Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Akija humu JF atapata marafiki wengi sana🐒Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.
Hali inazidi kuwa tete.
Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.
Maendeleo hayana vyama!