Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Joe Biden said that the United States will not supply Ukraine with missiles that can be used to strike at Russian territory.

View attachment 2244583
Kama Joe Biden mwenyewe kasema hivyo,Mimi Lee van cliff ni nani hata nipingane nae.?
Nawaomba Pro NATO mjadiliane nyinyi kwa nyinyi juu ya taarifa hii ya Biden.
Maana yake USA watatoa Juvelin TU lkn sio makombora ya kifika moscow.
Kwa Nini?
Mimi sijui.
Huu ndio ulikua mda Sasa wa USA kumpiga urusi kama ambavyo mmekua mkijiaminisha.Hakuna mda mwingine na wala hautakaa utokee.

Urusi sio ya mchezomchezo,Urusi ni Baba lao.

@ Proved
 
Kwa maufaa ya wengi ,naomba andiko hili litafasiliwe kwa kiswahili.
Kwa mabingwa wa tafasiri tunaomba msaada wenu plz.

Galip Vrl
Natembea nayo ila kuna mengine nitakuwa nayaruka maana article ndefu mno... Pia kuna mengine nitayaacha bila tafsiri kwasababu kuyatafsri yataleta ugumu kueleweka kuliko hata yalivyo kwenye lugha hiyo ya kigeni.

Intel: Ukraine Inapoteza Wanajeshi 1500 kwa siku kwa kifo, kujeruhiwa, kukamatwa, kujisalimisha, au (wengineo) kutoroka.

"Mawasiliano yaliyodukuliwa kutoka kwenye Command za kijeshi za Ukraine yanaonyesha lengo lao la kujenga ulinzi mkali kutoka Poltava kupitia Dnepropetrovsk, Zaporozhia, Krivoy Rog na Nikolaev - Ingawa none of that guarantees success against the incoming Russian onslaught.

Kuna mjadala mkali kati ya wataalam wa kijeshi wa Urusi juu ya kwanini Wizara ya Ulinzi "does not go for a fast strategic victory. They could have reduced Ukraine to rubble – American style – in no time."

Lakini Hilo halitatokea. Warusi wanapendelea kuendeleza (operation yao) polepole na kwa hakika, kwa aina ya muundo wa "steamroller" (mwondoko wa kukunjua kapeti 😂).

Wanasonga mbele tu baada ya "sappers" kufuatilia kikamilifu ardhi ya eneo mbele yao baada ya kukagua mabomu yaliyotegwa ardhini ukizingatia yamepandikizwa kila kona!

"The overall pattern is unmistakable, whatever the NATO spin barrage". Hasara kwa Ukraine zinazidi kuongezeka yakadiriwa 1,500 kuuawa au kujeruhiwa kila siku. Ikiwa kuna Waukraine 50,000 kwenye "Cauldrons" kadhaa za Donbass, basi huenda they will be gone by the end of June.

Ukraine imepoteza wanajeshi zaidi ya 20,000 Mariupol pekee. Hiyo ni kushindwa kwa kijeshi kwa kiasi kikubwa, tena kwa kiasi kikubwa kuzidi Debaltsevo mwaka 2015 na hapo awali Ilovaisk mwaka 2014.

Hasara nyingine huko Izyum inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko Mariupol. Na sasa "come the losses in the Severodonetsk corner"...

(Tukumbuke) Tunazungumza hapa juu ya vikosi bora vya Ukraine. Haijalishi kwamba ni asilimia 70 tu ya silaha za Magharibi zilizotumwa na NATO zimewahi kufika kwenye uwanja wa vita: tatizo kubwa ni kwamba askari bora zaidi wanaisha
"best soldiers are going…going…gone, and won’t be replaced." 😟

Azov neo-Nazis, Brigade ya 24, Brigade ya 36, brigade mbalimbali za Air Assault - "they all suffered losses of 60+ percent or have been completely demolished"

...hasara kubwa itakayopatikana huko Severodonetsk and Lysichansk "will ring serious alarm kwa Washington na Brussels", kwasababu italeta ishara kua ni mwanzo wa kuanguka kwa "current regime in Kiev".

Hali hii itapelekea misaada kutoka magharibi kupungua, this means heavy players won’t be exactly encouraged to bet on a sinking ship...

Zelensky yeye mambo yatakuwa shwari tu. Kwani analindwa na British and American special forces. Familia yake hivi sasa inaishi ndani ya Mansion kubwa tu huko Israel ($8 million mansion in Israel), anamiliki $34 million villa in Miami Beach, na nyingine huko Tuscany.

Average Ukrainians were lied to, robbed, and in many cases, murdered, by the Kiev gang he presides over oligarchs, security service (SBU) fanatics, neo-Nazis.

Na hao Ukrainians waliobaki (ambao kati yao 10 million wameondoka nchini hapo) wataendelea kua treated as "expendable". Hapa naongezea maneno yangu kiduchu... Kua expendable ni sawa kutumika. Mfano kama tunavyosikia miongoni mwa wale waliojisalimisha wakisema namna wanavyolazimishwa kutumika jeshini bila uzoefu wowote.

Put simply, Ukraine is losing the war. They are losing fast. They are losing big.
Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.

 
Hapo ndio mwisho!

Kucopy na kupaste kwenye Translator ni easy ila ile tafsiri ya kwenye translator kuifanya ieleweke ni habari nyingine 😂😂😂. Nimetimiza ahadi kwa heshima yako lee van cliff
 
🥂👍😀👏👏💪🤸🤸🤸🤸
 
Putin and Erdogan during the conversation discussed the safety of navigation in the Black and Azov Seas, the Kremlin reports.

The Russian leader, in a conversation with the Turkish president, noted Russia's readiness to facilitate the unhindered maritime transit of goods in coordination with the Turkish side.
 
Andiko Tamu sana hili.
Dunia inaenda kishuhudia mabadiliko makubwa mno.
 
‼️🇷🇺🇬🇧The Times: Russia takes control of the world wheat market‼️

According to the🇬🇧edition,🇷🇺goal is to increase agricultural exports by 50% by 2024, and it is quite achievable. An important factor in the growth of 🇷🇺 exports is wheat,whose global exports Moscow controlIn April alone, Russian grain exports increased by 18%. Significantly increased world grain prices have allowed the Russian budget to receive $1.9 billion in revenue from taxes on grain exports since the beginning of the year.In addition, the publication notes that wheat exports from Russia cover the deficit formed on the world grain market,including a 32% drop in supplies from Ukraine.
 
Asante sana Comrade.
Naamini wengi wetu tutanufaika sana hapa.
Nimependa zaidi kwa jinsi ulivyokubli haraka sana ombi langu kwa manufaa ya wengi.
Kwa upande wangu nilitaka ujumbe huu uwafikie Zaid upande wa pili.
Kwa Sasa hivi huko tunakokaenda maandiko kama haya yatakua mengi sana.
Maana msimamo wa ligi tayari umekwisha eleweka.

Barikiwq sana ,Galip Vrl.
 
Erdogan invited Putin to hold a meeting in Istanbul between the delegations of Russia, Ukraine and the UN, his office reports.

View attachment 2244667
Kwa Sasa sioni kama kuna haja ya Urusi kuwa na mazungumzo ya amani kati yake na Zelensky:the Cocaine pusher and Drama Queen,after all they are at an advantage millitarily.Watekeleze kwanza malengo yao Ukraine.Kwanza the UN ni matapeli wale wale tu,hawana tofauti yeyote na matapeli ya nchi za Magharibi.
 
Watu wengi wamekufa mjini Mariupol ambao ndio mji wenye Russian speakers wengi. Hata miili ya watu haihifadhiwi. Russia ilisema inawakomboa from Nazis View attachment 2244645
War is evil.

Cha kushangaza zaidi hata ndani ya Urusi, Ujerumani na nchi nyingine za ulaya wapo hao Nazis ila hawajashambuliwa kama hao wa Ukraine.

Mikono ya Putin imejaa damu za raia wema wa Ukraine.
 
Kama hawataondoa vikwazo vyao uchwara.Ulaya itakuwa inanunua ngano na chuma kutoka UAE.Kwa miaka mingi Dubai imekuwa ni soko kubwa la kuingiza bidhaa Afrika.Baada ya kufuata sera za uchumi wa kimagharibi wameanguka sana.Na wafanyabiashara wengi wameacha kwenda huko.Iwapo wataachana na uchumi wa kinazi na kuchangamkia fursa za uchumi zilizoko Urusi basi mambo yanaweza yakabadilika kuwa mazuri tena.
 
Huo ndio Ukweli wenyewe,na inawezekana wa Nazi waliwaua kwa hasira.
T14 Armata anaharibu kutaka kuwahusisha marehemu hao kua ni udhaifu wa Urusi.
Huo ni udhaifu mkubwa Sana na ushahidi wa uhalifu wa kivita wa Urusi, mliwahi kuandika hapa Urusi hataki kutumia nguvu kubwa maana atasababisha maafa kwa raia.

Mbona maafa yametokea sasa ?...Urusi imefanya ilichokifanya kule Chechnya (Gronzy )mwaka 2000 na kule Allepo mwaka 2016, kutupa makombora hovyo yasiyo na shabaha na kusababisha maafa kwa raia.
 
Ukraine haijawahi omba silaha za kushambulia ndani ya Russia
Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?

Unajua silaha kuwa offensive au defensive ni kusudio wala sio aina ya silaha? Unajua hata panga tu hili linaweza kua Offensive likitumika kushambulia na linaweza kua defensive likitumika kwa kujilinda?

Kwani Belgorand ni kitongoji cha Mtwara? Zile ndege zilioenda huko kushambulia zilikuwa zinafanya Defensive au sio?

Unajua tofauti kati ya light weapons na Heavy weapons? Sasa unakana kua hawajahi kuomba silaha zenye uwezo wa kushambulia Russia, je Vipi huyu ambassador anayezungumza hapa chini ni wa msumbiji? Hizo long range missile alizoziomba na hizo long range missile walizomkatalia ni nini?



Ok hapo issue ya Air defence system bila kusahau waliomba no fly zone pia zote wakakataliwa, kwani No fly zone unaiweka kwenye kundi gani? Is it defensive? If yes kwanini walikataa kuwapa wajilinde?

If it's offensive, NATO hawa kule Libya waliifanya ili iweje? Kwanini mnakuwa mnakwepesha udhaifu kwa hoja zisizo na mashiko mmh?

Can you tell us kwanini Ak47 iliyobebwa na mwanajeshi wa Russia huko Ukraine inaitwa Offensive, ilhali Ak47 hiyo hiyo ikibebwa na Mgambo wa JKT inaitwa defensive weapons?

Kwanini watu Smart like you mnapoteana sana, mnakosa logic kila ikitamkwa marekani? What's going on mmh? Em tupeni siri hizo tuzijue tupunguze kuwashangaa sana!

Af mtu like you wajifanya mpo neutral he he he 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…