Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Well doneAbrams hasa hii modification ya Sep3 ni more advanced. Vifaru vya NATO vyote wanatumia armoured weapons station na blast proof doors kutenganisha crew na mizinga. Crew inakuwa watu wanne ambao ni dereva anayeonekana mbele akifungua hatch, gunner anayekaa juu na bunduki, tank commander na loader anayekuwa nyuma kabisa akibadili mzinga gani wa kufyatua. Unakuta compartment ya silaha ina shells za armour piercing, HEAT, gun launched missile na nyingine anabadili kadri ya amri ya tank commander.
Kifaru kikipigwa ile mizinga imefungiwa kwenye chamber yake ngumu hailipuki, ikitokea inalipuka kuna weak points nyuma zinafungua mlipuko na moto unatokea nyuma kabisa ya kifaru na crew inasalimika. Mtu vulnerable kufa pale ni gunner ila ni chance ndogo na uzembe wake.
Upande wa Urusi wao wanapenda kupunguza idadi ya crew wawe watatu. Wanatumia automatic loader ambayo hii inasababisha kifaru kiwe na ring la mizinga. Hii ring iko wazi ikitokea kifaru kimepigwa na kupenywa ring nzima inalipuka kwa chain. Ndio maana turrets zinarushwa. Mfumo huu haulindi crew na mara nyingi crew unakufa. Kingine ambacho Marekani walikataa kutumia autoloader wanadai ikiwa una kifaru cha crew ya watu watatu mmoja akijeruhiwa au kupata shida basi waliobaki hawawezi kufanya kitu. Ila ukiwa na kifaru cha wanne, mmoja akapata shida pale loader anakuwa kama reserve.
Israel ndio wako serious na kulinda maisha ya wanajeshi. Vifaru vyao vya Merkava IV vina engine mbele ili ukipiga ukapenya ukutane na injini watu wapone. Na crew compartment ndio ngumu kuliko vifaru vingine. Na wana Trophy active protection system inafanya kazi kama Shtora ya Warusi, zile zinazoonekana kama taa nyekundu mbele ya vifaru zikiwa active. Trophy iko more superior than Shtora na ishakuwa proven mara nyingi
Israel walikuwa na vifaru jina lake Merkev yaani ngome ya Mungu.Nakumbuka viliripuliwa na wapalestina mpaka wakajiuliza imekuwaje.Vifaru kwa kweli vinasaidia sana maeneo yenye wadudu wabaya na matope na miba na vilimaMimi point yangu ni kwamba hakuna kifaru kinachoweza kutoka salama mbele ya kombora zito.kama kipo niambie ni kifaru gani.vyote ni hatarishi tu wala hakuna afadhari
Umeona mbali mbele.Waukrane lazima wamgeuke Zelensky.Mtu anashuhudia majirani zake wote na watoto wamekufa bila sababu ya msingi halafu awe mfuasi wa raisi aliyesababisha hayo.Si rahisi. Ameshaanza kufukuza makamanda wake,ni mwanzo wa fukuto baya hasa huku mambo yanazidi kuwa mabaya.Mjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."
Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
Pamoja na kwamba unashusha thamani ya misaada hiyo, ukweli utabaki kuwa nchi yetu imesaidiwa sana na bado inasaidiwa sana na mataifa ya magharibi katika nyanza hizo na nyinginezo. Sasa kama kwako ni nongwa, ongea na serikali iache kupokea hiyo misaada.Uko sahihi mwamba, kwenye hoja nzito nzito ka misaada ya Condom ARV na Vyoo natoboaje sasa kwa mfano 😂.
Hizo kwako ni Facts tena kubwa sana mwamba.
Haipingwi hiyo...
Maana hata mbu akimwona mende anashangaa kwa kujiuliza kiumbe gani mkubwa kuliko yeye. Same na kwako ulokosa pa kushika ukaona ARV na Condom ni hoja za Maana.
Ndio size yenu wala hatushangai!
Wacha kuropokaJidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.
Watu wanaishi maisha magumu sn
Kwa maufaa ya wengi ,naomba andiko hili litafasiliwe kwa kiswahili.Intel: Ukraine Losing 1500 Soldiers per day to death, wounding, capture, surrender, or desertion
NATION HAL TURNER 29 MAY 2022 HITS: 7501
"Intercepted communications from the Ukrainian command reveal their aim to build a layered defense from Poltava through Dnepropetrovsk, Zaporozhia, Krivoy Rog, and Nikolaev – which happens to be a shield for the already fortified Odessa. None of that guarantees success against the incoming Russian onslaught.
It’s always important to remember that Operation Z started on February 24 with around 150,000 or so fighters – and definitely not Russia’s elite forces. And yet they liberated Mariupol and destroyed the elite neo-Nazi Azov battalion in a matter of only fifty days, cleaning up a city of 400,000 people with minimal casualties.
While fighting a real war on the ground – not those indiscriminate US bombings from the air – in a huge country against a large army, facing multiple technical, financial and logistical challenges, the Russians also managed to liberate Kherson, Zaporizhia and virtually the whole area of the ‘baby twins,’ the popular republics of Donetsk and Luhansk.
Russia’s ground forces commander, General Aleksandr Dvornikov, has turbo-charged missile, artillery and air strikes to a pace five times faster than during the first phase of Operation Z, while the Ukrainians, overall, are low or very low on fuel, ammo for artillery, trained specialists, drones, and radars.
What American armchair and TV generals simply cannot comprehend is that in Russia’s view of this war – which military expert Andrei Martyanov defines as a “combined arms and police operation” – the two top targets are the destruction of all military assets of the enemy while preserving the life of its own soldiers.
So while losing tanks is not a big deal for Moscow, losing lives is. And that accounts for those massive Russian bombings; each military target must be conclusively destroyed. Precision strikes are crucial.
There is a raging debate among Russian military experts on why the Ministry of Defense does not go for a fast strategic victory. They could have reduced Ukraine to rubble – American style – in no time. That’s not going to happen. The Russians prefer to advance slowly and surely, in a sort of steamroller pattern. They only advance after sappers have fully surveilled the terrain; after all there are mines everywhere.
The overall pattern is unmistakable, whatever the NATO spin barrage. Ukrainian losses are becoming exponential – as many as 1,500 killed or wounded each day, everyday. If there are 50,000 Ukrainians in the several Donbass cauldrons, they will be gone by the end of June.
Ukraine must have lost as many as 20,000 soldiers in and around Mariupol alone. That’s a massive military defeat, largely surpassing Debaltsevo in 2015 and previously Ilovaisk in 2014. The losses near Izyum may be even higher than in Mariupol. And now come the losses in the Severodonetsk corner.
We’re talking here about the best Ukrainian forces. It doesn’t even matter that only 70 percent of Western weapons sent by NATO ever make it to the battlefield: the major problem is that the best soldiers are going…going…gone, and won’t be replaced. Azov neo-Nazis, the 24th Brigade, the 36th Brigade, various Air Assault brigades – they all suffered losses of 60+ percent or have been completely demolished.
So the key question, as several Russian military experts have stressed, is not when Kiev will ‘lose’ as a point of no return; it is how many soldiers Moscow is prepared to lose to get to this point.
The entire Ukrainian defense is based on artillery. So the key battles ahead involve long-range artillery. There will be problems, because the US is about to deliver M270 MLRS systems with precision-guided ammunition, capable of hitting targets at a distance of up to 70 kilometers or more.
Russia, though, has a counterpunch: the Hermes Small Operational-Tactical Complex, using high precision munitions, possibility of laser guidance, and a range of more than 100 kilometers. And they can work in conjunction with the already mass-produced Pantsir air defense systems....
...the imminent loss of Severodonetsk and Lysichansk will ring serious alarm bells in Washington and Brussels, because that will represent the beginning of the end of the current regime in Kiev. And that, for all practical purposes – and beyond all the lofty rhetoric of 'the west stands with you' – means heavy players won’t be exactly encouraged to bet on a sinking ship...
...Zelensky will be fine. He’s protected by British and American special forces. The family is reportedly living in an $8 million mansion in Israel. He owns a $34 million villa in Miami Beach, and another in Tuscany. Average Ukrainians were lied to, robbed, and in many cases, murdered, by the Kiev gang he presides over – oligarchs, security service (SBU) fanatics, neo-Nazis. And those Ukrainians that remain (10 million have already fled) will continue to be treated as expendable."
Put simply, Ukraine is losing the war. They are losing fast. They are losing big.
Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.
Sadly, I am inclined to believe this.Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.
Hahah nimekua interested zaidi namna alivyoi-link na the whole story.Masterpiece.Kagusia Corporate Governance. Sasa ukiwapeleka huko baadhi ya ma pro-nato umewapoteza. Kazi yao ni kuimba Wimbo wa dikiteta mara demokrasia bila kujua haya makitu ma Governance structure yanaathiri vipi uongozi.
Very cheap argument. Hebu leta nondo . Imagine ungekuwa live kwenye tvPamoja na kwamba unashusha thamani ya misaada hiyo, ukweli utabaki kuwa nchi yetu imesaidiwa sana na bado inasaidiwa sana na mataifa ya magharibi katika nyanza hizo na nyinginezo. Sasa kama kwako ni nongwa, ongea na serikali iache kupokea hiyo misaada.
lee van cliff,we can,lakini you take alot of time ndugu,so personally I do not find it worth it.Ila ni wazo zuri,mwenye muda okay.Kwa maufaa ya wengi ,naomba andiko hili litafasiliwe kwa kiswahili.
Kwa mabingwa wa tafasiri tunaomba msaada wenu plz.
Galip Vrl
Ndio zetu ma pro RUSSIA hatudekezi vibobosa nchi ya democracy kila mtu ana uhuru wa kufanya limpendezalo 😂😂😂😂kama Russia one man show wenzake wamebaki kupeperusha bendera hata kumsaidia kinafki.Majuzi juzi kuna driver tax wa Austria alipigwa na wakimbizi kutoka Ukraine hadi hivi sasa yadaiwa kalazwa baada ya kupasuka sehem kwenye head skull.
View attachment 2244156
"Instead of fighting for their country, Ukrainians beat taxi drivers in front of luxury hotels. Get out of our country!", - the head of the Vienna faction FPÖ Dominik Nepp wrote on his Twitter page.
Kwamba "Badala ya kupigania nchi yao, Ukrainians wanawapiga madereva wa teksi (wanaopaki) mbele ya hoteli za kifahari. Toka(tokeni) nje ya nchi yetu!"
Binafsi naona huu ni mwanzo tu shughuli kaaamili inakuja mda sio mrefu, ile ISIS ya enzi hizo itakuwa cha mtoto. Wacha wazikamatilie hizo silaha wanazozigawa kama njugu kisha zinapotea kusikojulikana halafu njaa iwapige waanze kukinukisha vizuri hapo EU.
Ndio watajua the Good Nazi is the Dead Nazi 😂😂😂, Mind you wadau kua huo ni moja ya mfano matukio ambayo yameripotiwa ni mengi mno wanayoyafanya.
Huko ujeruman kuna nyumba waliichoma walipokuwa wakijaribu kuchoma bendera ya Russia.
He he pia kuna video hapa inachekesha, ni hapo Ugiriki, alipita jamaa kwenye ndinga yake katundika bendera ya Urusi. Pembeni kulikuwa na rally ya wanao-support Ukraine (nahisi pia ni wakimbizi wa Ukraine).
Mmoja katika wale akaifata ile gari akatoe ile bendera... Kilichomkuta sasa 😂
View attachment 2244181
War Propaganda.Intel: Ukraine Losing 1500 Soldiers per day to death, wounding, capture, surrender, or desertion
NATION HAL TURNER 29 MAY 2022 HITS: 7501
"Intercepted communications from the Ukrainian command reveal their aim to build a layered defense from Poltava through Dnepropetrovsk, Zaporozhia, Krivoy Rog, and Nikolaev – which happens to be a shield for the already fortified Odessa. None of that guarantees success against the incoming Russian onslaught.
It’s always important to remember that Operation Z started on February 24 with around 150,000 or so fighters – and definitely not Russia’s elite forces. And yet they liberated Mariupol and destroyed the elite neo-Nazi Azov battalion in a matter of only fifty days, cleaning up a city of 400,000 people with minimal casualties.
While fighting a real war on the ground – not those indiscriminate US bombings from the air – in a huge country against a large army, facing multiple technical, financial and logistical challenges, the Russians also managed to liberate Kherson, Zaporizhia and virtually the whole area of the ‘baby twins,’ the popular republics of Donetsk and Luhansk.
Russia’s ground forces commander, General Aleksandr Dvornikov, has turbo-charged missile, artillery and air strikes to a pace five times faster than during the first phase of Operation Z, while the Ukrainians, overall, are low or very low on fuel, ammo for artillery, trained specialists, drones, and radars.
What American armchair and TV generals simply cannot comprehend is that in Russia’s view of this war – which military expert Andrei Martyanov defines as a “combined arms and police operation” – the two top targets are the destruction of all military assets of the enemy while preserving the life of its own soldiers.
So while losing tanks is not a big deal for Moscow, losing lives is. And that accounts for those massive Russian bombings; each military target must be conclusively destroyed. Precision strikes are crucial.
There is a raging debate among Russian military experts on why the Ministry of Defense does not go for a fast strategic victory. They could have reduced Ukraine to rubble – American style – in no time. That’s not going to happen. The Russians prefer to advance slowly and surely, in a sort of steamroller pattern. They only advance after sappers have fully surveilled the terrain; after all there are mines everywhere.
The overall pattern is unmistakable, whatever the NATO spin barrage. Ukrainian losses are becoming exponential – as many as 1,500 killed or wounded each day, everyday. If there are 50,000 Ukrainians in the several Donbass cauldrons, they will be gone by the end of June.
Ukraine must have lost as many as 20,000 soldiers in and around Mariupol alone. That’s a massive military defeat, largely surpassing Debaltsevo in 2015 and previously Ilovaisk in 2014. The losses near Izyum may be even higher than in Mariupol. And now come the losses in the Severodonetsk corner.
We’re talking here about the best Ukrainian forces. It doesn’t even matter that only 70 percent of Western weapons sent by NATO ever make it to the battlefield: the major problem is that the best soldiers are going…going…gone, and won’t be replaced. Azov neo-Nazis, the 24th Brigade, the 36th Brigade, various Air Assault brigades – they all suffered losses of 60+ percent or have been completely demolished.
So the key question, as several Russian military experts have stressed, is not when Kiev will ‘lose’ as a point of no return; it is how many soldiers Moscow is prepared to lose to get to this point.
The entire Ukrainian defense is based on artillery. So the key battles ahead involve long-range artillery. There will be problems, because the US is about to deliver M270 MLRS systems with precision-guided ammunition, capable of hitting targets at a distance of up to 70 kilometers or more.
Russia, though, has a counterpunch: the Hermes Small Operational-Tactical Complex, using high precision munitions, possibility of laser guidance, and a range of more than 100 kilometers. And they can work in conjunction with the already mass-produced Pantsir air defense systems....
...the imminent loss of Severodonetsk and Lysichansk will ring serious alarm bells in Washington and Brussels, because that will represent the beginning of the end of the current regime in Kiev. And that, for all practical purposes – and beyond all the lofty rhetoric of 'the west stands with you' – means heavy players won’t be exactly encouraged to bet on a sinking ship...
...Zelensky will be fine. He’s protected by British and American special forces. The family is reportedly living in an $8 million mansion in Israel. He owns a $34 million villa in Miami Beach, and another in Tuscany. Average Ukrainians were lied to, robbed, and in many cases, murdered, by the Kiev gang he presides over – oligarchs, security service (SBU) fanatics, neo-Nazis. And those Ukrainians that remain (10 million have already fled) will continue to be treated as expendable."
Put simply, Ukraine is losing the war. They are losing fast. They are losing big.
Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.
Sio kwamba wanafanya kwa exchange ya gold ? Maana Russia si wame mzuia kutumia Dollar, Pound pamoja na Euro.. unaweza nisahihisha kama sipo sahihiUsichokijua ni
Wananunua kwa ruble yaani wanaenda kuitafuta ruble kwe bureau de exchange kwao au ndani ya Urusi.
Wanainunua kwa Pound au Euro au dollar hivyo fedha yao inabaki Urusi wao wanaondoka na ruble.
Hivyo Urusi anabaki na fedha za kigeni.
Au unafikiri ruble wanaipataje ili wafanye manunuzi?
Uko sahihi,nimekuelewa Comrade.lee van cliff,we can,lakini you take alot of time ndugu,so personally I do not find it worth it.Ila ni wazo zuri,mwenye muda okay.