Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo sio kwamba wanaionea huruma ukraine ili waisaidie rahasha. ni kwamba vikwazo vya chakula alivyoweka urusi vimeanza kuwachanganya sana ndo maana wanajaribu kupiga mikwara ya hapa na pale ila bahati mbaya wamekutana na mwamba putini ndo kwanza nae kanzisha drills pale bahari ya Baltiki.. ko hiyo bahari sasahivi imechafuka na drills za Nato upande mmoja na za Urusi upande mwingine.

Lkn kufa kufana kwa mbinyo huu wa Urusi ndani ya miaka miwili hii tutarajie uwekezaji mkubwa wa kilimo Afrika maana Ulaya hawana ardhi ya kilimo.. walikuwa wanaitegemea zaidi ukraine na Urusi..
 


⚔️⚔️⚔️During the successful operation to free Svyatogorsk, fighters of the "🅾️" group captured the checkpoints of the 51st mechanized and 81st aircraft brigade. The Ukrainian Armed Forces moved so quickly that they launched a large number of weapons, documents, media and surveillance⚔️⚔️⚔️
 
Elezea hilo jibu lako ulilolipata leo, Hayo maneno uliyo copy na ku paste hapa yaelezee kwa kiswahili.

Sema pia ni mfumo gani wa ulinzi wa anga ambao Marekani imeipa Ukraine.
 
Na mwenye masikio na asikie.
 
Umeamkia kwenye kilabu cha pombe za dengerua au gongo?!
Kuna mahali popote kwenye hiyo makala ya propaganda za madikteta Zelenskyy ametajwa achilia mbali kulalamikia vikwazo?!
hivi vikwazo viliwekwa kumsaidia Ukraine ,na Zelesky alisema vikwazo havitoshi ,sasa hivi anawalaumu tena Marekani na NATO kwa vikwazo ,huyu jamaa ana papara sana sometimes.
 
NATO Ni wataalam wa kufanya mazoezi, walianza hayo mazoezi kabla Russia haijaivamia Ukraine na mpk Sasa kichapo kinaendelea bado wanafanya mazoezi na Hata Russia ikiingia tena kuichapa Nchi nyingine bado atakuta wanafanya mazoezi tu.
hahahaaa unaandika utumbo ila unachekesha
 
Pole Baba! Kama ungelikubaliana na matakwa ya Urusi ya kuitambua Ukraine Kama sehemu yake na kuendelea na mjadala wa Minsik,
Usingelifikia hapa. Umeahindwa kujua kuwa Urusi ni Taifa kubwa lenye nguvu kubwa za kijeshi na likipambana na Nato plus USA, Hakuna mshindi.
Pole!
 
Angelikuwa neutral hata Climea angelikuwa nayo
 
Unashobokea vita, wenzako wanajiweza kila kitu.
Wakipigana hao utaumia wewe maana vita haina macho
Uchumi utayumba
 
... mshaurini Putin awahi hayo mazoezi kwa makombora; awapelekee makombora ya kutosha awamalizie mbali ikiwezekana atumie hata nyuklia. Ni uamuzi bora zaidi kwake.
 
Chini ya asilimia moja ya Warusi ndio blacks na nina uhakika kwa asilimia mia moja wewe na wenzako hapa mlioko Buza na sehemu nyingine bongo sio sehemu ya hiyo asilimia moja ya Warusi weusi.
 


These clowns 👇

Canada, Finland, Iceland, the Kingdom of Denmark, Norway, Sweden and the United States, today (June 8) issued the following statement:

"In response to Russia’s full-scale invasion of Ukraine...(something, something, Russia bad)...the other founding states of the Arctic Council on March 3 announced a pause in their participation in the Arctic Council. Since March 3, representatives from these states have examined modalities to allow a resumption of the work of the Arctic Council.
We intend to implement a limited resumption of our work in the Arctic Council on projects that do not involve the participation of the Russian Federation. These projects, contained in the work plan approved by all 8 Arctic states at the Reykjavik ministerial, are a vital component of our responsibility to the peoples of the Arctic, including Indigenous peoples.
We continue to examine additional modalities to allow us to further continue the council’s important work.”

THERE IS NO ARCTIC COUNCIL WITHOUT RUSSIA!!!
 
Political miscalculation, unaenda kupigana kwa kutegemea msaada wa mtu mwingine. He is a clownman and thought war is a comedy
Kabla kupigana bora jipime na uwaze mbele yako kuna nini.Ni ujinga ulio wazi kupigana kwa kutegemea kusaidiwa au kupewa ahadi za kusaidiwa. Mwenyewe ameona kwamba hao washirika wake si wakweli.Hawajampatia misaada yote anayotaka zaidi ya maneno na bado anaendelea kuamrisha makamanda wapigane eti makombora yatawasili karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…