LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
URUSI ni HATARI nyie, ameuwasha moto, NATO wenyewe wamerudi nyuma. UKRAINE muda huu wanakuwa kama waasi wa M23 wanavizia tu. As i told you before, URUSI hana utani. Wakae chini, kwa mazungumzo na sio kwa vita. Urusi sio Libya, mauaji yatakayotokea hawatoamini.

Wenzao walilegeza wao wakajidai hadi kufungua account kuonesha dunia wajeda wakirusi waliowashambulia,, wacha watembezewe moto
 
Huko ulaya EU wanaishi kinafiki nafiki tu. Hawa hapa waliofunga viwanja vyao. Huku wengine hawajafunga. Russia ina nguvu sana.
Screenshot_20220301-145241.png
 
Watanzania bwana kwa kujifanya wajuaji hatujambo!

Kila Mbongo ni Mchambuzi siku hizi. Kuanzia Siasa, Mpira, Kubet, Mapenzi, saikolojia, familia, kila kitu tuu wataalamu!
Wakati hata bastora hawajui inavyoshikwa. Iwe ndio vita
 
Hawa EU muda wote vikao, michambo tupu, URUSI wamesema wazi kama wako tayari waingie uwanjani walichezi segere.
Mi nataka walicheze bwana ili wale waliopoteza nafsi zao wakisema maneno kama"...........will get a test of its own poison." tena kwa uchungu yatimie.
 
⚡️ “European Union would be much stronger with us [Ukraine]” – Zelensky

The Ukrainian president has made a virtual address to the European Parliament in Brussels Tuesday:

“We are fighting for survival, but we are also fighting to be equal members of Europe.”
 
Hao Ulaya wenyewe hawana kitu bila USA, Hawa Ukraine wanaleta unafiki huko bunge la ulaya eti wakichukuwa Ukraine hatujui Russia wataishia wapi kama wanataka kusema watakuja na huko kwenu wakati wanajuwa ukweli Russia hana hata mpango wa kukaa Ukraine wanajuwa sana shida iko wapi wanatafuta huruma mbwa hawa.
 
Now nimeanza kuwaonea huruma UKRAINE. Dah wanayopitia ni magumu sana. Ila ningekuwa na uwezo ningemshauri Rais wa UKRAINE akubaliane na Russia kwa sasa hivi. Huku wakijpanga kwa teknolojia huko mbeleni. Ukraine sasa hivi imerudi nyuma sana. Mungu awasaidie. Tuache utimu tuungane kuhakikisha mzozo huu unamalizika kwa njia ya mazungumzo na sio kwa hali hii.
 
Kwanini? Putin asipige lile nyuklia bom la kulipua dunia nzima lile.. mchezo uishe tu
haitowezekana kuuwa watu wote chief kunawachache pamoja namimi lazma tutasalimika ili nabii Issa au Yesu akirudi atukute duniani kabla mwisho wadunia wenyewe kufika....dunia haiwez kuisha kihunihuni hivi ila nampa sana bigup putin kwakuichangamsha dunia ilikuwa imepoa vibaya mno licha ya kim jong un kujitahidi sana kuichangamsha
 
⚡️ “European Union would be much stronger with us [Ukraine]” – Zelensky

The Ukrainian president has made a virtual address to the European Parliament in Brussels Tuesday:

“We are fighting for survival, but we are also fighting to be equal members of Europe.”
Ndio walichokuwa wanatafuta njaa mbaya sana kwa utaraibu wa kawaida miaka yote hiyo mbona walikuwa wanawaambia bado hamja qualify sasa wameona fursa. Putin hebu tumalizie hawa wanafiki maana naona siku hizi hata Corona wamesahahu.
 
Huko USA moto unawaka, petrol ikidondoshwa kidogo tu watu wanagawana mbao
Screenshot_20220301-150159.png
 
Now nimeanza kuwaonea huruma UKRAINE. Dah wanayopitia ni magumu sana. Ila ningekuwa na uwezo ningemshauri Rais wa UKRAINE akubaliane na Russia kwa sasa hivi. Huku wakijpanga kwa teknolojia huko mbeleni. Ukraine sasa hivi imerudi nyuma sana. Mungu awasaidie. Tuache utimu tuungane kuhakikisha mzozo huu unamalizika kwa njia ya mazungumzo na sio kwa hali hii.
Rais wa Ukraine ana wenge
 
URUSI ni HATARI nyie, ameuwasha moto, NATO wenyewe wamerudi nyuma. UKRAINE muda huu wanakuwa kama waasi wa M23 wanavizia tu. As i told you before, URUSI hana utani. Wakae chini, kwa mazungumzo na sio kwa vita. Urusi sio Libya, mauaji yatakayotokea hawatoamini.
Cardless ulishatuambia mji umebaki mmoja tu na wamezingirwa? Sasa Wamerudi nyuma kuelekea wapi?
 
Back
Top Bottom