Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikuwa nimepitwa kidogo na kinachojiri. Nimepitia pitia updates na kweli nimeshangazwa na economic strategies alizotumia putin mpaka kuwa sehemu ya sababu ya inflation ndani ya ardhi ya USA.

Hapa nakiri kaniacha, sijajua kilichotokea japo kuna uwezekano ni side effect ambazo USA walizitegemea.

Kilichoniogopesha na kunifanya nimpe credit Putin ni control measures za kuhandle i-rate ndani ya USA. Ref hii quote:
" With annual inflation at highs not seen in more than 40 years, Biden declined to predict how long it would take for prices to start coming down — then suggested they may actually rise even higher through 2023".
Hii kwa maoni yangu si salama sana maana inaweza kuamia pia kwenye politics ndani ya USA, na kama unavyowajua raia wake walivyo, watasumbua kama itaamia huko.
Pro-NATO tuambiane nn kilitokea hapa? Nipeni data huenda mm ndo kilaza.

Katika mambo mengine bado simuoni Puttin kama tishio sana, namuona kama bully mwenye nuclear na anaweza kuzibitiwa ila kwa akili.
 
Putin ni "REGULATOR"... Hilo tu linatosha.
 
Kwanza unafahamu utofauti wa Inflation, Purchasing Power Parity na Comsumer Price Index...!!? Ukinijibu haya. ...tutakaa mezani kujadili ...
Sawa, ila Twende kistaarabu ili zisitokee imotions na matusi hata pale mmoja anapokuwa ameonyesha uelewa pungufu:

Inflation ni kuongezeka kwa bei za bidhaa na huduma na kuna uhusiano na kushuka kwa thamani ya fedha husika.

PPP ni uwezo wa fedha kufanya manunuzi ya kiwango fulani kwa rate fulani ya kubadili fedha ikilinganishwa na manunuzi hayohayo katika nchi nyingine

CPI ni utofauti wa bei za bidhaa zinazomfikia mtumiaji wa mwisho.
 
Your browser is not able to display this video.

Taarifa zinasema "Azot Chemical plant" iliacha operations tangu Uvamizi uanze ... Haijulikani ... Wamehamisha au bado mzigo upo kiwandani .. tunapiga Outskirts.... Halafu tutawakusanya ..... Uraaaaaaa uraaaaaaa ....
 
Huyu Dada kwa upeo wak ningeshangaa kama angekuwa pronato ukienda jukwaa la historian ana madini mengi.
 
Daah, 😔Puttin amekuwa msumbufu sana. Uwezo wake wa maamuzi si wa kukejeli. Ukweli ni kuwa Inahitajika muda na akili zaidi kumwangusha huyu. Hard but possible.View attachment 2257654
Unajua Putin station yake ilikuwa wapi!!? Unajua alitorosha na kuthread sleepy agents wangapi akiwa ndio REZIDENTURA wa KGB WEST SOVIET !!? UNAELEWA KWANZA MAANA YA REZIDENTURA!!?? ... NYIEEE NYIEEEE ....NAWAONEA HURUMAAAA ....
 
Unajua Putin station yake ilikuwa wapi!!? Unajua alitorosha na kuthread sleepy agents wangapi akiwa ndio REZIDENTURA wa KGB EAST SOVIET !!? UNAELEWA KWANZA MAANA YA REZIDENTURA!!?? ... NYIEEE NYIEEEE ....NAWAONEA HURUMAAAA ....
Hahaha. Kazi ipo......
 
Wanajeshi wengine wa Ukraine takribani 400 wamejikuta wamezingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha kemikali cha Azot kwenye jiji la Severodonetsk na hawana pa kutokea kama wale wa kiwanda cha Azovstal, Mariupol. Wanaanza kuombaomba Russia iwaonee huruma na kuwaruhusu watoke zao waondoke moja kwa moja kwenye jiji hilo liliochukuliwa na Russia.

Hawa wajeda wa Ukraine sijui wana akili za namna gani, hawajajifunza tu hiyo mbinu ya Russia ya kuwazingira maadui zao! Wenzao walizingirwa Azovstal, na mwisho wa siku wameishia kuwa mateka wa Russia, na wao wamerudia tena kusubiri kuzingirwa
 
Hizi mambo kazichambua Sana mtu youtube andika nabii ELIYA karefer kwenye bible
 
Kuna uwezekano mkubwa Sana Putin Ni mtu ambaye uwezo wake wa akili Ni mkubwa Sana kulingalisha na kizazi cha viongozi wa Sasa hapa duniani.

Ukitaka kumuelewa vizuri President Putin, kasikilize speech yake ya Munich Security Conference - German - 2007.

Haya unayoyaona yanatokea Sasa hivi, yeye mwenyewe Putin aliyatabiri 2007.

Putin anaishi katika dunia ambayo, hakuna kiongozi Mwenye uwezo wa akili Kama yeye.
 
Wee jamaa bwana
Heshma yako asee pro NATO cjui hawajifunzi humu!!?
 
OKEY ILA ila sipo tayari kumpa sifa za kiwango ulichompa, nitampa credit pale ninapoona kuwa inafaa, na pia naendelea kumdadisi matukio yake.
 
Mkuu Tsh ni kweli ulipotea kitambo...

Umeandika nondo nzito, ngoja nimwite Nyamizi akujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…