Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unamaanisha kuwa kumbe NATO tokea vita ianze ilikua imeshazidiwa maana wageni na wanafunzi waliopogana upande wao ni wengi sana
 
👏👏👏🤝🤝🤝
 
kitu ambacho sijui ni makusudi ama ni lengo maalum,katika hizi statistics kwa upande wa Russia wanaweka hadi idadi ya wanajeshi waliouawa ila kwa upande wa Ukrain hicho kipengele wanakiacha!
Vita ni propaganda na propaganda ni takwimu hata kama ni za uongo
Kea propaganda adui na marafiki zake wanaweza kuogopa na kuweka fursa ya kuzidiwa zaidi.
 
Kwa wale ambao bado wanalaani Urusi niwaambie policies za NATO ni za kishenzi. Inaziona nchi zote zisizo ndani ya Nato useless. Insecurity ya Russian iko kwenye hizo sera za hao washenzi. Leo wakiisha ivinja Russia nguvu kesho watataka kuja kitawala asia, africa na kwingineko. Hizi sera zao zisipobadilishwa kuna siku dunia itaingia kwenye vita vya tatu vya dunia. Nchi pekee i ayoungs mkono hizi sera za nato nje ya wanachama wa nato ni USA. Nchi zilizobski wako againts na hii ndio itakayoleta vita vya dunia baadaye. Kujohsmi kwa Russia juu ya hili ni liashiria cha kitakachotokea kule mbeleni. Waliivunja USSR wakaanza kuzishawishi mataifa yaliyokuwa chini ya USSR kujiunga na nato. Ukraine remained the strategic location to crush Russia na wao Russia wanaona Ukrain ni startegic location ya kuwaweka Nato mbali na Urusi.
 
Propaganda za kumchafua comrade Putini zinaendelea. Mpaka kileleweke tulieni mchapwe vizuri.
Vita ya Urusi na Ukraine si kama SIMBA na YANGA za Tanzania; ni vema tukameza maneno
 
Itifaki itabidi izingatiwe MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ndiye anamiliki 53% ya Arctic region. Hao wengine wanamiliki % ndogo - ndogo Sana.

Ile Northern Sea Route inapita kwenye Arctic area ya Russia.

Russia ameshaanza muda Sana ku develop Arctic sea Route yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…