Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Waacha we, what a Genius... Mwamba kuna nafasi ziko wazi pale Kremlin nenda kawasaidie kuwazua walipofail [emoji45] Maana una IQ kubwa sana mwamba mithili ya mdudu Panzi.Putin angelijua hii vita ingewagarimu muda mrefu hivi asiingeivamia Ukraine. Nawasikitikia matajiri wa Russia wamepata hasara kubwa sana kwa Nchi za Magharibi kufunga account zao na Mali zao kutaifishwa . Naona kama wataishi maisha ya mnyama Dickdick wa Serengeti National park. Ubwa kabisa Putin.
Hawa wanavuna walichopanda, mwanzoni mwa mwaka 2020, there was $4.02 trillion in circulation. Mnamo January, 2021, wakaongeza hadi $6.7 trillion dollars. By October mwaka jana, that number climbed to $20.08 trillion dollars in circulation.View attachment 2256841
View attachment 2256842
Kuna watu humu ndani tukiwambia Biden ndo worst president wanakupigia kelele
Jina lenyewe la dollar 💵 tusha lichoka duniani acha tuipandishe RUBLE iwe hela ya dunia 👊 toa gwala kibabe zaidi 😂😂😂😂
We
Wewe Mungiki! Tangu nazaliwa na kukuwa mpaka sasa nini 40+ sijawahi kusikia mzungu analia njaa. Lakini what Putin has did kwa hawa mabeberu yameanza kulia njaa kama majirani zenu Somalia. Mpaka sasa Ukreine, US na NATO ni looser. Kubali kataa.
Kwanini akosee wakati anawatwanga hapo yukraini
Slave yukraini slave yukraini
Ila inakuingia akilini kuona USA+NATO ulizo aminishwa kijeshi hazishikiki zikiogopa kuingilia moja kwa moja operation ya Russia, na zikiogopa kuipatia Ukraine silaha nzito kwa kuhofia Vita na Russia.Ni kama leo Tanzania ishindwe kuteka Kigali iambulie kupambana na tuwilaya twa hapo mpakani ndani ya Rwanda, siku zipite 100 huku JWTZ wanakufa kama mchwa. Hainiingii akilini mpaka leo Urusi ile ile ndio hii, yaani aibu sana.
Kuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.Ni kama leo Tanzania ishindwe kuteka Kigali iambulie kupambana na tuwilaya twa hapo mpakani ndani ya Rwanda, siku zipite 100 huku JWTZ wanakufa kama mchwa. Hainiingii akilini mpaka leo Urusi ile ile ndio hii, yaani aibu sana.
Ila inakuingia akilini kuona USA+NATO ulizo aminishwa kijeshi hazishikiki zikiogopa kuingilia moja kwa moja operation ya Russia, na zikiogopa kuipatia Ukraine silaha nzito kwa kuhofia Vita na Russia.
Mfano; USA wiki mbili zilizopita alisema ataipatia Ukraine makombora ya masafa marefu, wiki jana akatoa condition ya hatutatoa makombora hayo bila hakikisho la Ukraine kutoshambulia ndani ya mipaka ya urusi(baada ya Ukraine kutoa hakikisho). Wiki hii wakaja na propaganda nyingine tena ya itabidi tutoe kwanza mafunzo kwa jeshi la Ukraine namna ya kutumia hayo makombora kabla hatujaipatia. What next propaganda? Just wait and see.
Na kama hiyo haijakuingia akilini basi ilikuingia akilini kuona USA anakimbizwa na waasi wa somalia na watalibani si ndiyo. Pia ilikuingia akilini kuona USA&NATO wanafurushwa na nguvu ya Urusi huko Syria na Venezuela katika harakati zao za kuwang'oa marais wa nchi hizo si ndiyo.
Kuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.
Nianze na maswali kwanza kabla sijaenda mbali;
☆unaijua hata kidogo nchi ya Ukraine?
Unajua umhimu wa Odesa, Donetsik, luhansik, mariupo, kharison, snake Island na black sea kwa ujumla kwenye uchumi wa Ukraine?
☆unajua uti wa mgongo wa uchumi wa Ukraine upo miji ipi?
☆Unajua ukubwa wa eneo la miji ya Ukraine lililochini ya majeshi ya urusi ni Km² ngapi?
Haya ngoja niassume huijui Ukraine zaidi ya kuisikia tu kwenye social media. Basi bila kupoteza maana naomba nikurudishe hapa Tanzania unapo pafahamu vizuri kwa kuuliza swali ambalo ukilijibu ipasavyo litaondoa ujinga huo ulioko kichwani mwako. (NOTE; Majina kwenye mabano ni miji ya Ukraine inayofanania na hii yakwetu potentially)
☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?
MK254 nishakwambia akili yako ni unfit kwenye huu uzi, siyo kila kitu nikwajili ya kila mtu. Unajiaibisha mkuu, hicho kichwa chako sikwajili ya kuhifadhia meno na ulimi. Just use it to think as a human being and not as a living animal.
Mjinga mwingine ..... Wa ignore list.Mwambieni Urusi akosee njia makombora yake yatue kwenye kataifa kamoja ka NATO ndio aelewe nini maana ya kupigana na NATO, humo wanamtamani sana....
Wewe ni ***** kweli yani, sasa kwa Tanzania mtu akiiteka Dar, Arusha,Mwanza kuna kipi cha maana ambacho mtafanya? Viwanda vyote vikubwa viko katika hio miji. Huoni kuwa uchumi wote uko humo.Hawawezi kuingia moja kwa moja maana hawana mkataba na Urusi, hadi siku huyo Urusi atakosea njia na kushambulia kataifa kamoja ka NATO, na hilo analijua na kuliogopa sana na ndio maana alijaribu kuwahi aiteke Ukraine kabla haijajiunga NATO, ila vimemtokea puani, kashindwa kuiteka Kyev ameambulia tumji twa huko mipakani licha ya kupoteza sana wakiwemo majenerali wanakufa kishenzi zaidi ya balaa.
Wewe ulizaliwa enzi za Russia ipi?Ni kama leo Tanzania ishindwe kuteka Kigali iambulie kupambana na tuwilaya twa hapo mpakani ndani ya Rwanda, siku zipite 100 huku JWTZ wanakufa kama mchwa. Hainiingii akilini mpaka leo Urusi ile ile ndio hii, yaani aibu sana.
Jina lenyewe la dollar [emoji385] tusha lichoka duniani acha tuipandishe RUBLE iwe hela ya dunia [emoji109] toa gwala kibabe zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni ***** kweli yani, sasa kwa Tanzania mtu akiiteka Dar, Arusha,Mwanza kuna kipi cha maana ambacho mtafanya? Viwanda vyote vikubwa viko katika hio miji. Huoni kuwa uchumi wote uko humo.
Fact and well saidIla inakuingia akilini kuona USA+NATO ulizo aminishwa kijeshi hazishikiki zikiogopa kuingilia moja kwa moja operation ya Russia, na zikiogopa kuipatia Ukraine silaha nzito kwa kuhofia Vita na Russia.
Mfano; USA wiki mbili zilizopita alisema ataipatia Ukraine makombora ya masafa marefu, wiki jana akatoa condition ya hatutatoa makombora hayo bila hakikisho la Ukraine kutoshambulia ndani ya mipaka ya urusi(baada ya Ukraine kutoa hakikisho). Wiki hii wakaja na propaganda nyingine tena ya itabidi tutoe kwanza mafunzo kwa jeshi la Ukraine namna ya kutumia hayo makombora kabla hatujaipatia. What next propaganda? Just wait and see.
Na kama hiyo haijakuingia akilini basi ilikuingia akilini kuona USA anakimbizwa na waasi wa somalia na watalibani si ndiyo. Pia ilikuingia akilini kuona USA&NATO wanafurushwa na nguvu ya Urusi huko Syria na Venezuela katika harakati zao za kuwang'oa marais wa nchi hizo si ndiyo.
Operation hii iende taratibu ili yaliyofichika yapate kuonekana hadharani werevu wapate kujifunza mengiWahenga hii tunaisoma hivi; "Mahakama ya ugiriki imetoa amri ya kuiachia mara moja meli ya irani iliyokamwatwa na ugiriki chini ya maelekezo ya USA"
"Na serikali ya ugiriki itabidi iombe radhi meli zake mbili zilizoshikiliwa na Irani ziachiwe" Mahama Ugiriki.
Funzo; Maamuzi hayo yamefichua Uonevu na uovu wa USA kwa nchi zingine kupitia mgongo wa nchi washirika wake.
Naomba niunganishe na dot, kwa alichokisema mzee wa akili nyingi Mh.Rais V. Putin juzi kama siyo jana (nitatumia lugha yetu)
"Kuna aina mbili za taifa, taifa lililo huru na taifa linalo tawaliwa.Taifa huru hufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na taifa lingine, ukiona taifa haliwezi kufanya maamuzi yake lenyewe basi jua hilo taifa ni koloni(taifa linalotawaliwa na taifa/mataifa mengine)" V. Putin.
Funzo kutoka kwa Putin; katika hii dunia kuna mataifa huru machache sana, mataifa mengi yanafanya uamuzi kwa kufuata shinikizo au matakwa ya mataifa yenye nguvu. mfano ni hayo maamuzi ya UGIRIKI juu ya kukamata meli ya Irani chini ya maelekezo ya USA. Kwa mjibu wa Putin(na ndo uhalisia) mataifa mithili ya Ugiriki siyo mataifa huru bali ni Makoloni.
OMBI: naomba Russia iendeleze operation yake na iendelee kushinda kila aina ya jaribio linalofanywa na hao mabeberu wanao tamani waendeleze uviranja wa dunia, hii itasaidia pia nchi nyingi kuamuka na kuondokana na hii dhana ya ukoloni mamboleo. tuna hitaji dunia iliyo na balance of power, tunahitaji mataifa yajiendeshe na kufanya maamuzi yake yenyewe bila kuingiliwa na taifa au mataifa mengine. Hiyo ndo dunia itakayokuwa salama leo, kesho na hata milele.
Mungu ibariki Urusi na operation yake dhidi ya hayo manyambisi ya dunia.
Mkuu tuwe tu wavumilive kwa type ya watu wa hivi. Shida yao Pro NATO wanateseka Sana kuona Russia ana wachakaza vilivyo.Kuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.
Nianze na maswali kwanza kabla sijaenda mbali;
☆unaijua hata kidogo nchi ya Ukraine?
Unajua umhimu wa Odesa, Donetsik, luhansik, mariupo, kharison, snake Island na black sea kwa ujumla kwenye uchumi wa Ukraine?
☆unajua uti wa mgongo wa uchumi wa Ukraine upo miji ipi?
☆Unajua ukubwa wa eneo la miji ya Ukraine lililochini ya majeshi ya urusi ni Km² ngapi?
Haya ngoja niassume huijui Ukraine zaidi ya kuisikia tu kwenye social media. Basi bila kupoteza maana naomba nikurudishe hapa Tanzania unapo pafahamu vizuri kwa kuuliza swali ambalo ukilijibu ipasavyo litaondoa ujinga huo ulioko kichwani mwako. (NOTE; Majina kwenye mabano ni miji ya Ukraine inayofanania na hii yakwetu potentially)
☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?
MK254 nishakwambia akili yako ni unfit kwenye huu uzi, siyo kila kitu nikwajili ya kila mtu. Unajiaibisha mkuu, hicho kichwa chako sikwajili ya kuhifadhia meno na ulimi. Just use it to think as a human being and not as a living animal.
Hawa wanavuna walichopanda, mwanzoni mwa mwaka 2020, there was $4.02 trillion in circulation. Mnamo January, 2021, wakaongeza hadi $6.7 trillion dollars. By October mwaka jana, that number climbed to $20.08 trillion dollars in circulation.
Data zinaonesha 80% ya dollars zilizopo kwenye mzunguko zimekuwa printed ndani ya miezi 24. Angalia jump ya kutoka $4 trillion to $20 trillion. Hilo janga la inflation wanalikwepa vipi? Wapambane tu na hali zao ha ha!
Meme
View attachment 2256896