Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro Russia zamani mlidhani mimi ni timu yenu. Wakati mimi niko neutral na sikubaliani na upande wowote wenye fujo. Ndio maana nawapinga Israel kwenye missions za Gaza, nawaunga mkono Russia wakiwa Syria, nawakataa Russia wakiwa Libya na nawakataa Marekani sehemu nyingi tu.

Humu watu wengi walizoea kusoma kuhusu Syria ndio mara zote huwa napinga anachokifanya Marekani kule
Sidhanii kama wengi walidhania hvyo MKUU
Binafsi mie sikujua kama upo upande gani ila nlikua napingana na mtazamo wako juu yayanayoendelea
Yaani ulikua ama mpaka sasa unataka OP imalizike ndani ya dakika kadhaa kama vile watu wanafanya maonesho flani
Hapo ndio tunatofautiana mie nawewe kuna uzi ule mmoja ukasema kwamba RUSSIA hajateka hata mji mmoja at the end ukanikataa mpaka kutaka kuniita MJINGA
Shida yenu nikwamba munatamani kutotaka kuegemea upande ila munashindwa kubalance
Hata wengine kina mimi sio kwamba hatujui kama RUSSIA anachofanya anakosea hapana tunajua sana kama jamaa anakosea pakubwa ila tumekuja kuungana nae baada yakuona walofanya kama yale nawanaoendelea kufanya yale yale wanaungana dhidi yamwenzao anaefanya kama wao (sisi tupo kumi nyie tisa mnaungana kuiba ila mmoja akijitenga kuiba mnamkataa) hapa ndio tukaona kuna sababu nyuma yapazia
RUSSIA acha aendelee kutoa dozi mpaka kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali si nzuri kwa sasa ukrain hata inaonekana anga la ukrain kuwa na tahadhariView attachment 2119387
Ukiachana na mambo ya vita nimeipenda hii picha.Nataka waione abiria wa ndege za kimataifa na wale ambao hawajawahi kusafiri.Hivyo ndivyo anga la maeneo mengi ya dunia linavyokuwa.Ndege kama utitiri na hizo ni zile ambazo ziko 10,000 ft na kuendelea .Ama zile za ndani ya nchi kama za kutoka Dar/Mwanza na miji mingine hazijuumuishwi kwenye picha hiyo. Nawapongeza sana marubani na waongoza ndege.Kwa kweli ni kazi ya kitaalamu sana ukizingatia kwamba ajali za ndege ni matokea machache kulingana na wingi wa safari.
Marubani na waongoza ndege na rada huwa hawaingizi uzalendo wala siasa katika kazi zao.Rubani akielekezwa usikatishe anga hili huwa hana mjadala.Anatii papo hapo.
Hiyo picha inayoonekana hapo ni katika maeneo ambayo hayana msongamano mkubwa wa ndege na katika wakati ambapo safari za kimataifa zimepungua sana kutokana na maradhi na vita.
 
Putin hata ziitishwe kura leo. 90% ya wananchi wake tu ndani ya nchi yake hawamtaki. Hii vita hawaitaki hata kidogo. Hata hao wanajeshi wameenda vitani kwa kulazimishwa. Ksbb tu Putin ndio final say na kundi lake la matajiri sana urusi ”orgach”. Na hii vita kitu kikubwa hao ma-orgach wanapigana kulinda maslahi yao. Yeye anaendeshe tu kidictetor. Vyombo vya habari huru amevipiga pin kureport chochote asichokitaka yeye. Kwa hiyo huwezi kupata habari sahihi kutoka urusi.
Vyombo vyahabari hata huko west wamevipiga marufuku seuze RUSSIA
Endeleeni kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa ukabiliane na hoja bila kumshambulia mleta hoja. Kumshambulia mleta hoja ni dalili moja wapo ya kuzuia mawazo huru juu ya mada iliyopo mezani. Pia ni dalili ya kuonyesha nia yako ni kulazimisha watu wakubaliane na msimamo wako huku ukicheza kutokuwa na makosa( playing innocence games).

Baada ya maelezo hayo narudi kwenye hoja yako iliyofungwa kwenye kabrasha la swali. Nikupe maelezo mafupi kwanza. Juu ya idadi ya makombora yaliyotunguliwa na mengine kutua sehemu yalipolengwa na mengine ambayo hayakuweza kulipuka na mengine yaligoma kutoka kwenye mitutu ya meli vita za US, UK na France inategemea vyanzo vya taarifa yako. Kwa haraka naweza kubashiri chanzo cha taarifa yako ni kipi. Hata hivyo, nikuhakikishie kuwa ufanisi wa melivita za nchi nilizotaja kuishambulia Syria wakati wa tukio ni za ukweli. Hii ni baada ya mimi binafsi kutafuta ukweli ya jambo hili kutoka kwenye vyanzo vya Habari vya magharibi, Mashariki, na vile visivyo na upande wa ama mashariki ama magharibi. Na kama upo makini kutaka ushahidi wa maelezo haya, rejea kwenye uzi uliozungumzia tukio lile humu JF, nilijitahidi sana kuweka maelezo haya kwa ufasaha.

Sasa swali lako. Kwanza tuelewane kitu kimoja ( huu ni ushauri sikulazimishi tuelewane) kuwa kushambulia kitu kupo kwa aina nyingi. Katika kiwango cha mtu binafsi, unaweza kumshambulia mtu kwa maneno, kwa ngumi na mateke ama makofi na kwenzi, kwa kutumia panga mikuki, sime na mishale ama kutumia risasi nakadhalika. Haya yote ni mashambulizi katika kiwango cha mtu binafsi. Tupo wote?

Sasa katika kiwango cha manoari ama merikebu vita, hii mitambo inaweza kushambuliwa kwa mizinga ya 'torpedo', ama mizinga ya kutoka kwenye ndege vita ama mizinga ya ardhini. Mashambulizi haya usababisha uharibifu mkubwa unaoonekana ambao waweza kusabisha meli kuzama ama kutotumika tena. Lakini kuna mashambulizi mengine dhidi ya mitambo hii ya kivita ambayo yanafanya uharibifu mkubwa pia lakini uharibifu huu hauonekani kwa macho, sana sana unatambua uharibifu huu kwa kuona mtambo vita ( e.g. manoari na merikebu vita) zikishindwa kutekeleza kazi iliyotarajiwa ifanye. Mashambulizi haya, mara nyingi yanaangungia kwenye mbinu ya kivita ya kutumia teknolojia ya electroniki na hii ni kwa sababu zana nyingi za kivita kwa sasa zinatumia " electronics technologies". Kwa taarifa zilizopo ni kuwa Russia ipo mbele kwenye utaalamu wa mambo haya.

Sasa kujibu swali lako, ni kuwa kuna uwezekano mkubwa, Russia alizishambulia merikebu za kivita za US, UK na France kwa kutumia silaha ambazo hazionyeshi uharibifu unaooneka kirahisi mpaka uamrishe mtambo ulishambuliwa ufanye kazi. Nadhani sasa nimekujibu, hata hivyo sikulazimishi kukubaliana na mimi hata baada ya kukupa maelezo haya.
Uzuri wewe nakufahamu humu jukwaani,Ni kondoo mfuata mkumbo kwahiyo sihangaiki na wewe kabisa.

Hivi ukisoma post yangu bila Kilevi,unaweza kunionesha wapi nimemshambulia mleta maada? Zaidi ya kurekebisha alichokisema? Angelikuja yeye kudai Chanzo Cha habari angelipewa,badala Yake umekuja kikondoo.
 
Acha porojo with all due respect Malkia ceremonial head, power ipo number 10 downing street, kwa PM Boris Johnson.
Hamuupendi ukweli ila ndio mtaambiwa vumilieni
Kama wao wameamua ceremonial lida awe dikteta
Wenzao wameamua mwanasiasa awe dikteta
Kama mmezoea kupangiwa namna yakuishi nikwenu huko AFRIKA ASIA nakwengineko ila sio kwa RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukutane field!!!
====
Hivi mmeishasahau kilichowatokea US, France na UK kule Syria? Walijifanya kumshambulia Syria kwa missiles kutoka kwenye manoari na merikebu zao eti katumia silaha za kemikali kumbe ni wale wahuni wa White helmets ndiyo wamefanya igizo!

Wote kwa Pamoja walipanga kurusha zaidi ya missiles 250. Lakini zilizofanikiwa kurusha ni Karibu 110 na na Karibu zote zikidakwa na mitambo ya ulinzi wa anga wa Syria zikiwemo S-300. Wataalamu wanasema zile 250-110 missiles ambazo zilimisfire, inasemakana Russian electronic warfare technologies zilihusika kati hilo. Kumbuka Russia ana kituo cha kijeshi Magharibi mwa Syria muda mrefu. Tukio hili lilitokea 2018!

Kwa hiyo, hivi vitu vya range isiyozidi 300km sidhani kama vitamsumbua Russia.
hahahahahahahahah mrusi atawafurahisha
 
Ok kwa hiyo bado NATO hawajakata tamaa,wanaendelea kuchangishana viji silaha.
Aisee hii ndio NATO tuliokua tunaijia au hii ni NATO B.
NATO wajanja sana , nakumbuka enz za Kutolewa Ghadaf walisema hawaiungi mkono serikali ya Ghadaf ila hawatojihusisha ktk kumtoa madarakani ila nyuma ya pazia Gaid Ghadaf alitolewa na West waliwasaidia wapiganaji waliolenga kumtoa Ghadaf madarakani
 
inshu sio kumpa vislaha vya enzi za ujima tunataka nato wakiongozwa na baba yao America watie maguu kwenye uwanja wa vita kama walivyofanya Iraq, Libya , Afghanstan na pale kosovo, hapo ndio tutajua Putin anapigana na wanume, ila kwa sasa kwa hizi ngojera wanazoleta watabaki kua ni kikund kinachounda umoja wa machoko against mwamba Putin
Jina Carifonia ila akili ipo Moscow , hz ndo pipo tunategemea ziikomboe Afrika
 
Rasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.

Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.

Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.

______________


Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.

"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.

Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.

Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.

Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC

Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]View attachment 2243356
Mungu kama Wewe upo Tunaomba kisasi kikali kwa Russian federation pamoja na Putin. Amen
 
Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.

NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.

Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.

Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.

Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.

Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.

Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.

Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.

View attachment 2119949
HIVYO VIKOSI VIKO WAPI SASA MBONA UKRAINE INATEKETEA
 
Dereva ana hatch pale mbele, akiwa anaenda bila mapigano anapandisha seat anatoa kichwa nje ila akiwa uwanja wa mapambano anafunga hatch na kubakiza vioo vyembamba ambavyo ni armoured ila visibility inakuwa ndogo na anakuwa na upeo mdogo wa kuona kama nyuzi 90 hivi wakati mtu kwa kawaida unaona nyuzi karibia 180. Kwa hiyo wanatumia calculations kali kujua kwa hatua hii navuka ditch fulani na nakwepa mtaro. Ndio maana ukitazama hata movies unaona kifaru kinaingia kwenye mtaro kirahisi wakati kingeukwepa, ni kwakuwa visibility ndogo.

Modern tanks zina persicopes mbili au tatu kuona na zina camera pia. Ila maadui wanasoma type ya kifaru na kujua weak points zake, sensors na periscope ziko wapi, wanaweza zishambulia wakiwa karibu. Ndio maana ni vizuri kifaru kiwe na infantry, sio kinatembea chenyewe mitaani Kyev. Na madereva wa vifaru wanatakiwa wawe wafupi kiasi, hata crew nzima ya kifaru haitakiwi wawe warefu kivile.

Pichani ni T-14 ArmataView attachment 2244154
Le generali himself! keshatupa kyule!
 
Mimi point yangu ni kwamba hakuna kifaru kinachoweza kutoka salama mbele ya kombora zito.kama kipo niambie ni kifaru gani.vyote ni hatarishi tu wala hakuna afadhari
Kuna sehemu nimesema kila kifaru lazima kisalimike? Kwanini kama huna hoja unaquote. Israel wenyewe waliotengeneza wanajua haviko salama 100%.
Wapi katika dunia hii uliwahi ona any machine with 100% reliability, 100% efficiency? Wapi uliwahi ona silaha ambayo haiharibiki. Sasa maana ya vita ni nini, kama haviaribiki why wawe na quantity kubwa.

Abrams moja kwenye Iraq war ilipigwa ikaungua masaa na kuzima moto ila commander aliyebaki ndani alifunga seals zote na moto ulipozima wakafungua escape hatch wakamtoa mzima wala hajazirahi.
 

Harpoon Missiles Arrive in Ukraine​

WORLD HAL TURNER 29 MAY 2022 HITS: 3122
Harpoon Missiles Arrive in Ukraine

The Odessa, Ukraine Regional Military Authority said Sunday "So many Harpoon missiles have been handed over to us, we can sink the entire Russian Black Sea Fleet."
The Harpoon is an all-weather, over-the-horizon, anti-ship missile developed and manufactured by McDonnell Douglas (now Boeing Defense, Space & Security). The AGM-84E Standoff Land Attack Missile (SLAM) and later AGM-84H/K SLAM-ER (Standoff Land Attack Missile - Expanded Response) are cruise missile variants.
The regular Harpoon uses active radar homing and flies just above the water to evade defenses. The missile can be launched from:
  • Fixed-wing aircraft (the AGM-84, without the solid-fuel rocket booster)
  • Surface ships (the RGM-84, fitted with a solid-fuel rocket booster that detaches when expended, to allow the missile's main turbojet to maintain flight)
  • Submarines (the UGM-84, fitted with a solid-fuel rocket booster and encapsulated in a container to enable submerged launch through a torpedo tube);
  • Coastal defense batteries, from which it would be fired with a solid-fuel rocket booster.
It has not (yet) been revealed which type of Harpoon missiles have been sent to Ukraine and there is GIGANTIC RISK for NATO countries depending upon the type of Harpoon sent. You see, at least one of the Harpoon variants has the ability to use net-enabled networking for in-flight target updating.
That updating would have to come from a NATO ship or aircraft as the missiles flew, once launched by Ukraine.
If a NATO ship or aircraft provided in-flight target updating, that would constitute active participation in the war, and would be an "act of war" against Russia.

Here are the various types of Harpoon Missile:

Harpoon Block 1D​

This version featured a larger fuel tank and re-attack capability, but was not produced in large numbers because its intended mission (warfare with the Warsaw Pact countries of Eastern Europe) was considered to be unlikely following the Dissolution of the Soviet Union. Range is 278 kilometers (173 mi). Block 1D missiles were designated RGM/AGM-84F.

SLAM ATA (Block 1G)​

This version, under development, gives the SLAM a re-attack capability, as well as an image comparison capability similar to the Tomahawk cruise missile; that is, the weapon can compare the target scene in front of it with an image stored in its onboard computer during terminal phase target acquisition and lock on (this is known as DSMAC). Block 1G missiles AGM/RGM/UGM-84G; the original SLAM-ER missiles were designated AGM-84H (2000-2002) and later ones the AGM-84K (2002 onwards).

Harpoon Block 1J​

Block 1J was a proposal for a further upgrade, AGM/RGM/UGM-84J Harpoon (or Harpoon 2000), for use against both ship and land targets.

Harpoon Block II​

220px-thumbnail.jpg


Loading Mk 141 canister launcher
In production at Boeing facilities in Saint Charles, Missouri, is the Harpoon Block II, intended to offer an expanded engagement envelope, enhanced resistance to electronic countermeasures and improved targeting. Specifically, the Harpoon was initially designed as an open-ocean weapon. The Block II missiles continue progress begun with Block IE, and the Block II missile provides the Harpoon with a littoral-water anti-ship capability.
The key improvements of the Harpoon Block II are obtained by incorporating the inertial measurement unit from the Joint Direct Attack Munition program, and the software, computer, Global Positioning System (GPS)/inertial navigation system and GPS antenna/receiver from the SLAM Expanded Response (SLAM-ER), an upgrade to the SLAM.
The US Navy awarded a $120 million contract to Boeing in July 2011 for the production of about 60 Block II Harpoon missiles, including missiles for 6 foreign militaries.
India acquired 24 Harpoon Block II missiles to arm its maritime strike Jaguar fighters in a deal worth $170 million through the Foreign Military Sales system. In December 2010, the Defense Security Cooperation Agency (DSCA) notified U.S. Congress of a possible sale of 21 additional AGM-84L Harpoon Block II Missiles and associated equipment, parts and logistical support for a complete package worth approximately $200 million; the Indian government intends to use these missiles on its Indian Navy P-8I Neptune maritime patrol aircraft. The Indian Navy is also planning to upgrade the fleet of four submarines – Shishumar class – with tube-launched Harpoon missiles.
Harpoon Block II missiles are designated AGM/RGM/UGM-84L.
In early 2018, the U.S. State Department approved the sale of Harpoon Block II to the Mexican Navy for use on their future Sigma-class design frigates, the first of which is being built by Damen Schelde Naval Shipbuilding.

Harpoon Block II+​

On 18 November 2015, the U.S. Navy tested the AGM-84N Harpoon Block II+ missile against a moving ship target. The Block II+ incorporates an improved GPS guidance kit and a net-enabled data-link that allows the missile to receive in-flight targeting updates. The Block II+ is planned to enter service in 2017.
The USN intends to deploy the Harpoon Block II+ in late FY2018[24] by upgrading its existing inventory of Harpoon IC missiles.

Harpoon Block III​

Harpoon Block III was intended to be an upgrade package to the existing USN Block 1C missiles and Command Launch Systems (CLS) for guided missile cruisers, guided missile destroyers, and the F/A-18E/F Super Hornet fighter aircraft. After experiencing an increase in the scope of required government ship integration, test and evaluation, and a delay in development of a data-link, the Harpoon Block III program was canceled by the U.S. Navy in April 2009.[citation needed]

Harpoon Block II+ ER​

In April 2015, Boeing unveiled a modified version of the RGM-84 it called the Harpoon Next Generation. It increases the ship-launched Harpoon missile's range from the Block II's 70 nmi (81 mi; 130 km) to 167.5 nmi (192.8 mi; 310.2 km), along with a new lighter 300 lb (140 kg) warhead and a more fuel-efficient engine with electronic fuel controls. Boeing offered the missile as the U.S. Navy's Littoral Combat Ship frigate upgrade over-the-horizon anti-ship missile as a cost-effective missile upgrade option; complete Next Gen Harpoons would cost approximately as much as a Block II at $1.2 million each, with upgrades for an existing missile costing half that. The version is also called the Harpoon Block II+ ER. Boeing claims the Block II+ ER is superior to the Naval Strike Missile through its improved turbojet giving it greater range and active radar-homing seeker for all-weather operation, as well as a lighter but "more lethal" warhead. Test shots in 2017 had been confirmed. In May 2017, Boeing revealed it was no longer offering the upgraded Harpoon for the frigate OTH missile requirement, but would continue development of it.
Radio frequencies used for the net-enabled, in-flight target updating for the Harpoon missile, ARE KNOWN to the Russians. They can monitor those frequencies for in-flight target updates, and they WILL know if a NATO plane or ship participated in a missile strike upon a Russian Naval vessel.
Jioni ya leo utashangaa kitu kimeshalipuliwa na Russia!
 
Back
Top Bottom