LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
uwongo tena ili nipate nini soma hiyo link Cracks emerge between Beijing and Moscow as two Chinese banks restrict lending
 
Kwani wamezizuia pande zingine kutoa taarifa? si wanatoa uchaguzi ni kwa wasaka taarifa wachukue zipi. Nchi kama Russia, Iran, North Korea, China si wana mashirika yao ya habari?
mbna wamezifungia SPUTNIK RT nk huko EUROPE?
Jamaa wanatumia nguvu sana kuuficha ukweli kua wanapelekewa moto mbaya sanaaaa
 
labda hiyo swift mpya iwe na benk za iran, urusi china na north korea huo uchafu hauwezi kubaliwa na western countries na hata nchi maskin itakuwa ngumu kukubali maana hazina namna zitaenda na western countries boss hanuniwi wahenga walisema. Na infact US na wenzie wakisema benk itakayojiunga na hiyo swift system itapata vikwazo utashangaa itakavyosuswa hiyo swift system .
 
We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo.
Hakuna madikteta wowote duniani wanaompenda US . ukiifuata demokrasia huwez kukwaruzana naye hata Mara moja .
 
Ukweli unauma sena. Nimekugonga kwenye mfupa. Kula tu mali ya shemeji yako, hiyo ni free kabisa 🤣🤣🤣
una shida mahali
unajuaje kama naishi kwa shemeji kama weww huishi kwa shemeji na unakulaga mali ya shemejio huku unajifanya mrusi wa buza?
 
Russia hataweza kushinda kwa kutumia Jeshi la ardhini, tena hizo Silaha zikifika ndio atakuwa anashambuliwa nyuma, mbele na kulia... Mataifa ya Ulaya yamesharuhusu Raia wake kwenda Ukraine kupigana vita hapo wataingia hadi wanajeshi wa hizo nchi
PUTIN anajua hilo na anatamani muingie kwa wingi ili awakaange vyema
musije mkaanza kulalama kua RAIA wanauliwa ilhali wameyataka wenyewe acha tuone
 
una shida mahali
unajuaje kama naishi kwa shemeji kama weww huishi kwa shemeji na unakulaga mali ya shemejio huku unajifanya mrusi wa buza?
Comments zako zinasadifu tabia na haiba yako. Wewe upo kwa sehemeji. Prove kwamba haupo kwa shemeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…