Von der Leyen said, as it would allow Moscow to sell its fuel elsewhere and possibly earn more money to fund its military offensive in Ukraine.


Putin might be able to take the oil that he does not sell to the EU to the world market, where the prices will increase, and sell it for more – and that would fill his war chests,” the EU leader told MSNBC.


“Sanctions are hitting the Russian economy hard” but a complete embargo would cause severe damage to the European economy, she added.
 

Hawana jeuri majinga haya. Russia siyo Zimbabwe!
 
Kwa iyo unataka kuniaminisha kuwa kwenye hii markava crew walitoka salama.bro ebu acha utani kaka
 
Leo bangi zimepungua.


Zelensky Demands Answers from EU


Ukrainian President Volodymyr Zelensky told Dutch broadcaster NOS the Netherlands’ Prime Minister Mark Rutte needs to clarify whether Ukraine has a future in the European Union.


“I said very openly to him: If you think there is no place for us in the EU, then you should say so clearly,” Zelensky told NOS.


“You really help us and I am very grateful for that,” he recalled telling Rutte, ”but as far as the EU is concerned, you stayed silent on all the things we wanted to hear.
 
Silaha kapewa kabla au baada ya vita kuanza? Waziri wa UK kasema kabla au baada ya vita kuanza? Msome Yoda, kakujibu vizuri. Big up Yoda. 👏
 
‼️🇮🇳🇷🇺Almost 3 tons of humanitarian aid,including medicines manufactured by an🇮🇳pharmaceutical company,were sent to the🇷🇺forces by the Russian-Indian Disha Friendship Society, the press service of the 🇷🇺 Embassy in 🇮🇳reported on May 28 in its Telegram channel‼️


"The Russian-Indian Disha Friendship Society has organized another batch of humanitarian aid, which includes medicines produced by the Indian pharmaceutical company Panbio Pharm. The aid was transferred to one of the medical centers of the Armed Forces of Russia in Kursk,"
 
😂😂😂😂Kwamba tutusa alafu anajifanya ndio msimamo 🙌🙌🙌😂😂😂😂lig zao mwisho mtaani kwao.
Yaani we acha TU.
Hebu fikiria Mkuu.
Kitu unakijua kabisa,nje ndani,kilipoanzia,kilipo nq kitakapoishia.
Una uhakika nacho kabisa.
Ngoma unaielewesha halafu inakubishaia inajifanya inajua,inajiona Ina msimamo kwa kitu ambacho haikijui.
Aisee naipiga chini.
Ngoma Tutusa TU lkn inajiona Ina akiiili.

Unajua sio kwamba Mimi au baadhi ya watu humu tunajifanya tunajua kuwashinda wengine au tunajua Kila kitu hapana.
Kuna issue kabisa unaeleweshwa na mtu wa mlengo tofauti na wako lkn ukipima unaona kweli huyu anakijia hiki kitu hivyo hata Mimi nakua nimepata jambo jipya,nimejifunza.
 
Fact

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kuwa na nia ndio ashambuliwe? Ashambulie basi Finland na Sweden kwani si kuonyesha nia tu, wameomba kujiunga NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…