ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
URUSI ni HATARI nyie, ameuwasha moto, NATO wenyewe wamerudi nyuma. UKRAINE muda huu wanakuwa kama waasi wa M23 wanavizia tu. As i told you before, URUSI hana utani. Wakae chini, kwa mazungumzo na sio kwa vita. Urusi sio Libya, mauaji yatakayotokea hawatoamini.
soon someone going to say President Zelenskyy is bomed to day
Wako ndani ya ardhi ya UkraineHiyo rout match tu wala wasiogope
Wakati hata bastora hawajui inavyoshikwa. Iwe ndio vitaWatanzania bwana kwa kujifanya wajuaji hatujambo!
Kila Mbongo ni Mchambuzi siku hizi. Kuanzia Siasa, Mpira, Kubet, Mapenzi, saikolojia, familia, kila kitu tuu wataalamu!
mbabe popote anapiga jeramba iwe Ukraine au USA cc tuna match tuWako ndani ya ardhi ya Ukraine
kila nchi si Ina mwono wake watu hawafuati mkumbo kama ninyiHuko ulaya EU wanaishi kinafiki nafiki tu. Hawa hapa waliofunga viwanja vyao. Huku wengine hawajafunga. Russia ina nguvu sana.
View attachment 2135177
Mi nataka walicheze bwana ili wale waliopoteza nafsi zao wakisema maneno kama"...........will get a test of its own poison." tena kwa uchungu yatimie.Hawa EU muda wote vikao, michambo tupu, URUSI wamesema wazi kama wako tayari waingie uwanjani walichezi segere.
haitowezekana kuuwa watu wote chief kunawachache pamoja namimi lazma tutasalimika ili nabii Issa au Yesu akirudi atukute duniani kabla mwisho wadunia wenyewe kufika....dunia haiwez kuisha kihunihuni hivi ila nampa sana bigup putin kwakuichangamsha dunia ilikuwa imepoa vibaya mno licha ya kim jong un kujitahidi sana kuichangamshaKwanini? Putin asipige lile nyuklia bom la kulipua dunia nzima lile.. mchezo uishe tu
Ndio walichokuwa wanatafuta njaa mbaya sana kwa utaraibu wa kawaida miaka yote hiyo mbona walikuwa wanawaambia bado hamja qualify sasa wameona fursa. Putin hebu tumalizie hawa wanafiki maana naona siku hizi hata Corona wamesahahu.⚡️ “European Union would be much stronger with us [Ukraine]” – Zelensky
The Ukrainian president has made a virtual address to the European Parliament in Brussels Tuesday:
“We are fighting for survival, but we are also fighting to be equal members of Europe.”
Point iko wapi?Chechen death/kill squads aka Hunters”[emoji91]jamaa wanapost videos wako na mzuka kichiz utasema walikua wanasubir kwaham vita itokee hahaha
Rais wa Ukraine ana wengeNow nimeanza kuwaonea huruma UKRAINE. Dah wanayopitia ni magumu sana. Ila ningekuwa na uwezo ningemshauri Rais wa UKRAINE akubaliane na Russia kwa sasa hivi. Huku wakijpanga kwa teknolojia huko mbeleni. Ukraine sasa hivi imerudi nyuma sana. Mungu awasaidie. Tuache utimu tuungane kuhakikisha mzozo huu unamalizika kwa njia ya mazungumzo na sio kwa hali hii.
Cardless ulishatuambia mji umebaki mmoja tu na wamezingirwa? Sasa Wamerudi nyuma kuelekea wapi?URUSI ni HATARI nyie, ameuwasha moto, NATO wenyewe wamerudi nyuma. UKRAINE muda huu wanakuwa kama waasi wa M23 wanavizia tu. As i told you before, URUSI hana utani. Wakae chini, kwa mazungumzo na sio kwa vita. Urusi sio Libya, mauaji yatakayotokea hawatoamini.
Wapi nilisema mji umebaki mmoja?? Mkuu soma vizuriCardless ulishatuambia mji umebaki mmoja tu na wamezingirwa? Sasa Wamerudi nyuma kuelekea wapi?