Akija humu JF atapata marafiki wengi sana🐒Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.
Hali inazidi kuwa tete.
Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.
Maendeleo hayana vyama!
Sisi kama Taifa hatuna rafiki wala adui wa kudumu. Labda akitaka kujua raia mmoja mmoja ndo nawaona humu na uchungu mwingi.Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.
Hali inazidi kuwa tete.
Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.
Maendeleo hayana vyama!
🤣 🤣 🤣. Huo utambuzi hautuhusuWaziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.
Hali inazidi kuwa tete.
Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.
Maendeleo hayana vyama!
Hawa waseng wameingia mkutanoni wamevaa kofia ni kina nani!!!?
Kwanini? Putin asipige lile nyuklia bom la kulipua dunia nzima lile.. mchezo uishe tu