Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama unafikiri ili mapigano yawe vita ni hadi silaha za mass destruction zitumike basi kuna vita moja tu iliyowahi kufanyika duniani ile ya Hiroshima na Nagasaki ambayo US walitumia nyuklia. Kama unaamini Russia anaweza kuwamaliza watoa misaada na nyuklia zake na wao wasimmalize kwa nyuklia zao wahi Mirembe.

Kusema NATO hawakujua Russia ana hypersonic mpaka alipoitumia Ukraine ni upumbavu mtupu, hii kauli naipuuza.Hizo silaha za kuyeyusha drones za Russia ni hadithi za Abunuwasi tu.

Kama Russia aki test kombora NATO wanatengana basi muambieni dikteta Putin atesti mengi zaidi ili NATO isambaratike kabisa.

Hujui siasa za Uingereza wewe, mambo yote anayofanya Boris Johnson kuhusu Russia yanaungwa mkono na wabunge wengi wa UK na yamapata kibali chao, hiyo kura aliyoshinda jana inahusiana na mambo mengine kabida ya siasa za ndani za Uingereza. Halafu kama hawajasema wame mind kwa sababu ya Russia wewe umejuaje ukiwa huko Buza??
 
Wajinga tu na watu wenye akili za kizombi ndio wanaotilia maanani anayosema dikteta Putin.
 
View attachment 2253016mjeda wa ukraine akiipa heshima alama z
Hii vita imekwisha . Askari wa Ukraine wanakimbia mapigano ni hiyo ndio busara .Makamanda wao wanawakumbia na kuwaacha wenyewe. Katika mji uliochukuliwa na Russia hivi punde makamanda wa Ukraine wamevunja daraja wao wakasepa ili vijana wao washindwe kukimbia .Vijana wametupa silaha wakaogelea Warusi wamewaacha tu hawakutaka kuwadhuru
 
Dawa ni kumpa Ukraine makombora ya 300Km plus aibomoe Moscow muone kama hawatatafutana.

Urusi amekuwa overhyped na bora angebakia na ile mikwara yake watu wakamuogopa sasa hivi wameshamjua udhaifu wake, ana infantry ya kipuuzi sana.
 
Mrusi atakapotaka kulipua Washington au London na nyuklia atawaambia mabalozi na raia wa nchi nyingine zenye nyuklia kama China, India, Pakistan na Israel waliojaa huko waondoke anataka kulipua hao wabaya wake??
Kati ya ujinga mkubwa sana wa watu wenye akili ndogo ni huu wa kujadili uwezakano wa Russia kutuma hizo sijui Satan, Angel au Sarmat. Hizo ni toys tu na uharibifu wa pesa kwa hizo nchi zenye nyuklia mpaka pale mmoja atakapoamua kuifikisha dunia YOTE katika mwisho wake.
Matumizi yoyote ya nyuklia dhidi ya taifa lingine kubwa la nyuklia ni "death wish" kwa huyo atakayeanza kurusha.

Bakini tu kujadili conventional warfare na silaha zake zake za kawaida nyie Pro Russia kama hamtaki kuonekana wehu.
Mkuu hiki umeandika nini? [emoji3516][emoji706][emoji706][emoji3545]
 
Kuna nyambizi za marekani ziko huko baarini zime beba hayo madude wana subiri tu kuyarusha, na hizo kambi za US zupo hapo mpakani na Rusia, hawawezi kutumia hizo silaha kwa nchi yeyote ya NATO
 
kuna kitabu kinaitwa WINTER IS COMING Kimeandikwa na Garry kasparov anojua madini yake atujuze jpo kidogo
lee van cliff Galip Vrl Ask-Q
Teh Garry Kasparov ni Mrusi, aliye mlengwa wa jua linakozama. Yaliyomo ndani ya kitabu hicho na yale yanayotangazwa kutoka CNN, BBC na vyombo vyote vya magharibi kuhusu Putin yanafanana kasoro date of Publishing.

Hicho kitabu kakitoa 2015 baada ya sakata la Crimea. To Him, Putin ni threat na enemy to what He refer as "free world"... Kwamba He(Putin) need to be stopped.

Sasa hiyo free world ni nini? Ukikisoma atakupa majibu sitaki kumsemea mie 😂 kitabu kimejaa haya majina mawili, Russia na Putin.

Nakumbuka siku za mwanzo naanza kukisoma nilivoona title ikanivutia ila ndani sasa asalaleee. Hawa watu wako trained well kupandikiza aina ya fikra kwenye mind za watu.

Wakikukuta mweupe kichwani, yani huna taarifa za ziada aki ya mama huchomoi. Utalishwa "itikadi" hizo kila aliyepo mbele ako mwenye mtizamo tofauti na ule ulio elekezwa atakua adui. They are Professional Liers indeed!

Kingine nisije sahau, Winter is Coming anarefer Ujio wa Soviet uliovunjika milongo kadhaa iliyopita.

Kuna hadi movie ishachezwa yenye the same title, ka sikosei ni kwenye Game of Throne, Episode ya kwanza season 1 inaenda kwa hilo jina la Winter is Coming.

Kwa waliowahi kuiona hii series hiyo episode ya kwanza maudhui yake kiasi yanataka kufanana na hicho kitabu.

Hicho kitabu kinawafaa sana pro-NATO wakafanye palizi ya chuki zao zidi ya Putin zizidi kunawiri wazitumie kuhudumia familia zao!
 
Dawa ni kumpa Ukraine makombora ya 300Km plus aibomoe Moscow muone kama hawatatafutana.

Urusi amekuwa overhyped na bora angebakia na ile mikwara yake watu wakamuogopa sasa hivi wameshamjua udhaifu wake, ana infantry ya kipuuzi sana.
Hii vita yenye macho unapiga huku wanalalamika . NATO akiingia live inapigwa Satan 2 WATU wanaweka mpira kwapani ndani ya sekunde 5
 
Mambo kama hayo huwa nawaachia mazombi.View attachment 2253056
ICBM sio silaa ni njia ya kufikisha silaha kutoka bara moja kwenda lingine na ukweli ni kwamba sio bara moja kwenda lingine ila wanaongelea masafa marefu. Mfano Marekani na Urusi zimepakana kule Alaska ICBM ya nini?

ICBM ina weza kufungwa kichwa cha nuclear au bom lingine lolote
 
Dawa ni kumpa Ukraine makombora ya 300Km plus aibomoe Moscow muone kama hawatatafutana.

Urusi amekuwa overhyped na bora angebakia na ile mikwara yake watu wakamuogopa sasa hivi wameshamjua udhaifu wake, ana infantry ya kipuuzi sana.
Acha kurazimisha mkuu, utaumia bure. Russia ni Supremum point compared to others, labda tuombe tu Ukraine afanye ku-surrender. Vinginevyo Ukraine itaishia kubomorewa kila mahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…