[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nacheka kama mazuriNATO Ni wataalam wa kufanya mazoezi, walianza hayo mazoezi kabla Russia haijaivamia Ukraine na mpk Sasa kichapo kinaendelea bado wanafanya mazoezi na Hata Russia ikiingia tena kuichapa Nchi nyingine bado atakuta wanafanya mazoezi tu.
Dogo wanamchukulia poa sana. Nadhani nchi haina wazee kwa kweli wa kumshauri.Ukraine wanachezewa sana akiliView attachment 2255581
Nini kilitokea batch ya kwanza ya howtizers zilozotumwa mpaka wanatuma nyingineView attachment 2255579
Kweli hayo mashoga ni kuyapa block tuMimi nilim egnore siku nyingi Sana.
Naona anarusha lawama si kawaidaWazungu wabinafsi hapo anaangalia mustakabali wake . Poland anaonesha uhasama sasa anahofia vita ndio inaisha itakuwaje
Yalitwangwa kabla hayajafikaNini kilitokea batch ya kwanza ya howtizers zilozotumwa mpaka wanatuma nyingineView attachment 2255579
Putin waache hawa vijana....utakufa vibaya wewee..A Moroccan Fighter, Saadun Brahim fighting for Ukraine has been sentenced to death by a separatist court in the Russian-occupied Luhansk Region of Ukraine.
He was sentenced to death alongside 2 British fighters.
He is a student.
Russia ime-washikia akili hawa inawezekana,maana hata maamuzi yao mengine ni ya kipuuzi sana.Unajua,with the right technology which I believe is already there,you can influence the decision making process of an individual so that he/she can decide on your favour.Si unajua the functioning of the brain is synonymous to that of a Computer.Ukraine wanachezewa sana akiliView attachment 2255581
🤣🤣🤣🤣Ana kichwa kigumu sijui kama ataelewa
Mahakama ya haki?!!!Boris Johnson anasema amesikitishwa mno na adhabu hiyo iliyotolewa na mahakama ya haki ktk Jamuhuri ya Watu wa Luhansk.
Hao inatakiwa wavishwe magunia kichwani firing squad wawamiminie njugu za kutosha.A Moroccan Fighter, Saadun Brahim fighting for Ukraine has been sentenced to death by a separatist court in the Russian-occupied Luhansk Region of Ukraine.
He was sentenced to death alongside 2 British fighters.
He is a student.
Mkuu ulipenda iwe mahakama ya nini?Mahakama ya haki?!!!
Asilalamike, na hao waliacha kazi zao huko wakaenda kwa kazi ya kua acha wapate walichoendea kukifanya watulie tu.Boris Johnson na serikali yake ya Uingereza wanalalamikia adhabu ya kifo waliyohukumiwa raia wa Uingereza waliokamatwa na majeshi ya Russia huko Ukraine wakipigana vita. Boris Johnson anasema amesikitishwa mno na adhabu hiyo iliyotolewa na mahakama ya haki ktk Jamuhuri ya Watu wa Luhansk.
Mwambieni Boris Johnson aache kulialia, atulie kama maji ya mtungini, si alishindwa kuwaonya raia wake kwenda vitani Ukraine?! Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu.
View attachment 2255673
Makabachori wanafaidi na ni mafaita haswaa mwanzo wao wakutoboa.RUSSIA-INDIA [emoji91] View attachment 2255556
Kwani hawana TBS yao maana mzigo wataulipia..... otherwise wanajua wanachokifanyaDogo wanamchukulia poa sana. Nadhani nchi haina wazee kwa kweli wa kumshauri.