LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mungu wetu awape hawa viongozi wa Russia na Ukraine moyo wa kutafuta suluhu

Acha ujinga,Wazungu nao zamu yao kuuana wenyewe kwa wenyewe!
Hii ni nafasi yetu waafrica kutoa SUPER POWER.

NB-hii Vita siyo ya Dunia,it is a civil war.
 
Tunawataka NATO wajitokeze.
 
Sawa. Ila Urusi hastaili kupewa sifa akimaliza kumpiga Ukraine, Ila Ukraine anastahili sifa kwa kupambana na Urusi mpaka muda huu sababu wote tunajua kuwa Ukraine ni mtoto sana kwa Urusi kijeshi.
ona hili nalo
 
Sawa. Ila Urusi hastaili kupewa sifa akimaliza kumpiga Ukraine, Ila Ukraine anastahili sifa kwa kupambana na Urusi mpaka muda huu sababu wote tunajua kuwa Ukraine ni mtoto sana kwa Urusi kijeshi.
Aliyeshindwa hana sifa, MAREHEMU HAWEZI KUWA SHUJAA. USHUJAA NI KUWA MZIMA.
 
Hahaha
 
Kuandaa jeshi la askari zaidi ya laki 1 na hamsini elfu unafikiri ni swala dogo? Unajua gharama ya kila askari na gharama ya vifaa vya jeshi vyote vilivyotumika katika vita hiyo? Kiufupi Russia ishatumia gharama kubwa toka iandae uvamizi mpaka leo na hali ilivyo ni tofauti na walivyotarajia. Hata week bado warashia washaanza kuingia barabarani kuomba vita isimamishwe kutokana na hali mbaya ya kiuchumi iliyopo nchini mwao. Sasa itapofika mwezi au miezi kadhaa ijayo sijui hali itakiaje huko kwao.
 
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Ila Urusi mpaka sasa hajachukua tu ile nchi, Ukraine anapambana kwa kweli. Kila nikifanya kazi nikasema nichungulie nakuta hadithi zile zile za Urusi ni noma, anamtandika Ukraine kweli kweli.
Kwani lengo la Urusi umeambiwa anataka kuchukua nchi, au kuangamiza silaha na kuzuia UKRAINE mpango wake wa NATO. JE hadi sasa amefanikiwa au bado??
 
Ana mweshimu mbabe mwenzie, hapo nakuusoma mchezo ili aujue uimara wa adui/hasimu na kuujua udhaifu wake.
Sasa vipi mtoto nanavyoungana na wasaliti kumhujumu baba na mama yake🤔
Baba hasifiwi kwa kumtandika mtoto.
 
Kwani lengo la Urusi umeambiwa anataka kuchukua nchi, au kuangamiza silaha na kuzuia UKRAINE mpango wake wa NATO. JE hadi sasa amefanikiwa au bado??
Lengo ya Urusi lipo wazi. Raisi Putin alishalisema. Bado hajalifikia.
 
Sidhani kama unajua ulichoandika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…