BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
KumekuchaThe main thing from the briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:
- The Russian Armed Forces destroyed a large batch of weapons and military equipment in the area of the Udachnoye railway station (DPR), including from the United States and European countries;
- The RF Armed Forces destroyed a temporary deployment point for foreign mercenaries and two MLRS batteries;
- Russian aviation hit the control point and radar of the Buk-M1 air defense system;
- Russian aviation destroyed more than 120 nationalists;
- Russian aviation destroyed two tanks, seven field artillery pieces and 11 special vehicles;
- Russian air defense systems shot down eight UAVs, including Bayraktar TV2;
- missile forces and artillery hit 13 command posts, 63 firing positions of artillery units of the Armed Forces of Ukraine, including seven MLRS installations and an electronic warfare station.
View attachment 2259335
Sasa wanajeshi wa Russia karibu elfu 27 wameuliwa na majenerali wao zaidi ya 25 wamekwenda na maji unakuja kujenga hoja kwa mwanajeshi 1 aliomba mwenyewe kuisaidia Ukraine? Ivi Putini amewalisha nini nyinyi proPutin? Je unajua yeye ameshawauwa warusi wangapi? maana operation inaingia mwezi wa 5 sasa.,
Achana na hawa warusi wengi wao shule hawajaenda wameshikilia elimu ahera ,eti kaweka kabisa kwenye mabano NATO ,yaan NATO ikigundulika kuingia direct Russia ana haki ya kuishtaki NATO ,huyo jamaa alijitolea tuu kama volunteers wengine wanavyojitolea upande wa Russia, NATO ikipata mwanya wa kuingia direct ,tungeanza kuona wakimbizi wa Russia kwa mara ya kwanza .tuombe vita imalizike salama maana ni vita vya wanandugu wawili .Sasa wanajeshi wa Russia karibu elfu 27 wameuliwa na majenerali wao zaidi ya 25 wamekwenda na maji unakuja kujenga hoja kwa mwanajeshi 1 aliomba mwenyewe kuisaidia Ukraine? Ivi Putini amewalisha nini nyinyi proPutin? Je unajua yeye ameshawauwa warusi wangapi? maana operation inaingia mwezi wa 5 sasa.,
Kuomba poo hawa wanaenda kumtuliza Zele . Watampa ukweli mchungu aachane na BidenItalian Prime Minister Draghi, German Chancellor Scholz and French President Macron intend to make a joint visit to Kyiv on June 16, Italian media reported.
View attachment 2259331
We jamaa wala hujifichi hoja zako tu utagundua kichwani hazimoAha! Wapi makubaliano gani, limsafara lililiwa lote kaangukia pua leo hii anahangaika na tumiji twa huko sijui wapi, alianza kwa mbwembwe ila kakuta amesubiriwa na kuchapwa za uso kishenzi.
Huto tumiji pia tumemsumbua kapoteza majenerali kama senene.
Ukraine anatakiwa akatae hizi silaha za msaada anazopewa na shoga yake USA maana zinamponza
Yaani anaakili kama wale wakata fensi wamezubazubaaa kitu kimepita muda ila yeye bado kinampa vaibu achana nae atapata sampuli yake wapeane michapo.We jamaa wala hujifichi hoja zako tu utagundua kichwani hazimo
Saaana shangazi, ukimwaga mboga wanamwaga ugali na ukizidisha chunvi wenzio wanazidisha pilipili. Huh damn na hii ni exclusive kwa Rafiki wa Russia tu.Dunia imerudi enzi za barbarians 🤣🤣🤣🤣bado uku kwetu yaani n mwendo wa nipige nikupige,weka nikuweke alii mtu.
Upo Tayari tuanze kujadiliana kuhusu Technology ya Navigation?Global Navigation Satellite System ni Navigation System ya Mrusi.
GLONASS position accuracy is 5-10m while GPS is 3.5-7.8m. Therefore, GPS outweighs GLONASS in accuracy as lower error numbers are better. As far as frequencies go, GLONASS operates at 1.602 GHz and GPS at 1.57542 GHz (L1 signal). When used alone, GLONASS doesn't provide as strong of coverage compared to GPS.
Soource: internet.
Shida yako Kiev igeuzwe geuzwe sio. Basi endeleeni kukaza shingo mtakipata.Hata mteke milioni moja au muue wote huko kwenye huto tumiji, ile tu kwamba mlishindwa kuteka Kyev pamoja na usupapawa wenu, ni ushindi mkubwa sana kwangu yaani nafurahi kichwa kinauma.
We jamaa wala hujifichi hoja zako tu utagundua kichwani hazimo
Shida yako Kiev igeuzwe geuzwe sio. Basi endeleeni kukaza shingo mtakipata.
Hili liinsha lote unamuandikia nani, hata haujui namna ya kupanga maneno, limeshikana lote haujagawa kwenye paragraphs, sijui uliishia la ngapi kielimu, limenichosha sijalisoma, kimsingi pointi yangu ni ile ile, hakuna nchi ya kumpangia mwenzake, hao Latvia leo Urusi hawezi kuwagusa maana ni wanachama wa NATO licha ya kwamba ni jirani zake.
Mkuu idadavue kidogoKuna watu hawajui hii kitu inaitwa GLONAS asee ni better than GPS ila kuna watu watakupinga. Nilikua naifuatilia hii glonas asee ni balaa GPS arud shule.
Sawa mkuu nimesitisha vita narudisha majeshi nyuma mpka hapo itakapo amriwaMkuu wacha kumfokea kijana ameshaomba msamaha.
Mkuu wacha kumfokea kijana kashaomba msamaha.
🤣🤣🤣🤣🤣Na raia wenyewe amkai kizembe zembe maana mnajua muda wowote kinanuka.Saaana shangazi, ukimwaga mboga wanamwaga ugali na ukizidisha chunvi wenzio wanazidisha pilipili. Huh damn na hii ni exclusive kwa Rafiki wa Russia tu.
Yanini Bibic wameishia kusema majeshi ya Ukrein yame furushwaMaBaada ya misaada yote aliyopewa kuangukia kwenye mikono ya askari wa urusi [emoji635][emoji635][emoji23][emoji3]lakn BIBISiI hamkutupasha juu ya uharibifu wa silaha uliofanywa na wanaume wa Urusi [emoji23]
[emoji115]maoni ya wabongo huko bbc