Unaulizwa vitu vingine unajibu vitu vingine hebu thibitisha lini Russia walisema mpango wao ni kuidhibiti Ukraine kwa siku 3 kama ulivyodaiCIA walisema mapema February, Urusi ataivamia Ukraine, Putin alipinga kwamba ana mpango huo siku chache kabla ya kuivamia.
Watu wenye akili hawamsikilizu wala hawamuamini Putin, wanakusanya "intelligence".
Usifikiri ule msafara wa Km 64 kuelekea Kyiv ulikuwa kucheza ngoma.
Hivi kwa huu upumbafu unaukutoka kwenye hiyo kichwa... Hata kupiga mswaki unaweza kweli? Mbona unakua fala sana kiasi hiki?
Watalebani ndani ya vita miaka yote mfululizo, unataka kutwambia US alikuwa ***** tu hadi walipata mda wa kulima? Wakavuna? Wakapata soko la kuuza hizo Opium kupata hizo fedha? Wakati huo US hayo mashamba alikuwa anayamwagilia sio? Wakati huo Intelligence ya US ilikuwa imetulia tulii ikiwatizama sio? We jamaa mbona Mse**e sana?
Vitu vingine ukikosa majibu si ukae kimya tu [emoji848].
mimi nafikiri hawaamin,Teh teh teh ππ huyu Mzee anawaogopa hao viongozi wa ulaya na sio wa huku sub-sahara. teh teh ππ
Putin was elected to the office,alafu,kwani Mwenyekiti wa AU alikwambia anafuata nn kwa Putin?
Kwa hivyo baba yenu Putin ameamua hana muda kuzingatia/kushugulikia upungufu mkubwa wa chakula afrika kutokana vita vyake vya kipuuzi?
Afrika pamoja na kujipendekeza sana Urusi ,Mwenyekiti umoja wa Afrika ametoka mikono mitupu Kremlin. Putin amemwambia live live access denied to Ukraine food stockpile.
Ha ha mdau, kazi kwako we shughulika nae tu usikilize US alivyoshindwa kuzuia biashara ya watalebani mwa miaka 20 kiasi cha kutia hasara ya $8Trillion dollar ku'replace "Taleban" with "Taleban"Tulia anko, nimefikia pazuri. Nikunyooshee huyu mtoto.
Of course mdau!huyo jamaa huwa habishani na watu,
We kima njoo hapa, tueleze hiyo mihadarati ilivyoingiza pesa za kumzuia marekani na kundi lake miaka 20 akatoka kapa.Putin hana cha kupoteza au kufaidika nacho Africa. Africa ina matter kwa US, Ulaya na China.
Tena setilite za urusi,china, Korea yakasikazin na china zinaangalia njia zote zinapopitia silaha za NATO nakujulishana. NATO Hana ujanjaNATO yote imeamia Ukraine sasa unataka aguse nini? nyie endeleeni kuleta shehena za silaha kazi yetu ni kuzilipua
ππππBila izo timu sidhani kama hii thread ingekua endelevu.Mnachokera mmetengeneza team Ukraine vs Russia
Asiwe kama yule alopingwa spana za maana akasingizia ID fake haziruhusiwi [emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Bila izo timu sidhani kama hii thread ingekua endelevu.
Kupitia timu tumepata elimu,burudani,makasiriko,kijiwe cha kupumzika wewe kama huna timu ni mahali sahihi pia ila uwe neutral kwelii.
na angesema Putin ana matatizo ya akili ungemuita nani ?Huyo alisema hayo maneno ni Mwijaku wa Ulaya.
kuna chips yai hapo juu inamfananisha jamaa na mwijaku kisa kamkosoa zele ila ingekuwa kaongelewa putin.Mkuu wa Bunge la Hungary ana haya ya kusema π
View attachment 2251715
ππΊπΊπ¦The head of the Hungarian parliament announced Zelensky's mental problems.
This is how Laszlo Kever commented on the insult of Western politicians from Kiev.
"I do not remember that the leader of a country in need of help would dare to speak out against anyone in the way that President Zelensky did not only against Hungary, but even against the German Chancellor. Usually, someone who needs help is used to asking, politely," Kever explained.
"This is some kind of personal, mental problem that I do not know what to do with," he concluded.
Mzee wa Vyuku [emoji23][emoji23][emoji23]Tsh itakua ana id mpya ile hawezi itumia tena[emoji23][emoji23][emoji23]alifeli sanaa,kobe huyo naona unamlia timing umle kichwa babu ISTEN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kama huyo ni Mwijaku, Victor Oban nae ni nani [emoji848] waswahili akili zetu zinajiweza wenyewe!kuna chips yai happy juu inamfananisha jamaa na mwijaku kisa kamkosoa zele ila ingekuwa kaongelewa putin.
Duuh wangeunda sredi ndefuu wako radhi kuchanganya na module za development studies ili mradi ijae, waonekane wachambuzi kumbe ni wachamba mbuzi.
Huyu mzee baada ya kuzungumza hivi hiki ndicho kilichoandikwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Ukraine, Kazi ipo!Mkuu wa Bunge la Hungary ana haya ya kusema [emoji23]
View attachment 2251715
[emoji1126][emoji1255]The head of the Hungarian parliament announced Zelensky's mental problems.
This is how Laszlo Kever commented on the insult of Western politicians from Kiev.
"I do not remember that the leader of a country in need of help would dare to speak out against anyone in the way that President Zelensky did not only against Hungary, but even against the German Chancellor. Usually, someone who needs help is used to asking, politely," Kever explained.
"This is some kind of personal, mental problem that I do not know what to do with," he concluded.