Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

This is real T14 Armata i knew, i do respect you mwalim shida mimi kama pro Russia najua kuchanganua
Ukizidisha mahaba unaishusha heshma yako tupo wengi ambao tunapita kimya kimya ila Alhamdulillah tunauwelewa mkubwa wa kupambanua
Pro Russia zamani mlidhani mimi ni timu yenu. Wakati mimi niko neutral na sikubaliani na upande wowote wenye fujo. Ndio maana nawapinga Israel kwenye missions za Gaza, nawaunga mkono Russia wakiwa Syria, nawakataa Russia wakiwa Libya na nawakataa Marekani sehemu nyingi tu.

Humu watu wengi walizoea kusoma kuhusu Syria ndio mara zote huwa napinga anachokifanya Marekani kule
 
Unakaujinga flani iv ila unanifurahisha kquma yan😜😜😜
 
Kwa iyo unataka kuniaminisha kuwa kwenye hii markava crew walitoka salama.bro ebu acha utani kakaView attachment 2243643
Kuna sehemu nimesema kila kifaru lazima kisalimike? Kwanini kama huna hoja unaquote. Israel wenyewe waliotengeneza wanajua haviko salama 100%.
Wapi katika dunia hii uliwahi ona any machine with 100% reliability, 100% efficiency? Wapi uliwahi ona silaha ambayo haiharibiki. Sasa maana ya vita ni nini, kama haviaribiki why wawe na quantity kubwa.

Abrams moja kwenye Iraq war ilipigwa ikaungua masaa na kuzima moto ila commander aliyebaki ndani alifunga seals zote na moto ulipozima wakafungua escape hatch wakamtoa mzima wala hajazirahi.
 
Diplomasia ndio njia nzuri ya kutafuta suluhisho la kudumu.
 
Jidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.

Watu wanaishi maisha magumu sn
Putin hata ziitishwe kura leo. 90% ya wananchi wake tu ndani ya nchi yake hawamtaki. Hii vita hawaitaki hata kidogo. Hata hao wanajeshi wameenda vitani kwa kulazimishwa. Ksbb tu Putin ndio final say na kundi lake la matajiri sana urusi ”orgach”. Na hii vita kitu kikubwa hao ma-orgach wanapigana kulinda maslahi yao. Yeye anaendeshe tu kidictetor. Vyombo vya habari huru amevipiga pin kureport chochote asichokitaka yeye. Kwa hiyo huwezi kupata habari sahihi kutoka urusi.
 
Hatma ya vita hii aidha Ukraine itakuwa nchi vipande vipande zaidi ya,moja au itafutika kabisa. Sehemu za mashariki zitaunganishwa na Russia na zingine zitakuwa nchi huru ndogo ndogo. PIa inasemwa chinichini japo inakanushwa kuwa Poland nayo inapigia .mahesabu kipande cha magharibi ya Ukraine.

Propaganda zinavyoendeshwa na nchi za magharibi na rais wa ukraine zinaonyesha Russia inapigwa sana. LaKini ukiangalia ramani ya maeneo ambayo Russia imeyateka idadi ya askari wa Ukraine wanaouawa na kutekwa vifaa vya kijeshi vya ukraine vinavyoharibiwa na Russia utaona kuwa kinachosemwa kuwa Russia inapigwa vibaya ni maneno matupu.

Vita inapiganwa ndani ya ardhi ya Ukraine, baada ya kutekwa Donbas Russia itajielekeza kuteka Odesa na mwishowe Ukraine iliyobakia itakuwa land locked country.

Kiucbumi pia Russia imeishaibuka mshindi na kuyumba kulikotokea ku.mestabilise. ncbi za magharibi zinakabiiwa na mifumuko ya bei na reccession.

Nishati ya Russia haina mbadala ndio maana projection zinaonyesha mauzo ya mafuta ya Russia yameongezeka na kupunguza pengo lililotokana na vikwazo na .mwezi juni inakisiwa yatarudi katika level kabla ya vita

Kama rais wa ukraine angekuwa mjanja angeisbia kuipoteza Crimea tu na Donbas angeiokoa ingawa ingekuwa federated ndani ya ukraine lakini sasa kiburi chake na kudanganywa na west haya anayoyakataa sasa yeye mwenyewe atakubali east ukraine iondoke na ichukuliwe na Russia ili vita iishe.

Tusubiri muda ndio mwalimu mzuri, hadi August picha itakuwa imejichora tayari.
 
Uko sahihi tofauti ya Ukraine na Urusi kwenye hii vita ni kuwa wananchi wa na Raisi wao Ukraine wako pamoja kupigania nchi yao wakati Urusi Jeshi wanapigania mtu mmoja tu Putin na Ma Oligach mafisadi yake.

Wananchi Hawako na Putin

Mori wa Jeshi la Ukraine uko juu sana sababu ni Jeshi.la wananchi wakati Urusi mori uko chini sababu wanachopigania wanajua wanapigania Putin na mifisadi yake. Sio nchi ndio maana wengine wameanza kugoma kupigana
 

Harpoon Missiles Arrive in Ukraine​

WORLD HAL TURNER 29 MAY 2022 HITS: 3122

The Odessa, Ukraine Regional Military Authority said Sunday "So many Harpoon missiles have been handed over to us, we can sink the entire Russian Black Sea Fleet."
The Harpoon is an all-weather, over-the-horizon, anti-ship missile developed and manufactured by McDonnell Douglas (now Boeing Defense, Space & Security). The AGM-84E Standoff Land Attack Missile (SLAM) and later AGM-84H/K SLAM-ER (Standoff Land Attack Missile - Expanded Response) are cruise missile variants.
The regular Harpoon uses active radar homing and flies just above the water to evade defenses. The missile can be launched from:
  • Fixed-wing aircraft (the AGM-84, without the solid-fuel rocket booster)
  • Surface ships (the RGM-84, fitted with a solid-fuel rocket booster that detaches when expended, to allow the missile's main turbojet to maintain flight)
  • Submarines (the UGM-84, fitted with a solid-fuel rocket booster and encapsulated in a container to enable submerged launch through a torpedo tube);
  • Coastal defense batteries, from which it would be fired with a solid-fuel rocket booster.
It has not (yet) been revealed which type of Harpoon missiles have been sent to Ukraine and there is GIGANTIC RISK for NATO countries depending upon the type of Harpoon sent. You see, at least one of the Harpoon variants has the ability to use net-enabled networking for in-flight target updating.
That updating would have to come from a NATO ship or aircraft as the missiles flew, once launched by Ukraine.
If a NATO ship or aircraft provided in-flight target updating, that would constitute active participation in the war, and would be an "act of war" against Russia.

Here are the various types of Harpoon Missile:

Harpoon Block 1D​

This version featured a larger fuel tank and re-attack capability, but was not produced in large numbers because its intended mission (warfare with the Warsaw Pact countries of Eastern Europe) was considered to be unlikely following the Dissolution of the Soviet Union. Range is 278 kilometers (173 mi). Block 1D missiles were designated RGM/AGM-84F.

SLAM ATA (Block 1G)​

This version, under development, gives the SLAM a re-attack capability, as well as an image comparison capability similar to the Tomahawk cruise missile; that is, the weapon can compare the target scene in front of it with an image stored in its onboard computer during terminal phase target acquisition and lock on (this is known as DSMAC). Block 1G missiles AGM/RGM/UGM-84G; the original SLAM-ER missiles were designated AGM-84H (2000-2002) and later ones the AGM-84K (2002 onwards).

Harpoon Block 1J​

Block 1J was a proposal for a further upgrade, AGM/RGM/UGM-84J Harpoon (or Harpoon 2000), for use against both ship and land targets.

Harpoon Block II​



Loading Mk 141 canister launcher
In production at Boeing facilities in Saint Charles, Missouri, is the Harpoon Block II, intended to offer an expanded engagement envelope, enhanced resistance to electronic countermeasures and improved targeting. Specifically, the Harpoon was initially designed as an open-ocean weapon. The Block II missiles continue progress begun with Block IE, and the Block II missile provides the Harpoon with a littoral-water anti-ship capability.
The key improvements of the Harpoon Block II are obtained by incorporating the inertial measurement unit from the Joint Direct Attack Munition program, and the software, computer, Global Positioning System (GPS)/inertial navigation system and GPS antenna/receiver from the SLAM Expanded Response (SLAM-ER), an upgrade to the SLAM.
The US Navy awarded a $120 million contract to Boeing in July 2011 for the production of about 60 Block II Harpoon missiles, including missiles for 6 foreign militaries.
India acquired 24 Harpoon Block II missiles to arm its maritime strike Jaguar fighters in a deal worth $170 million through the Foreign Military Sales system. In December 2010, the Defense Security Cooperation Agency (DSCA) notified U.S. Congress of a possible sale of 21 additional AGM-84L Harpoon Block II Missiles and associated equipment, parts and logistical support for a complete package worth approximately $200 million; the Indian government intends to use these missiles on its Indian Navy P-8I Neptune maritime patrol aircraft. The Indian Navy is also planning to upgrade the fleet of four submarines – Shishumar class – with tube-launched Harpoon missiles.
Harpoon Block II missiles are designated AGM/RGM/UGM-84L.
In early 2018, the U.S. State Department approved the sale of Harpoon Block II to the Mexican Navy for use on their future Sigma-class design frigates, the first of which is being built by Damen Schelde Naval Shipbuilding.

Harpoon Block II+​

On 18 November 2015, the U.S. Navy tested the AGM-84N Harpoon Block II+ missile against a moving ship target. The Block II+ incorporates an improved GPS guidance kit and a net-enabled data-link that allows the missile to receive in-flight targeting updates. The Block II+ is planned to enter service in 2017.
The USN intends to deploy the Harpoon Block II+ in late FY2018[24] by upgrading its existing inventory of Harpoon IC missiles.

Harpoon Block III​

Harpoon Block III was intended to be an upgrade package to the existing USN Block 1C missiles and Command Launch Systems (CLS) for guided missile cruisers, guided missile destroyers, and the F/A-18E/F Super Hornet fighter aircraft. After experiencing an increase in the scope of required government ship integration, test and evaluation, and a delay in development of a data-link, the Harpoon Block III program was canceled by the U.S. Navy in April 2009.[citation needed]

Harpoon Block II+ ER​

In April 2015, Boeing unveiled a modified version of the RGM-84 it called the Harpoon Next Generation. It increases the ship-launched Harpoon missile's range from the Block II's 70 nmi (81 mi; 130 km) to 167.5 nmi (192.8 mi; 310.2 km), along with a new lighter 300 lb (140 kg) warhead and a more fuel-efficient engine with electronic fuel controls. Boeing offered the missile as the U.S. Navy's Littoral Combat Ship frigate upgrade over-the-horizon anti-ship missile as a cost-effective missile upgrade option; complete Next Gen Harpoons would cost approximately as much as a Block II at $1.2 million each, with upgrades for an existing missile costing half that. The version is also called the Harpoon Block II+ ER. Boeing claims the Block II+ ER is superior to the Naval Strike Missile through its improved turbojet giving it greater range and active radar-homing seeker for all-weather operation, as well as a lighter but "more lethal" warhead. Test shots in 2017 had been confirmed. In May 2017, Boeing revealed it was no longer offering the upgraded Harpoon for the frigate OTH missile requirement, but would continue development of it.
Radio frequencies used for the net-enabled, in-flight target updating for the Harpoon missile, ARE KNOWN to the Russians. They can monitor those frequencies for in-flight target updates, and they WILL know if a NATO plane or ship participated in a missile strike upon a Russian Naval vessel.
 
Mashirika zaidi ya 54 ya Uagizaji Gesi, 102 ya uagizaji Mafuta, na 85 ya Makaa ya Mawe yametimiza Shariti la Rais Putin kufungua Akaunti za Sarafu ya Urusi Rubles kwenye Bank ya Taifa la Russia GazproBank.

..
Inasaidia mini Urusi akilipwa law Rubles
Unachekelea kitu usichokijua ni ujinga mtupu
Urusi kawekewa vikwazo vya kibiashara na kibenki.Hayo ma Rubles yake atayajaza tu kwenye maghala ya kuhifadhi fedha Benki kuu ya Urusi hawezi agiza chochote nchi za Magharibi sababu ya vikwazo na hawezi kubadili kwa pesa za dollar au Euro au pound !!
Yana faida gani hata alipwe hataki hata kwenye masoko ya fedha
 
Kuna taarifa unazo ambazo hujataka kushare zinazohusiana na hii operation
Kifupi yawezakana wengi wameingiwa na huruma na emotions nk.
 
MUNA bishaana humu nendeni muka volunteer huko balozi si zipo nendeni mukawe Frontline,

Wengine pengine wameamza February 2022, wengine wakati wa Crimea na wengine movie walizoziona

Na wengine ni wale wa BBC & DW watakwambia Gaddafi.............

Na wengine hata kwenye taasisi tu uliyopo hawakuamini halafu unamwita PUTIN mjinga KGB agent rais wa watu million kadhaa, alitoka madarakani akarudi tena inahitaji, Ni robotic mind tu ndo inaweza kumuchukulia poa Putin🤣🤣🤣🤣

Utabishana nao mpaka uchoke kwasababu wanataka kuridhisha nafasi zao so wataifurahia Habari alimuradi waridhishe nafsi zao
 
Kwa nini unawaunga mkono Russia kuhusu Syria na unawapinga Wamarekani kuhusu Syria?
 
 
Usichokijua ni

Wananunua kwa ruble yaani wanaenda kuitafuta ruble kwe bureau de exchange kwao au ndani ya Urusi.

Wanainunua kwa Pound au Euro au dollar hivyo fedha yao inabaki Urusi wao wanaondoka na ruble.

Hivyo Urusi anabaki na fedha za kigeni.

Au unafikiri ruble wanaipataje ili wafanye manunuzi?
 
Aisee ulifanikiwa hata kufaulu darasa la nne kwelii.
Izo rubble si wananunua kwa pound,euro au dollar ndio waweze kupata mafuta.
Sasa si atakua na izo currency kwa ajili ya maitaji yake na USA/EU wanabaki na Rubble.
Kuna parata wanakuaminia humu ndani so usiwape wakati mmgumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…