5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
russia anataka kuwa imara kwenye umoja wao lakini ni kwa bahati mbaya sana kwa sababu Ukraine ambaye ni jirani yake yeye ana mawazo tofauti, Ukrain sasa anaamini West ndio suluhisho na mkombozi wao kiuchumi na kila kitu na kiuhalisia nchi iliyo huru inabidi iachwe tu maana ndio matakwa ya nchi yake,Wajuvi mnisaidie
Kila vita inalengo. Na vita vya kushambulia kabisa kama hii lengo nilitegemea Lowe wazi kabisa.
Afghan alikuwa anasakwa gaidi Osama.
Iraq utawala Wa Sadam ulizingiziwa kuwa na silaha za kemikali.
Nimejaribu kufuatilia lengo jepesi na lililompa Uharaka Putin kuishambulia Ukraine sijaelewa Msaada wakuu.
Je Ni kuiangusha serikali? Imekosa nini?
Je Ni kuzuia mipango ya NATO Ukraine? Hawakuwa na njia mbadala?
He nikuongeza ardhi? Wanayokubwa sana?
Katika vita vya kisasa ambavyo huwezi kujua adui anauwezo gani tena kwenye support ya dunia kama Ukraine, Nini lengo kificho LA urusi kutuletea shida hii?
Sasa kwenye hii vita russia analazimisha Ukrain awe upande wake jambo ambalo logical anakosea sana Ukrain ni nchi huru hata raia wa Ukrain wanasaport nchi yao sasaiv wote wamevaa gwanda wala hakuna anayemlaumu Zelensky wote jumla jumla wanapigania nchi yao mi nadhan Putini aadhibiwe kwenye hili.