lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kweli kabisa,Joanna nilimweliwesha mara kadhaa akawa ananielewa ,akirudi Tena sio yule wa kwamzaJoa alikuwa anajikuta nae ni neutral kama Tandahimba Vijisenti, Ila mahaba yakamwelemea. Unaweza mwelewesha asbuh mchana karudi kule kule. Yupo kama Zelecocaine, kuna mda anajua anavyoteseka... Akishapitia vumbi lake anarudi na kelele zingine.
Yule mbizi afadhali ya Joa, yule ni mwanamkiwi kasoro jinsia.
Hapa tunajadili siasa za ndani za Urusi? Au NATO na Ukraine?Wewe na hao watu wako huwa mnapambana dhidi ya uonevu gani kwenye jukwaa la kisiasa??
Mazingira ya kisiasa Tanzania ni mazuri kuliko ya Russia mara millioni!
dini zingine zipi? Si ndo huuo ukristo kutoka magharibi ambao baadhi ya waafrika wengi wana achana nao na kujiunga na makanisa mengine Kama yakina mwamposa na wengineo baada ya kuona makanisa Kama Roman yamepotea ya kanisani kusali na wachawi, walevi, mashoga ni kitu Cha kawaida. Hafu urusi haui anapigana Vita dhidi jirani aliyegeuka kuwa adui Sasa wewe ulitaka afanyaje kajaribu kumuonya jirani jirani kakaidi hivi Kati ya Hawa wawili Nani kakaidi totally maagizo ya Mungu yaani unataka kumuingiza Chaka jirani kweli Ukraine imekuwa taifa la hovyo. Imeagizwa mpende jirani yako Kama nafsi yako.Sasa ukraine kalivunja agizo totally bila ya chembechembe ya wasiwasi. Sasa Kati yao nani mbaya zaidi.Ukristo hamna cha west wala Afrika, neno la Mungu ni lile lile na halibadiliki, wacha kukubali kushikiliwa akili, kuwa na mtizamo wako huru kuhusu huu ugomvi kama wanavyofanya wengine wote kasoro waislamu ambao wote wamemwagika kwa Putin, utadhani amekua mtume kwao.
Dini zingine kidogo wako balanced, kunao wanaunga mkono mauaji anayofanya Putin wakidai anaua mashoga, ila kunao wanapinga.
dini zingine zipi? Si ndo huuo ukristo kutoka magharibi ambao baadhi ya waafrika wengi wana achana nao na kujiunga na makanisa mengine Kama yakina mwamposa na wengineo baada ya kuona makanisa Kama Roman yamepotea ya kanisani kusali na wachawi, walevi, mashoga ni kitu Cha kawaida. Hafu urusi haui anapigana Vita dhidi jirani aliyegeuka kuwa adui Sasa wewe ulitaka afanyaje kajaribu kumuonya jirani jirani kakaidi hivi Kati ya Hawa wawili Nani kakaidi totally maagizo ya Mungu yaani unataka kumuingiza Chaka jirani kweli Ukraine imekuwa taifa la hovyo. Imeagizwa mpende jirani yako Kama nafsi yako.Sasa ukraine kalivunja agizo totally bila ya chembechembe ya wasiwasi. Sasa Kati yao nani mbaya zaidi.
urusi haui anapigania usalama kwanjia ya Vita Kama Israel anavyopigania ardhi yake dhidi wapalestina.Urusi nini kimemtuma akaue watu Ukraine, mumejificha kwenye mgongo wa ushoga, kwani Ukraine ndio inaongoza kwa ushoga dunia hii, halafu kama kweli wewe Mkristo kama unavyojidai, hivi mafundisho ya Kikristo yanafundisha kuwaua mashoga?
Pro nato huwezi elewa, akili mtu Wangu si kanasound?Kim Jong Un kampongeza Putin kwa majukumu muhimu anayoyafanya nchini Ukraine ya kuhakikisha usalama wa Russia hauhatarishwi. Pia Kim kamwambia Putin kuwa Korea ya Kaskazini inamsapoti kwa asilimia zoote
View attachment 2257881View attachment 2257882
Nadhani bado upo kwenye de jure . Ningependa uelekeze hoja zako katika de facto . Wanajeshi wa Kizanzibari hawaitwi wazanzibari ni wanajeshi wa Tanzania . Hawa jamaa wana jeshi lao hiyo ni sifa ya dola .Wana serekali yao , Wana mipaka yao na watu wao ndio maana unatajiwa idadi yao na wana tamaduni yao lugha dini nk.Hayo unayokazana nayo ni de jure aspect ila in practice and real sense ni independent.View attachment 2257734
Mr, Can you differentiate between hizo sehem 2 kwenye Uweusi na Red? Thought ulimwelewa Galip Vrl na wasi wasi kama unafaham vizuri maana ya Independent State.
Again
View attachment 2257746
That's the meaning of Independent State, so you mdau how can you say that Chechnya ni independent State while while ipo under Control of Federal Government?
If Chechnya is independent state hizo Republic zingine ni nini mdau?
I hope you have heard about CIS, A Commonwealth of Independence States,We have Russia, Beralus Kazakhstan and Co. Where is Chechnya? Simply ipo ndani ya Russia. Na Russia is what can be Called Independent State.
Bado tu, Hey buddy If Chechnya is Independent State, Can you tell why Kadyrov anamuita Putin Commander in Chief? Isn't he supposed to call him his fellow Leader kama alivyo wa Belarus since its independent state?
Anyway uelewa unapishana but as far as we know ni kua Chechnya ni one of the 82 federal subjects of Russian Federation. Na kwa mfumo wa kiutawala wa Russia. Kila federal subject ni self Governing. There you meet with Regional Governments kwenye katiba yao.
As I said Earlier, Hizo regional government ndio zinazounda Federal Council, Federal Council pamoja na State duma ndio wanaounda Federal Assembly, ambayo kwa pa1 ndio wanaotengeneza one of the branch of federal Government inayoitwa Legislative.
Badala ya kubisha kile kilichosemwa better ungekuja na evidence utuoneshe how Chechnya is an Independent State.
Coz Chechnya unayoutueleza ni ya kati ya 1996 hadi 2009 sio hii ya 2022.
Pro russia nikushusha nyanga tu dadekiii
Nilijua level yako itajitokeza tu. Twende ki siasa km mwanzoHizi ndio tabia ambazo huwa zinanikera, haya we mwenzetu umejulia wapi? Ulienda kumuuliza Kadyrov akuelezee republic yao ikoje?
Unafikiri kujiita Political Scientist inatosha kujihalalishia kila unalozungumza ni sawa? Una tofauti gani sasa na mrembo Yoda na wenzake.
urusi haui anapigania usalama kwanjia ya Vita Kama Israel anavyopigania ardhi yake dhidi wapalestina.
Kama unatumia maandiko kumpinga urusi kwanini hujatumia maandiko kuipinga Israel dhidi ya Palestina na je kwanini hukupinga uonevu ambao ulikuwa hauna mantiki ulio fanywa na marekani dhidi ya Arab states
Kuna tofauti kati ya state na country ambayo una overlook ili uwe kwenye federation sifa ya kwanza lazma uwe independent .A colony therefore can not make a federation[emoji23]
Eiwaaa, ndio maana nikasema kile kipengele cha pili ukiweza kifanye uzi kabisa... Most hapa hata Pro-Russia wako wengi tu hawaifaham Russia. Wanamjua Putin tu zaidi ile Russia ya kwenye vyombo vya Habari.
Mfano kama hapo, Katika 10 waliokuwa wanajua idadi ya Federal states hapo Russia ni wawili ama watatu ama hakuna kabisa. Na issue ya Flag vile vile.
Sasa kule Ukraine wakiwaona Chechnya na bendera tofauti na ile ya Federal wanajua ile ni nchi nyingine. Akati kila Federal Subject ina Flag yao. Hata hii Crimea ya iliyoingizwa Russia juzi kati ina ya kwake.
Tri Color, yenye wembamba wa blue na red huku White ikichukua sehem kubwa.
View attachment 2257803
Wewe siunamuona huyo mama kabisa ni msela yani hapo ni poa tu maniggaMarekani yasikitika kuripoti kuwa Rais wa Nicaragua ameidhinisha vikosi vya majeshi ya Urusi pamoja na melivita na madegevita ya Urusi kuingia America ya kati.
Mwaka huu Marekani ataita maji m'mah!
View attachment 2257811
Uyu amkalia tu majungu na ujinga alio karirishwa uko zamani eti jeshi bora , muuze jeshi bora kwa zana zipi labda?Jeshi bora zana blaza.
Nadhani bado upo kwenye de jure . Ningependa uelekeze hoja zako katika de facto . Wanajeshi wa Kizanzibari hawaitwi wazanzibari ni wanajeshi wa Tanzania . Hawa jamaa wana jeshi lao hiyo ni sifa ya dola .Wana serekali yao , Wana mipaka yao na watu wao ndio maana unatajiwa idadi yao na wana tamaduni yao lugha dini nk.Hayo unayokazana nayo ni de jure aspect ila in practice and real sense ni independent.
Federation inakuwa na serekali kuu na serekali za nchi zinazounda hiyo federation. Tofauti huja kisheria na kiutendaji juu ya kiwango cha mamlaka kati ya central gvt na nchi zinazounda federation na msingi wake ni historia ikihusisha sababu na asili utofauti au ulingano kati ya wanaounda huo muunganiko
Unaelewa maana ya kupoteza independence?Nadhani bado upo kwenye de jure . Ningependa uelekeze hoja zako katika de facto . Wanajeshi wa Kizanzibari hawaitwi wazanzibari ni wanajeshi wa Tanzania . Hawa jamaa wana jeshi lao hiyo ni sifa ya dola .Wana serekali yao , Wana mipaka yao na watu wao ndio maana unatajiwa idadi yao na wana tamaduni yao lugha dini nk.Hayo unayokazana nayo ni de jure aspect ila in practice and real sense ni independent.
Federation inakuwa na serekali kuu na serekali za nchi zinazounda hiyo federation. Tofauti huja kisheria na kiutendaji juu ya kiwango cha mamlaka kati ya central gvt na nchi zinazounda federation na msingi wake ni historia ikihusisha sababu na asili utofauti au ulingano kati ya wanaounda huo muunganiko
Wakenya wameshazoea ukabila huko kwao,na ndio maana akaona alete Mambo ya udini kwny hii thread akidhani atatugaws kwa misingi hio.dini zingine zipi? Si ndo huuo ukristo kutoka magharibi ambao baadhi ya waafrika wengi wana achana nao na kujiunga na makanisa mengine Kama yakina mwamposa na wengineo baada ya kuona makanisa Kama Roman yamepotea ya kanisani kusali na wachawi, walevi, mashoga ni kitu Cha kawaida. Hafu urusi haui anapigana Vita dhidi jirani aliyegeuka kuwa adui Sasa wewe ulitaka afanyaje kajaribu kumuonya jirani jirani kakaidi hivi Kati ya Hawa wawili Nani kakaidi totally maagizo ya Mungu yaani unataka kumuingiza Chaka jirani kweli Ukraine imekuwa taifa la hovyo. Imeagizwa mpende jirani yako Kama nafsi yako.Sasa ukraine kalivunja agizo totally bila ya chembechembe ya wasiwasi. Sasa Kati yao nani mbaya zaidi.
Wakenya wameshazoea ukabila huko kwao,na ndio maana akaona alete Mambo ya udini kwny hii thread akidhani atatugaws kwa misingi hio.
Mimi Ni mkristo kwa 100% na itabaki kua hivyo milele na milele na nina-support wanachokifanya Russia chini ya The Great CIC Vladimir Putin na Nina amini US na West ndio baba wa Maasi hapa duniani.
Au sio, haya tuletee evidence kama alizokupa Ask-Q hapo zikituonesha Chechnya sio region of Russia ila ni independent state.Kuna tofauti kati ya state na country ambayo una overlook ili uwe kwenye federation sifa ya kwanza lazma uwe independent .A colony therefore can not make a federation
Au sio, haya tuletee evidence kama alizokupa Ask-Q hapo zikituonesha Chechnya sio region of Russia ila ni independent state.
Simple and clear, Maneno matupu hatutaki.