Juzi Russia katangaza kuwa USA ana maabara Nigeria ya kuunda virusi vya Monkeypox...Nigeria has recorded its first human death from monkeypox, with a total of 21 cases in the country.
View attachment 2244585
Mzee wa Gari za Njano wakati wako wa basic Education lee van cliffKama Joe Biden mwenyewe kasema hivyo,Mimi Lee van cliff ni nani hata nipingane nae.?
Nawaomba Pro NATO mjadiliane nyinyi kwa nyinyi juu ya taarifa hii ya Biden.
Maana yake USA watatoa Juvelin TU lkn sio makombora ya kifika moscow.
Kwa Nini?
Mimi sijui.
Huu ndio ulikua mda Sasa wa USA kumpiga urusi kama ambavyo mmekua mkijiaminisha.Hakuna mda mwingine na wala hautakaa utokee.
Urusi sio ya mchezomchezo,Urusi ni Baba lao.
@ Proved
Pa1 jomba!Asante sana Comrade.
Naamini wengi wetu tutanufaika sana hapa.
Nimependa zaidi kwa jinsi ulivyokubli haraka sana ombi langu kwa manufaa ya wengi.
Kwa upande wangu nilitaka ujumbe huu uwafikie Zaid upande wa pili.
Kwa Sasa hivi huko tunakokaenda maandiko kama haya yatakua mengi sana.
Maana msimamo wa ligi tayari umekwisha eleweka.
Barikiwq sana ,Galip Vrl.
Hili andishi mbona linakera sana, hawa NATO/US tatizo wanajiona wao ndio dunia.#Update
Russia aanza kufanya mahusiano mapya ya kibiashara
Four big nations announce economic alliance with Russia after its victory in Ukraine
======
What was the narrative that you were being served by the likes of Joe Biden and other Western leaders when the Ukraine war started? Well, you were being told that Russia would be flooded with tough sanctions and ultimately, the Russian economy will be damaged beyond repair as a consequence for invading Ukraine.
However, Putin has carried through his military operation in Ukraine without any significant problems. And now, he could even sign some grand economic pacts with some major economies despite Western sanctions.
Russia announces new economic agreements
Russian President Vladimir Putin said on Friday that Moscow is looking to sign an economic integration agreement with the United Arab Emirates (UAE). He made the announcement during a speech at the Eurasian Supreme Economic Council, which consists of Russia, Belarus, Kazakhstan, Armenia, and Kyrgyzstan.
He also announced that Moscow was considering signing free trade agreements with Egypt, Indonesia, and Iran.
Slamming the West for its sanctions on the Russian economy, Putin asserted that Western sanctions have harmed the West more than they have harmed Russia. He claimed that Russia is flexible in the face of “external challenges”.
The development gives us two messages- firstly, some of the major economies are ready to strengthen their ties with Russia with Putin emerging victorious in the ongoing Ukraine war. And secondly, Western sanctions have failed to ravage the Russian economy and Russia hasn’t lost its appeal as an economy to other countries.
Russia not getting isolated
Russia’s plans to sign trade deals and other agreements with four major economies in the world thrash Biden’s claims of totally isolating and cutting off Russia in world politics.
And to be honest, this was clear from the very outset. In April itself, Sylvie Matelly, an International Relations expert, had said, “There’s a very clear isolation of Russia from the Western bloc, especially due to the series of successive sanctions that have complicated commercial and financial exchanges.” She had added, “As for Russia’s isolation on the international scene, the situation is quite different, with a number of very cautious countries that have refused to give in to Western pressure.”
Countries like India, China, Indonesia, and the Arab world have maintained friendly ties with Moscow despite all the pressure that the West kept exerting on them.
The West is living in a delusional world. With attempts to cancel Russia and censor even any mention of Moscow, it is living in the illusion that Russia is isolated. However, the agreement that Moscow is close to signing with four major economies shows that this is far from true.
Russia’s economy shows resilience
The other message for the West is that its sanctions have failed and failed terribly. The likes of the UAE, Egypt, and Indonesia aren’t just strengthening their ties with Russia but they are improving their economic ties and trade relations with Moscow. And they are doing it even though they have pre-existing economic ties with the West.
If Russia is arguably the most sanctioned economy in the world, it would seem that the West needs to find a new weapon of economic warfare. The sanctions weapon simply doesn’t work. For Putin, the weak character of Western sanctions isn’t just a victory in the warzone but also in the arena of economic warfare.
Aiseee!😯Huo ni udhaifu mkubwa Sana na ushahidi wa uhalifu wa kivita wa Urusi, mliwahi kuandika hapa Urusi hataki kutumia nguvu kubwa maana atasababisha maafa kwa raia.
Mbona maafa yametokea sasa ?...Urusi imefanya ilichokifanya kule Chechnya (Gronzy )mwaka 2000 na kule Allepo mwaka 2016, kutupa makombora hovyo yasiyo na shabaha na kusababisha maafa kwa raia.
Hii haihitaji kusahau bali kukumbuka kila mara kwamba Russia ina viongozi makini.Usisahau Russia ilikuwa ikikanusha mara kwa mara ripoti za USA na kusema zile 'drills' hazikua maandalizi ya kuvamia Ukraine kama Marekani ilivyokuwa inadai.
Kwa mujibu wa vyanzo vya hao wakubwa, Putin aliwaongopea kwamba hatavamia Ukraine, maana yake ni kwamba Putin ndiye aliyekataa suluhisho la kidiplomasia akiamini hii ingekuwa Operation ya muda mfupi sana.
Dah!Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?
Unajua silaha kuwa offensive au defensive ni kusudio wala sio aina ya silaha? Unajua hata panga tu hili linaweza kua Offensive likitumika kushambulia na linaweza kua defensive likitumika kwa kujilinda?
Kwani Belgorand ni kitongoji cha Mtwara? Zile ndege zilioenda huko kushambulia zilikuwa zinafanya Defensive au sio?
Unajua tofauti kati ya light weapons na Heavy weapons? Sasa unakana kua hawajahi kuomba silaha zenye uwezo wa kushambulia Russia, je Vipi huyu ambassador anayezungumza hapa chini ni wa msumbiji? Hizo long range missile alizoziomba na hizo long range missile walizomkatalia ni nini?
View attachment 2244695
Ok hapo issue ya Air defence system bila kusahau waliomba no fly zone pia zote wakakataliwa, kwani No fly zone unaiweka kwenye kundi gani? Is it defensive? If yes kwanini walikataa kuwapa wajilinde?
If it's offensive, NATO hawa kule Libya waliifanya ili iweje? Kwanini mnakuwa mnakwepesha udhaifu kwa hoja zisizo na mashiko mmh?
Can you tell us kwanini Ak47 iliyobebwa na mwanajeshi wa Russia huko Ukraine inaitwa Offensive, ilhali Ak47 hiyo hiyo ikibebwa na Mgambo wa JKT inaitwa defensive weapons?
Kwanini watu Smart like you mnapoteana sana, mnakosa logic kila ikitamkwa marekani? What's going on mmh? Em tupeni siri hizo tuzijue tupunguze kuwashangaa sana!
Af mtu like you wajifanya mpo neutral he he he 😂
Yaani waache kutangaza Nigeria wenye nchi yao watangaze hao wahuni wa Moscow na vyombo makini waamini huo ujinga.Juzi Russia katangaza kuwa USA ana maabara Nigeria ya kuunda virusi vya Monkeypox...
Lakini kwa kuwa wenye vyombo vya habari ndio wazalishaji wa hivyo virusi imepita kimya kimya.
Huu mstari hapo chini ndio nimeupenda zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mliokuwa mnasema ataishishiwa silaha,chakula mara askari someni hapo....Natembea nayo ila kuna mengine nitakuwa nayaruka maana article ndefu mno... Pia kuna mengine nitayaacha bila tafsiri kwasababu kuyatafsri yataleta ugumu kueleweka kuliko hata yalivyo kwenye lugha hiyo ya kigeni.
Intel: Ukraine Inapoteza Wanajeshi 1500 kwa siku kwa kifo, kujeruhiwa, kukamatwa, kujisalimisha, au (wengineo) kutoroka.
"Mawasiliano yaliyodukuliwa kutoka kwenye Command za kijeshi za Ukraine yanaonyesha lengo lao la kujenga ulinzi mkali kutoka Poltava kupitia Dnepropetrovsk, Zaporozhia, Krivoy Rog na Nikolaev - Ingawa none of that guarantees success against the incoming Russian onslaught.
Kuna mjadala mkali kati ya wataalam wa kijeshi wa Urusi juu ya kwanini Wizara ya Ulinzi "does not go for a fast strategic victory. They could have reduced Ukraine to rubble – American style – in no time."
Lakini Hilo halitatokea. Warusi wanapendelea kuendeleza (operation yao) polepole na kwa hakika, kwa aina ya muundo wa "steamroller" (mwondoko wa kukunjua kapeti [emoji23]).
Wanasonga mbele tu baada ya "sappers" kufuatilia kikamilifu ardhi ya eneo mbele yao baada ya kukagua mabomu yaliyotegwa ardhini ukizingatia yamepandikizwa kila kona!
"The overall pattern is unmistakable, whatever the NATO spin barrage". Hasara kwa Ukraine zinazidi kuongezeka yakadiriwa 1,500 kuuawa au kujeruhiwa kila siku. Ikiwa kuna Waukraine 50,000 kwenye "Cauldrons" kadhaa za Donbass, basi huenda they will be gone by the end of June.
Ukraine imepoteza wanajeshi zaidi ya 20,000 Mariupol pekee. Hiyo ni kushindwa kwa kijeshi kwa kiasi kikubwa, tena kwa kiasi kikubwa kuzidi Debaltsevo mwaka 2015 na hapo awali Ilovaisk mwaka 2014.
Hasara nyingine huko Izyum inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko Mariupol. Na sasa "come the losses in the Severodonetsk corner"...
(Tukumbuke) Tunazungumza hapa juu ya vikosi bora vya Ukraine. Haijalishi kwamba ni asilimia 70 tu ya silaha za Magharibi zilizotumwa na NATO zimewahi kufika kwenye uwanja wa vita: tatizo kubwa ni kwamba askari bora zaidi wanaisha
"best soldiers are going…going…gone, and won’t be replaced." [emoji45]
Azov neo-Nazis, Brigade ya 24, Brigade ya 36, brigade mbalimbali za Air Assault - "they all suffered losses of 60+ percent or have been completely demolished"
...hasara kubwa itakayopatikana huko Severodonetsk and Lysichansk "will ring serious alarm kwa Washington na Brussels", kwasababu italeta ishara kua ni mwanzo wa kuanguka kwa "current regime in Kiev".
Hali hii itapelekea misaada kutoka magharibi kupungua, this means heavy players won’t be exactly encouraged to bet on a sinking ship...
Zelensky yeye mambo yatakuwa shwari tu. Kwani analindwa na British and American special forces. Familia yake hivi sasa inaishi ndani ya Mansion kubwa tu huko Israel ($8 million mansion in Israel), anamiliki $34 million villa in Miami Beach, na nyingine huko Tuscany.
Average Ukrainians were lied to, robbed, and in many cases, murdered, by the Kiev gang he presides over oligarchs, security service (SBU) fanatics, neo-Nazis.
Na hao Ukrainians waliobaki (ambao kati yao 10 million wameondoka nchini hapo) wataendelea kua treated as "expendable". Hapa naongezea maneno yangu kiduchu... Kua expendable ni sawa kutumika. Mfano kama tunavyosikia miongoni mwa wale waliojisalimisha wakisema namna wanavyolazimishwa kutumika jeshini bila uzoefu wowote.
Put simply, Ukraine is losing the war. They are losing fast. They are losing big.
Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.
Hapo ndio mwisho!
Kucopy na kupaste kwenye Translator ni easy ila ile tafsiri ya kwenye translator kuifanya ieleweke ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]. Nimetimiza ahadi kwa heshima yako lee van cliff
Wakati huu ugonjwa unatoka picha iliyotumika kuuelezea ilikuwa hii, yani gonjwa linatangazwa uzunguni picha ya mwathirika inaletwa ya mtoto mweusi wa kiafrika...Juzi Russia katangaza kuwa USA ana maabara Nigeria ya kuunda virusi vya Monkeypox...
Lakini kwa kuwa wenye vyombo vya habari ndio wazalishaji wa hivyo virusi imepita kimya kimya.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106][emoji106]Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?
Unajua silaha kuwa offensive au defensive ni kusudio wala sio aina ya silaha? Unajua hata panga tu hili linaweza kua Offensive likitumika kushambulia na linaweza kua defensive likitumika kwa kujilinda?
Kwani Belgorand ni kitongoji cha Mtwara? Zile ndege zilioenda huko kushambulia zilikuwa zinafanya Defensive au sio?
Unajua tofauti kati ya light weapons na Heavy weapons? Sasa unakana kua hawajahi kuomba silaha zenye uwezo wa kushambulia Russia, je Vipi huyu ambassador anayezungumza hapa chini ni wa msumbiji? Hizo long range missile alizoziomba na hizo long range missile walizomkatalia ni nini?
View attachment 2244695
Ok hapo issue ya Air defence system bila kusahau waliomba no fly zone pia zote wakakataliwa, kwani No fly zone unaiweka kwenye kundi gani? Is it defensive? If yes kwanini walikataa kuwapa wajilinde?
If it's offensive, NATO hawa kule Libya waliifanya ili iweje? Kwanini mnakuwa mnakwepesha udhaifu kwa hoja zisizo na mashiko mmh?
Can you tell us kwanini Ak47 iliyobebwa na mwanajeshi wa Russia huko Ukraine inaitwa Offensive, ilhali Ak47 hiyo hiyo ikibebwa na Mgambo wa JKT inaitwa defensive weapons?
Kwanini watu Smart like you mnapoteana sana, mnakosa logic kila ikitamkwa marekani? What's going on mmh? Em tupeni siri hizo tuzijue tupunguze kuwashangaa sana!
Af mtu like you wajifanya mpo neutral he he he [emoji23]
Tumia udhaifu huo kuleta usahihi wa habari mkuuTatizo letu wabongo tukiona sehemu pameandikwa kiingereza basi tunaamini hicho kitu ni sahihi
Yuko vizuri, mwanzo alivyoanza vituko vingi mara hola hola mtu unaweza kumchukulia poa tu kuuumbe dah, ndio maana tunasharuriwa usimdharau usiemjua!Kijana umewiva. Itabidi tutumie ujuzi wako adhimu.
Of course! 🤩Usione hii vita yahusisha nchi nyingi za magharibi utambue kuna kitu nyuma yake.
Noma sana kuna comment zingine unazisoma kama n mlengwa unapigwa kaubaridi ka haja kwanza 😂Dah!
Wee jamaa wewe,aisee umetisha.
Umemjibu kikamilifu kabisa,kwa ufasahabmkubwa mno.
Wewe jamaa ni "fundi".
Bana unapiga za uso.
Kwa majibu kama haya ndio maana Pro NATO wengi wanakimbia thread hii wanakwenda kuanzisha viji thread vingine huko.
Acha kabisa.
Pro Russia mnatisha.
Ha ha ha umenikumbusha pia nilivofika hapo kwenye tafsiri ya "steamroller' hilo wazo la kusema mwondoko wa kukunjua kapeti sijui lilitoka wapi... Baada ya kuliandika nikabaki kujicheka mwenyewe.Huu mstari hapo chini ndio nimeupenda zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mliokuwa mnasema ataishishiwa silaha,chakula mara askari someni hapo....
Juzi uingereza kasema Urusi anasonga taratibu ila kwa uhakika....
""""Warusi wanapendelea kuendeleza (operation yao) polepole na kwa hakika, kwa aina ya muundo wa "steamroller" (mwondoko wa kukunjua kapeti [emoji23]).""""""
Kwaiyo no flying zone ni silaha?Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?