Hili lengo likitimia, litaifanya Urusi isiwe na uwezo tena wa kuanzisha chokochoko na majirani zake au mahasimu wake.na lengo kuu la mataifa ya magharibi ni kuoona URUSI ikidhoofu, kudhoofika kwa Urusi ndiyo itakuwa ushindi kwa mataifa ya Magharibi pamoja na US.
Hatakiwi kuonewa HurumaPro Russia hiki kitu wanashindwa kuelewa mwishonwa hii operation Mrusi atakuwa hoi na uchumi ikiwepo vikwazo debe.Nchi za EU zinatafuta altenative ya mafuta within very short period atakuwa ameachwa kisiwani.This war is more than we think
Uko sahihi kabisaKama hajui silaha kali zimepelekwa Ukraine ila zimefeli. Pale snake island walipeleka mitambo yao bila sahau wale wajesh wao wanaowasifia kila siku ILA WALICHOFANYWA pale kisima cha nyoka hawana hamu[emoji28][emoji28][emoji28].
Kufuta aibu wakatuletea propaganda za vifaru vya Urusi kulipuliwa wakati vinajaribu kuvuka mto[emoji28][emoji119][emoji119].
NATO walikuwa wanajaribu kupima kina cha bahari kwa kidole, nadhani wamepata majibu
RUSSIA RUSSIA RUSSIA [emoji635] [emoji635][emoji635]
Mkuu unapoteza mda mpaka na sources kama hiyo ya BBC? BBC propaganda za chekechea kabisa.Hii si habari njema Kwa ProPutins,Warusi wa Buza @Struggleman and Co[emoji848]
Wanajeshi wa Ukraine wazifurusha meli za Urusi kilomita 100 nyuma - Wizara ya ulinzi
View attachment 2253320
Naamini hata wewe una-mshangaa alie like hii reply yako. Si ndiyo?Nyie ndio mnaofanya bangi iendelee kupigwa marufuku Tanzania.
Ungekuwa unafahamu Uturuki ni waislamu 99% usingeandika huu utopolo wako hapa.
Nini tena hiki unaleta ?....usichafue uzi bhanaView attachment 2253508View attachment 2253509
Hunter Biden says HELLO...
New footage from the lost laptop of Biden's son Hunter. This time he is traditionally naked and with a prostitute, but he has a gun in his hands.
It is noteworthy that the footage surfaced after a series of terrorist attacks with the United States and Biden's calls to Congress to strengthen measures to control the circulation of weapons after the frequent cases of shooting in the country. According to some reports, Hunter's gun was (or still is) on illegal grounds.
Nani kakwambia? Si waende sasa kule kwenye bandari wamuondoe Russia ili nafaka zitoke.Wamezitoa range ya HIMARs. GPS guided haikosei target. Urusi imeepusha aibu fleet ya meli kuzamishwa.
Kama ni boss wako huyo. Kazi unayo.Nini tena hiki unaleta ?....usichafue uzi bhana
πππππMkuu Russia has GLONASS ambayo ni bora kuliko GPS.The GLONASS system covers 100% of worldwide territory. Halafu naomba ufahamu kwamba Urusi wana uwezo wa kufanya GPS ya Marekani isifanye kazi.So wana-uwezo wa kufanya all military equipment ya Marekani inayotumia GPS isiwe functional!Huo ni uwezo mkubwa sana millitarily.Hii ina maana kwamba militarily, the US ipo at the mercy of the Russians.
On the other hand China has BeiDou Navigation Satellite System which is accurate up to 0.1m when compared to 5m of the American GPS. India has INRSS(Indian Regional Navigation Satellite System)under development.
Do Russia and China also rely on America GPS system?
Chaitanya Kota's answer: No, Russia has GLONASS. The GLONASS system covers 100% of worldwide territory. And China has BeiDou Navigation Satellite System which is accurate upto 0.1m when compared to 5m of GPS. India has INRSS - Indian Regional Navigation Satellite System under development. The con...www.quora.com
Habari za faraja kwangu hizi.The main thing from the briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:
- The Russian Aerospace Forces hit two command posts, three firing positions of artillery batteries, two ammunition depots;
- Russian aviation destroyed more than 170 nationalists;
- Russian aviation destroyed nine tanks, two Grad MLRS installations, a battery of field artillery and eight vehicles for various purposes;
- Russian air defense systems shot down 12 UAVs;
- Russian artillery hit 39 command posts of the Armed Forces of Ukraine;
- Russian artillery destroyed more than 400 nationalists;
- Russian artillery destroyed ten armored vehicles, three Grad MLRS, ten special vehicles, three launchers of the S-300 air defense system;
- Russian artillery destroyed the 155-mm M109A3 self-propelled guns transferred by Norway, two 155-mm M777 howitzers made in the USA and seven field artillery guns and mortars, including the 203-mm Pion self-propelled guns.
View attachment 2253413
Zile drone zao sizisikii tena. Phoenix droneUko sahihi kabisa
Yani NATO siraha walishapeleka mara nyingi tu na za kisasa kabisa kwenye S&T yao, Ila ndo hivyo Russia anazimdu tu
Sasa hivi hapo Ukraine ni Testing ground ya viji-siraha vya NATO zidi ya Russia, na wanashangaa wanavyo prove failure
Mkuu Russia has GLONASS ambayo ni bora kuliko GPS.The GLONASS system covers 100% of worldwide territory. Halafu naomba ufahamu kwamba Urusi wana uwezo wa kufanya GPS ya Marekani isifanye kazi.So wana-uwezo wa kufanya all military equipment ya Marekani inayotumia GPS isiwe functional!Huo ni uwezo mkubwa sana millitarily.Hii ina maana kwamba militarily, the US ipo at the mercy of the Russians.
On the other hand China has BeiDou Navigation Satellite System which is accurate up to 0.1m when compared to 5m of the American GPS. India has INRSS(Indian Regional Navigation Satellite System)under development.
Do Russia and China also rely on America GPS system?
Chaitanya Kota's answer: No, Russia has GLONASS. The GLONASS system covers 100% of worldwide territory. And China has BeiDou Navigation Satellite System which is accurate upto 0.1m when compared to 5m of GPS. India has INRSS - Indian Regional Navigation Satellite System under development. The con...www.quora.com
Tupe ukweli wa mambo ya GPSPunguza ulevi wa Dengerua uache kuota vitu vya ajabu ajabu mchana.