Wooiiii n kuweka records sawa tuu πππππurongo ukizidi unakuaga na tabia ya kua ukweli,Warusi mnataka kuniboa sasa, msitumie nguvu nyingi ikibidi muwakaushie kabisa hawa punga.
Unajua kuna vitu vingine kwa mtu timamu ukimueleza anaelewa hata Kama alikuwa anapinga sana ila kwa hawa wenzetu wamefungwa socket yenye option moja, Kama ni on basi ni on on ila Kama ni off basi ni off off. Yaani ni kazi kweli unaweza kuta fuvu lao lina kilo tano hilo ni fuvu tu bado uzito wa meno sijui ubongo n.k ni tofauti na warusi, wenyewe ni off na on Kama ni kweli watakubali na kinyume chake.
Mie huwa na wazoom halafu wanato wengi wao ni wanawake toka nishtuke ndio nakabaki kuwaangalia tu. Yaani unabishana na dem kabisa mie hapana.
Kingine siku hizi naona id mpya mpya nyingi za nato ukitakaa kuziona subiri tukio limpate urusi au Putin utaziona zinakuja spidi Kama roketi linaloenda anga za mbali. Kati ya id tano za wanato unakuta unabishana na mtu mmoja au wawili, hapa kina Yule mkenya, britanika sijui kina yehohada , annunaki na wengine nkifupi kuna mda mnaweza bishana na id mbili kumbe ni mtu mmoja huku akiwachora na kujiona kawaweza mda huo akijisahau kuwa safari ya ujizi ndio kaianza.
warusi ebu wakaushieni tuwaone
haya ya upande wa pili ni mabishi kinoma wamekariri kufungue thread tuWooiiii n kuweka records sawa tuu πππππurongo ukizidi unakuaga na tabia ya kua ukweli,
Hao unaowasema labda wanalipwa per diem,overtime,mshahara wacha wapambane maana hakuna mrushia anaepambana mwanzo mwisho watu wanapokezana yeye ndio atapoteana.
Watu washamyuti mudaππππππmtu anakuja na gazeti lake anajieleza na watu wake akimaliza anakaa pembeni.dawa ni kutowajibu hata wakirepoy maoni yenu we kausha wenda wakajishtukia
Various estimates put the losses of the #Ukrainian forces at between,Watu washamyuti muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]mtu anakuja na gazeti lake anajieleza na watu wake akimaliza anakaa pembeni.
Kukiwa na reference/fact pande zote mjadala unakua mzuri sanaa wenzetu hiyo hawana na hawaoni aibu kusimamia aibu zao.
NB:
Naupenda huu mjadala sanaa so siwezi kukuta mashudu nikanyamaza iyo ni mimi ngaboru.
Missed in actionVarious estimates put the losses of the #Ukrainian forces at between,
as an estimate:
80-90k all-in (including KIA, WIA, MIA, POW, non-combat losses, deserted, and fallen ill), according to @Boris_Rozhin (Colonel Casad); and,
with a high degree of certainty:
confirmed KIAβ50,127
including MIAβ61,451
(as of June 6, 2022)
estimated additional, not included in the above numbers: 5-7k, for a total of 66,451 to 67,451.
Russia anatumia helcopter zinazorusha guided missiles sijajua mitambo ya Ukraine inafanya kazi gani .Saizi wanajipigia tu kwa kutumia helcopterMissed in action
Killed in action
Prisoners of War
Wounded
Ill
Ukiona mtu anapenda kutaja kitu Fulani ujue yeye ndiyeπ€TOA ushoga wako hapa tuwekee na alivyopoteza Ukraine na NATO na mpenzi wenu USA
Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
Zelensky ni raslimali? Walipotezwa maboya wakajaa force king . Raslimali zipo DONBAS maviwanda , nuclear plant bandari , maghala ya nafaka mbolea madini . Tunajilipa siunajua gharama za vita mavikwazo kibao sie tunBeba mavyuma mangano mitambo kila kitu mameli yote
Ila we jamaaa..... Hivi na wewe umeumbwa Kwa mfano wa Mungu!!??Ukraine haijavamiwa kwa sababu inataka kujiunga na NATO, hato kipenzi chenu Putin hakusema hayo wakati anatangaza uvamizi wake. Ukraine pia haijwahi kutangaza inataka kujiunga na NATO.
Kama tatizo ni kujiunga na NATO mbona Finland haijavamiwa mpaka sasa wakati imeshatuma maombi rasmi ya kujiunga?
Hamna kitu kichwani kwa yoda ni tabulalasa sema hataki kujifunzaTrump alikubali matokeo ya uchaguzi?
Tupe kisa Cha capitol hill?
Je raia walikuwa sahihi kuvamia bunge kule? Kama si sahihi maana yake hakuna demokrasia [emoji38][emoji38][emoji38]π₯²π₯²π₯²π₯²
Unaufahamu vizuri mtindo wa upigaji kura kule?
Kwa nini wanalimit and kutawala upigaji kura?
Tuelezee electo college yao inavyofanywa kazi?
Ila we jamaaa..... Hivi na wewe umeumbwa Kwa mfano wa Mungu!!??
Sure mwamba, mnawapa Airtime ya kingese mno hao makima. Mnapozidi kuwajibu kwenye utopolo wao ndivo wanavyozidi kuuzidisha. Huwa nikiingia humu post ya kwanza hadi ya 5 nasoma naona ubishano usio na kichwa wala miguu nahama uzi tu. That's why nimekua inactive sana hiz siku za karibuni.Dah siku ya 100+ bado tunaendeleza mjadala kuhusu uhalali wa Russia hapo Ukraine? Hatupo serious ase, toka page 2,430 hadi hapa 2,434 issue ni ile ile.
Maximum reply kwa Pro-NATO ni moja tu, yan Waaahed, no more plz!
Unatembea ndani ya post 100 zimetawala pumba za huyo Gasho Yoda na nyie Pro-Russia mnahangaika sijui nini kuelewesha huo mzoga kujaza server! Kwanini msiuache uendelee kuoza taratibu tu.
Usitegemee kumshinda mpumbafu kwenye mijadala, Mpumbafu huwa anaachwa kama alivo. Whatever you say, hata ukisema anavuta pumzi ili aishi atakwambia anavuta chokaa ili aishi. How can you argue with such a man?
Pro-Russia nawaomba ase, Tumieni mda wenuz vizuri wadau. Do not correct a fool or he will hate you, Correct a wise man and He will appreciate you! Text nzuri kuzisoma ni zile mnazojadiliana nyie kwa nyie. Hawa watoto achaneni nao plz.
The fool do think He is wise, the Fool is known by his Speech and Wise man by his Silence. Hili jukwaa huru waachen wapost watakalo as long as yanawapliz nyoyo zao.
Wadau kisiju pwani ngaboru Bwana Utam PD_Magumba KIDUNUNDU kilwakivinje Mtoto wa nzi Ngwega Msulibasi East rodrick alexander Mr Tyang Aiba Muuza viatu 1954 mbaghato chaka lee van cliff Muite Champagnee MR MAJANGA babu na mjukuu Mathanzua na wengineo wote.
Kuna watu kama mie tume-subscribe kwenye huu uzi kwasababu yenu. Tunafatilia kila mnachopost, ila mnatupea taabu sana mnavyoingia kwenye mijadala ya kitoto na hao watoto. Wapeni za moto baridi katika mfumo wa taarifa kama anavyofanya Sikirimimimasikini NYUNDO YA MOTO na Jesus Mlokozi kisha mbaki kujadiliana nyie kwa nyie.
Again maximum reply kwa Pro-NATO iwe kimoko tu cha ham [emoji23]! Hawafai hata kwa kulumangia hawa. It's disgusting mwezi wa 3 siku nzima ni kujadili uhalali wa Russia ya Ukraine. Mara sijui Russia anashindwa, mara sijui silaha kadha zimetua [emoji848] kweli?
No si SAWA!
Punguzeni maongezi yasiyo na Tija kwa hawa #Makima in Galip Vrl Voice!
Naunga mkono hoja hawa jamaa pro NATO wapumbavu sana hawana hoja zaidi ya vioja.Dah siku ya 100+ bado tunaendeleza mjadala kuhusu uhalali wa Russia hapo Ukraine? Hatupo serious ase, toka page 2,430 hadi hapa 2,434 issue ni ile ile.
Maximum reply kwa Pro-NATO ni moja tu, yan Waaahed, no more plz!
Unatembea ndani ya post 100 zimetawala pumba za huyo Gasho Yoda na nyie Pro-Russia mnahangaika sijui nini kuelewesha huo mzoga kujaza server! Kwanini msiuache uendelee kuoza taratibu tu.
Usitegemee kumshinda mpumbafu kwenye mijadala, Mpumbafu huwa anaachwa kama alivo. Whatever you say, hata ukisema anavuta pumzi ili aishi atakwambia anavuta chokaa ili aishi. How can you argue with such a man?
Pro-Russia nawaomba ase, Tumieni mda wenuz vizuri wadau. Do not correct a fool or he will hate you, Correct a wise man and He will appreciate you! Text nzuri kuzisoma ni zile mnazojadiliana nyie kwa nyie. Hawa watoto achaneni nao plz.
The fool do think He is wise, the Fool is known by his Speech and Wise man by his Silence. Hili jukwaa huru waachen wapost watakalo as long as yanawapliz nyoyo zao.
Wadau kisiju pwani ngaboru Bwana Utam PD_Magumba KIDUNUNDU kilwakivinje Mtoto wa nzi Ngwega Msulibasi East rodrick alexander Mr Tyang Aiba Muuza viatu 1954 mbaghato chaka lee van cliff Muite Champagnee MR MAJANGA babu na mjukuu Mathanzua na wengineo wote.
Kuna watu kama mie tume-subscribe kwenye huu uzi kwasababu yenu. Tunafatilia kila mnachopost, ila mnatupea taabu sana mnavyoingia kwenye mijadala ya kitoto na hao watoto. Wapeni za moto baridi katika mfumo wa taarifa kama anavyofanya Sikirimimimasikini NYUNDO YA MOTO na Jesus Mlokozi kisha mbaki kujadiliana nyie kwa nyie.
Again maximum reply kwa Pro-NATO iwe kimoko tu cha ham π! Hawafai hata kwa kulumangia hawa. It's disgusting mwezi wa 3 siku nzima ni kujadili uhalali wa Russia ya Ukraine. Mara sijui Russia anashindwa, mara sijui silaha kadha zimetua π€ kweli?
No si SAWA!
Punguzeni maongezi yasiyo na Tija kwa hawa #Makima in Galip Vrl Voice!