Ni wazo mjadala,sio baya.Ila nia ya NWO ya muda mrefu ni kuisambaratisha Urusi,kwa kuwa wanaona ndiyo kikwazo kikubwa cha adhma yao ya muda mrefu ya kuanzisha a One World Goverment,One Satanic Religion under the Antichrist and One World Currency.
Sasa wewe m-Ukraine wa Uvinza waumia nini?!Sasa wewe mrussia wa Kakonko inakusaidia nini?
Khaa,[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa wewe mrussia wa Kakonko inakusaidia nini?
No JF nadhani wamekosa picha halisi ya siraha inayokwenda Ukraine wakaamua kujichukulia tu picha yoyote ya siraha ya Amerika wakapachika kwenye maelezo. Siraha inayoenda Ukraine ni M142 High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS), sio Patriot ambayo ni Air defense systemNdio,iwa wamekubaliana eti wasitumie kushambulia ndani ya Russia bali kulenga target tuu
Asilimia 20 ina thamani kuliko 80%.Huku ndiko kwenye viwanda na bandari zote za Ukraine.Shauri yake, mpaka mwisho wa mwezi huu ya June zaidi ya 50% ya ardhi ya Ukraine itakua mikononi mwa Russia.
Sure! Tatizo ni kwamba huezi kuhubiri "Mbuzi" kwa lugha ya "Simba" ukaeleweka zaidi utaonekana kama "you are out of your mind".Ni wazo mjadala,sio baya.Ila nia ya NWO ya muda mrefu ni kuisambaratisha Urusi,kwa kuwa wanaona ndiyo kikwazo kikubwa cha adhma yao ya muda mrefu ya kuanzisha a One World Goverment,One Satanic Religion under the Antichrist and One World Currency.
Hayo maeneo yanakuwa jamuhuri mpya za watu wa maeneo husika (mfano Jamuhuri ya Watu wa Donetsk na Jamuhuri ya Watu wa Luhansk), raia wake wanaitisha kura ya maoni ya kujiunga na Russia, kura inapita, kisha maeneo hayo yanakuwa sehemu za Urusi.Kwahiyo hayo maeneo yatasafirishwa kupelekwa Moscow muda sio mrefu
Sasa kama biblia imeandikwa wewe na Russia ni nani hadi mpinge?Ni wazo mbadala,sio baya.Ila nia ya NWO ya muda mrefu ni kuisambaratisha Urusi,kwa kuwa wanaona ndiyo kikwazo kikubwa cha adhma yao ya muda mrefu ya kuanzisha a One World Goverment,One Satanic Religion under the Antichrist and One World Currency.
Na hiyo ardhi Russia anataka ageuze shamba alime sana alizeti na nganomUkraine wa Ukraine (achana na hawa waUkraine wa Kibaigwa) amefanya tathmini ya ukubwa wa ardhi (nchi kavu tupu) ambayo Russia imeshaikamata nchini Ukraine. Matokeo yake yameonesha kuwa ukubwa wa maeneo hayo yaliyochukuliwa na Russia kwa sasa ni sawa na kilometa za mraba 123,299 ambazo ni sawa na uubwa wa nchi mbili za Switzerland na Austria zichanganywe kwa pamoja au uchanganye pamoja nchi nne za Croatia, Slovenia, Bosnia na Montenegro.
Chombo kingine huru kimefanya tathmini ya ukubwa wa ardhi yote iliyokamatwa na Russia toka Ukraine (ukijumlisha pia maeneo ya maji/bahari yaliyotekwa) na kuona kuwa ni kilometa za mraba 143,886.
View attachment 2248332View attachment 2248333View attachment 2248334