LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
russia anataka kuwa imara kwenye umoja wao lakini ni kwa bahati mbaya sana kwa sababu Ukraine ambaye ni jirani yake yeye ana mawazo tofauti, Ukrain sasa anaamini West ndio suluhisho na mkombozi wao kiuchumi na kila kitu na kiuhalisia nchi iliyo huru inabidi iachwe tu maana ndio matakwa ya nchi yake,

Sasa kwenye hii vita russia analazimisha Ukrain awe upande wake jambo ambalo logical anakosea sana Ukrain ni nchi huru hata raia wa Ukrain wanasaport nchi yao sasaiv wote wamevaa gwanda wala hakuna anayemlaumu Zelensky wote jumla jumla wanapigania nchi yao mi nadhan Putini aadhibiwe kwenye hili.
 
URUSI ni HATARI nyie, ameuwasha moto, NATO wenyewe wamerudi nyuma. UKRAINE muda huu wanakuwa kama waasi wa M23 wanavizia tu. As i told you before, URUSI hana utani. Wakae chini, kwa mazungumzo na sio kwa vita. Urusi sio Libya, mauaji yatakayotokea hawatoamini.
 
Russia has secured air space in most of parts of Ukraine ndo maana convoy inazidi kusonga, watu walikuwa wanahoji kwanini Ukraine isilipue Russia convoy ambayo inatembea very slow and predictable movement
Hana ubavu huo. Akijaribu tu ataona mziki wake.
 
Linaitwa GLORY TO GOD hilo
 
Ukweli mpaka sasa hao NATO wakiongozwa na US wamesanda chezea Russia?. Wanaweka vikao ili tuone wapo siriaz na hili tukio kumbe propaganda tu. Mwanaume lazma aogopwe tu[emoji28]
Porojo hizi sasa
 
Hawa EU muda wote vikao, michambo tupu, URUSI wamesema wazi kama wako tayari waingie uwanjani walichezi segere.
 
Hii kahawa tupatie na kashata za kushushia Mkuu
 
Sasa mambo kama hivi kwenye safari za anga. Ukraine is Isolated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…