LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.

Hali inazidi kuwa tete.

Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.

Maendeleo hayana vyama!
Akija humu JF atapata marafiki wengi sana🐒
 
Haya wale waUkraine wa Tandahimba msiishie kujifanya mna uchungu sana na waUkraine wenzenu huko Ukraine. Acheni kutuchosha kwa kulia lia hapa JF.

Nendeni Ukraine mkapewe bunduki mpambane na vifaru, madege ya kivita na mabomu ya kuyeyusha mwili wa mtu.

Rais wenu muigizaji, Ze Comedian Zelensky, amewaondolea Viza ya kuingia, unaingia Ukraine bila hata kuulizwa.

Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.

Hali inazidi kuwa tete.

Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.

Maendeleo hayana vyama!
Sisi kama Taifa hatuna rafiki wala adui wa kudumu. Labda akitaka kujua raia mmoja mmoja ndo nawaona humu na uchungu mwingi.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.

Hali inazidi kuwa tete.

Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.

Maendeleo hayana vyama!
🤣 🤣 🤣. Huo utambuzi hautuhusu
 
IMG_4926.jpg
 
1646133208941.png

mtambo wa nyuklia wa Urusi ulio chini ya maji wenye silaha za nyuklia lenye uweze wa kujiendesha kufanya mashambulio unaofahamika kama Poseidon nuclear -armed underwater vehicle

mtambo wa nyuklia wa Urusi ulio chini ya maji wenye silaha za nyuklia lenye uweze wa kujiendesha kufanya mashambulio unaofahamika kama Poseidon nuclear -armed underwater vehicle

1646133577266.png
 
Jeshi la Ukraine limedai kwamba wanajeshi wanchi jirani la Belarus, wamevuka mipaka wakiwa na vifaru na silaha nyingine nzito na kuingia nchini Ukraine kwa lengo la kwenda kuisaidia Urusi.

Taarifa hizo zinakuja saa chache baada ya Serikali ya Marekani kueleza kwamba inazo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kwamba Belarus inajiandaa kuvuka mpaka na kuingia nchini Ukraine kuisaidia Urusi.

Tangu kuanza kwa mzozo baina ya Ukraine na Belarus, rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko ambaye ni swahiba mkubwa wa Rais Vladimir Putin wa Urusi, alitangaza kwamba nchi yake ipo tayari kuisaidia Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.

*********

Je ndio kusema mrusi kazidiwa ikabidi aombe msaada?
 
Now we are f*cking the city. Fire everywhere, every corner no mercy and we have no longer time to play hide and see game with a Ukraine. Former Russia spokesman equated today
 
⚡️ Russia blocks foreign investments from leaving the country - PM Mishustin
 
Binance Targets Sanctioned Russians

The crypto exchange is blocking accounts used by Russian clients who have been targeted by sanctions over the Kremlin’s operation in Ukraine. (Reuters)
 
⚡️Moscow will take retaliatory measures against Swiss sanctions – Russian Embassy
 
Mimi ni team Puting ila sasa naona anko anapeleka moto umezidi mipaka, ntamkataa nihamie kwa kiduku.
 
🇬🇧🇺🇦Britain cannot enforce a no-fly zone over Ukraine.

Prime Minister Johnson said that this would lead to a direct clash with Russia.

@SputnikLive
 
Putin spoke with the Crown Prince of Abu Dhabi, the Kremlin reported.

▪️The President spoke in detail about the reasons, goals and objectives of the Russian operation to protect Donbass.

The Prince stated Russia's right to ensure national security.

Both sides will continue interaction and contacts in matters of strategic partnership.

@SputnikLive
 
Ukweli mpaka sasa hao NATO wakiongozwa na US wamesanda chezea Russia?. Wanaweka vikao ili tuone wapo siriaz na hili tukio kumbe propaganda tu. Mwanaume lazma aogopwe tu[emoji28]
 
🇵🇱🇺🇦Poland is not sending planes to Ukraine because NATO is not a party to the conflict, said President Duda.

Earlier, Ukraine announced that Bulgaria, Slovakia and Poland would transfer 70 MiG-29 and Su-25 aircraft to Ukraine. In Sofia, this information was denied.

@SputnikLive
 
Back
Top Bottom