Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
My friend, hili jambo Russia Central Bank wameishalishugulikia Toka 27 May 2022. Wamepunguza basis point 300 na kushusha key rate mpaka 11%. Inakadiriwa kuwa kufika 2023, rate itakuwa inasoma kati ya 5-7% na itastabilize kwenye 4% kufika 2024.
Tupe strategies za US kudeal na skyrocketing inflation huko US!
Source:. https://www.cbr.ru/eng/press/keypr/
My friend, hili jambo Russia Central Bank wameishalishugulikia Toka 27 May 2022. Wamepunguza basis point 300 na kushusha key rate mpaka 11%. Inakadiriwa kuwa kufika 2023, rate itakuwa inasoma kati ya 5-7% na itastabilize kwenye 4% kufika 2024.
Tupe strategies za US kudeal na skyrocketing inflation huko US!
Source:. https://www.cbr.ru/eng/press/keypr/
Hizi ndizo strategies za US kudhibiti inflation huko kwao? Nadhani unawatania wanaJF. Ha ha ha haaaa!Inflation rate Russia ni asilimia ngapi mwezi huu wa sita mwaka 2022?
Kati ya Marekani na Russia nchi ipi ina "skyrocketing inflation" ?
Tuwa vumilie tu hawa Pro NATO. Nimekuelewa sana.Ukimkuta mtu ambae unamtilia mashaka KUWA huwenda ni mpumbavu amekaa sehemu ametulia na yuko kimya, utabaki tu kumtilia mashaka "HUWENDA HUYU MTU NI MPUMBAVU".
Ni pale tu atakapoanza kuongea ndipo utajihakikishia kuwa "HUYU MTU KUMBE NI MPUMBAVU KWELI"
Nikajua una akili kumbe ni empty head with full of nonsense. Sijawahi na sitarajii kuwa mtumwa wala mfia dini.Haupo sahihi maana Marekani hajawahi kupigana na Alshabaab, soma historia ya Somalia vizuri.
Haupo sahihi maana huyo Urusi mnayemshabikia kwenye dini yenu hiyo ameshindwa kutembeza kichapo dhidi ya kainchi jirani yake, kamemtoza makamasi, alishindwa kuteka Kyev akakimbia.
Medvedev told Al Jazeera that if Kyiv uses weapons against objects on Russian territory, the Russian Armed Forces will have no choice but to act to “defeat the decision-making centers”
Hii mambo mbona huitolei ufafanuzi wazee wa kutingisha weseleAl shabaab sio nchi, ni vijana wanaongozwa na mzuka wa dini lenu na kujilipua mabomu, ila Ukraine ni kataifa kadogo ukilinganisha na Urusi na kameshindikana, licha ya kuwa kapo mpakani hapo, kamefyeka misafara ya Urusi.
Nikajua una akili kumbe ni empty head with full of nonsense. Sijawahi na sitarajii kuwa mtumwa wala mfia dini.
Kwahiyo kama wewe ni mfia dini kiasi cha kuhusanisha hii operation na mambo ya dini basi itoshe tu kusema wewe katika hili ni mjinga pro max na sina haja ya kuendeleza mjadala ya akili mgando kama zako.
Note: ilitakiwa ujibu kwa ufupi tu, sahihi au siyo sahihi. Sikuyahitaj maelezo yako maana nilijua tu yatakuwa ugoro.