NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hoja wanayoniletea eti 'ninateseka sana'🤣🤣🤣🤣😂😂😂Mzee Sikirimimimasikini hizi siku za karibuni naona umewaamulia pro NATO/UKR wamebaki hawana hoja maana ushahidi unaonyesha vita imewazidia
Dawa imekolea mlio unasikika kwa nguvu sanaUkiona hivyo ujue dawa imekuingia sawasawa
Yaani pamepigwa hapohapo,Putin anakazi sana ngoja proRussia wa Buza waje na vimesemo vyao propaganda.....kama vile Urusi Wana miili ya chuma wakipigwa kombora hawafi🤔Hivi ndivyo vita vya kisasa, unabonyeza tu ukiwa sehemu ofisini.....
Mimi sio pro-Russia,najali logic,rationality and also moral standards.Entity ambayo haina morals,ina-lack logic na rationality siwezi kuiamini for anything.The West morally ni bankrupt,ni irrational and lacks logic.To me it's a rotten society.Naona ProPutin katika ubora.Vyombo vya magharibi vikielezea madhila ya Ukraine mnashangilia wakielelezea madhila ya Russia wanayopitia mnaita propaganda.Hii ni''DOUBLE STANDARD'' 🙄
Tupeni habari za field huko
Na wala hakuua hata mtu mmoja.Kumbe Wali hakufa
Dah!😯Yani ukicheki hawa vijana wadogo ndio wanatia huruma zaidi View attachment 2245100
Kabisa MKUU upo sahihi sana kuhusiana na swali lako ntakudanganya labda tuwapelekee waungwana hapa kwamsaada zaidiHuo ndio uhalisia kabisa. Ifahamike Nguvu kamili za Majeshi ya Super power countries ni Siri kubwa ya Nchi husika na hata hizo records ambazo wengi tuna zisema humu from papers, yawezakuwa ni tofauti kabisa na uhalisia.
In fact Nchi Kama za NATO na USA Zina walau approximation nzuri kuhusu Russia Military Force, kuwa ni mkubwa Sana zaidi ya mataifa yao yote. Ndo maana wanatoa vitisho tu.
Lakini anaejua naomba atueleze, hivi kwa nini NATO wanaweka hadharani aina ya siraha wanazopanga kupeleka Ukraine? Wakati ni Kama kumjulisha enemy ajiandae. Au kulikoni? Bwana Utam
Kwamba kherson rasmi ni sehem ya RUSSIA !!!??Demand for Russian SIM cards in Kherson remains high - people have been standing in such queues for several days.
According to local authorities, a package of 1,000 minutes, 500 SMS and 10 GB of internet costs 300 rubles a month.
The situation is similar in Melitopol. On May 27, it became known that the Kherson and Zaporozhye regions switched to the Russian code +7.View attachment 2245537
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyu naona kaandamwa sanaa@Ask-QBorrell said that Patriarch Kirill should be blacklisted by the European Union.
View attachment 2245540