Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mkuu Russia has GLONASS ambayo ni bora kuliko GPS.The GLONASS system covers 100% of worldwide territory. Halafu naomba ufahamu kwamba Urusi wana uwezo wa kufanya GPS ya Marekani isifanye kazi.So wana-uwezo wa kufanya all military equipment ya Marekani inayotumia GPS isiwe functional!Huo ni uwezo mkubwa sana millitarily.Hii ina maana kwamba militarily, the US ipo at the mercy of the Russians.
On the other hand China has BeiDou Navigation Satellite System which is accurate up to 0.1m when compared to 5m of the American GPS. India has INRSS(Indian Regional Navigation Satellite System)under development.
Do Russia and China also rely on America GPS system?
Chaitanya Kota's answer: No, Russia has GLONASS. The GLONASS system covers 100% of worldwide territory. And China has BeiDou Navigation Satellite System which is accurate upto 0.1m when compared to 5m of GPS. India has INRSS - Indian Regional Navigation Satellite System under development. The con...www.quora.com
Ni ma kanjanja bila sisi hawatoboi Russia,china wanakuja kuziba pengo na wao n zamu yao kuishi kama mashetani.Ha ha haa
Hawa west wanaishi duniani kiujanjaujanja TU.
Pro Russia hiki kitu wanashindwa kuelewa mwishonwa hii operation Mrusi atakuwa hoi na uchumi ikiwepo vikwazo debe.Nchi za EU zinatafuta altenative ya mafuta within very short period atakuwa ameachwa kisiwani.This war is more than we think
Tayari dalili za uchumi wa Urusi kuyumba zinaonekana. Putin amelazimika kuuza mafuta kwa 30 % discount - India na Uchina wanacheka hadi chooni. 🙂 🙂 🙂
Asante Sana Uingereza[emoji116]
Hapa ndipo ninapomkubali Putin, alikwisha jua nchi nyingi za kiafrika zinasumbuliwa na njaa, Kwa njaa inayoinyemelea dunia nchi pekee yenye uwezo wa kutupa chakula ni Russia, India,China na nchi kadhaa za Asia, hapa viongozi wengi WA kiafrika hawataweza kuruka huu mtego, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiufupi Russia anaenda kuongeza ushawishi afrika Kwa Kasi ya ajabu kibaya zaidi west hawawezi kuzuia
Kweli wasipeleke KenyaAfrica njaa ndo tatizo letu, hii ngano isiende kenya tu
Mkuu Russia tayari imeshachukua mji na ukanda wa dombass kibabe...... hakuna cha kusubiria msema kweli. hiyo ndo taarifa halisiMuda utathibitisha ni nani msema ukweli.
Mkuu hizo siraha zinazoenda Ukraine sio zinaenda bure Ukraine inanunua , na kukopa , Hakuna kitu Cha bure duniani bro.kila siku nawaambia watu hii vita kama itakwenda miezi 6 na zaidi basi itamwacha Mrusi dhoofu ki-uchumi. watu hawajui anatumia millions ya hela kila siku, uzalishaji ndiyo huo, vikwazo ndiyo hivyo - kwa uchumi gani alionao mrusi hadi aweze kupambana na wote kwa ujumla wao ?
Ukraine anapata mabillion ya dola kama misaada kila uchao, silaha, fedha na huduma za kijamii- unless Ukraine agome kupigana game liishe othewise tupo dk ya 30 ndugu zangu.
Na watadaiwa kweli kweli , afu bahati mbaya na nchi za ulaya na marekani wamefanya Kama biashara.Wewe ulisikia wapi habari za siraha kwenye vita zinakuwa publicized kijinga hivi? Yani hata hazijapiga hata Inzi tu? Hakuna jeshi la hivyo Duniani.
Ni propaganda tu za NATO kujaribu kumtishia Russia na kumtengenezea legitimacy Ukraine ya kumdai hiyo mikopo huko baadae, yani ni madeni ya millennium
Wakata putina yupo ikulu akiendeleza michambo Kwa westProve. Comedian yupo location.
Maneno yakukata tamaa hayaMuda utathibitisha ni nani msema ukweli.
Kama mlishindwa golden chance mlipo kuwa 45 kilomita kutok Kyiv.Tutakula kichwa hicho soon. Tumeshaandaa pilipili za kunywea supu. Tulikuwa tunamuacha kondoo wetu anenepe kidogo ili tugawane vizuri nyama.
hapo Russia ndo nimekubali kuwa hili taifa ni la kibabe likiamua jambo huwa...