Hilo kwa waislam haliwezekani, kauli mbiu yenu ya kudai waislam wote ni ndugu ni ujinga uliopindukia.Mkumbushe Nyerere (mkristo) alikata mahusiano ya kidiplomasia na israel kutokana na uonevu anaowafanya palestina na alitamka wazi wazi
Hilo kwa waislam haliwezekani,kauli mbiu yenu ya kudai waislam wote ni ndugu ni ujinga uliopindukia.Mkumbushe Nyerere (mkristo) alikata mahusiano ya kidiplomasia na israel kutokana na uonevu anaowafanya palestina na alitamka wazi wazi
Hizi issue za dini tutumie busara tuziache, tusikashifu Imani za watu. Hiyo kauli yenyewe unayotolea mfano inaonesha huijui maana ake so probably ni kama umekurupuka hivi.Hilo kwa waislam haliwezekani,kauli mbiu yenu ya kudai waislam wote ni ndugu ni ujinga uliopindukia.Hata uwe jambazi,muongo,mnafiki wewe ni ndugu yao, we vaa baraghasia,kanzu,kilemba na salam alleykhum nyingi basi uko salama.Wakristo hatuna ujinga huo.
Kwamba Polepole ndio ana sifa gani?Naiona gold iliyopo kichwani kwako,dhahiri inaonekana ulikwenda shule(haukupita tu).
Kingine mnafanana kimaudhui na POLEPOLE(ambaye mimi ninaamini) hakuna mtanzania anaweza shindana naye kwa hoja na ukamshinda
Ahsante kiongoziOperation inaendelea.
====
Kuna video ya dakika kama 5 hivi kwenye link hii ikionyesha operation yenyewe
Ahsante kiongozi kwa somoWakati wa Cold war..ndio alikuwa intelligence analyst. Na akapamda kuwa Chief spy ..... Wakati unavunjwa ukuta wa Berlin .. ndio alikuwa Chief spy of West Soviet..... Nyie... Nyie ....
Na alipiteza doxui zote na akatoroka .... Nyie nyie .... Someni muelewe
Kiongozi kwa sehemu kubwa Economic sanctions za NATO kwa mwamba zimefeli na wasipo jipanga mapema hao allies wa USA watapata madhara ya kiuchumi miongo kazaa ijayo.Soma komenti na. 50145
Huko Quora haupo peke yako kijana,Nimewaambia mimi kuna mtandao nabishana na waarabu na warusi sembuse nyie mnaoshindia ubwabwa na kusklizia vijiweni.
Napambana na waarabu wenye dini yao, sio nyie wa kuletewa tu.
Kumbe kazi yako ni kubishi tu!! Bishi sasa kuwa Ruble ina imaarika kwenye mfumo wa kifeza Duniani.Nimewaambia mimi kuna mtandao nabishana na waarabu na warusi sembuse nyie mnaoshindia ubwabwa na kusklizia vijiweni.
Napambana na waarabu wenye dini yao, sio nyie wa kuletewa tu.
Elezea huo ukweli, ili nikuumbue
Uko nje ya muda mkuu. Uarabu uizungumziayo Leo Ni allies was Us karibu wote. Rudi katika vyanzo
Huko Quora haupo peke yako kijana,
Kule pia mnakula za uso kutoka kwa kina Alex Kolorev, Russian Bear, Oleg kolkov na Duma kolarev ambaye alikuwa former Senior propaganda officer na wenzie halafu unakuja kujisifu huku.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wakenya huipaka matope Tanzania kule Quora pia
Kumbe kazi yako ni kubishi tu!! Bishi sasa kuwa Ruble ina imaarika kwenye mfumo wa kifeza Duniani.
Hivi kumbe nina fuvu jingine tena!!?? Asante msomi kwa kunitoa gizaniKwamba Polepole ndio ana sifa gani?
Hakika kazi ya fuvu Lako la kichwa Ni kuyashikilia meno tu.
Mkuu angeamua angepiga dude moja tu pale kila kitu kingeisha yeye anapiga kwa akili hataki kuuwa raia wake yaani Raia wa UkraineKama mimi shabiki wa Kagera sugars, siku wanakuja Liverpool kucheza dhidi yetu, nitakua najiandaa akilini tunafungwa mabao yasiyopungua 30, ila mpira unangia kwenye kipindi cha pili tumefungwa mbili tu, na Liverpool wamebadilisha wachezaji hadi basi, wamejaribu mbinu zote aisei mbona kwangu mimi huo utakua ni ushindi tena wa mbali sana.
Acheni mzaha bana Urusi hii hii ambayo siku zote nilikua naiogopa, walipoanza haya mashambulizi kwa kweli nilijua Zelensky analiwa ndani ya siku tatu, nilijua wataifunika Kyev ndani ya wiki, maana Urusi ilikua inasifiwa sana na ulimwengu haswa waarabu na dini yao waliitegemea sana, kumbe useless kishenzi tupa kuleeee
πππππ Pro NATO mandezi kweli yani, wameandaa shughuli wakitegemea michango ya majirani ndio wapike menu. Matokeo yake michango inahujumiwa shughuli haiendiNi sawa na uandae sherehe afu msosi utegemee kwa jirani[emoji28]
Kaamua kujialika kwenye futari[emoji28]
Tatizo la kulelewa masaki ndio hii hajui maisha ya mtaani yule comedianπππππ Pro NATO mandezi kweli yani, wameandaa shughuli wakitegemea michango ya majirani ndio wapike menu. Matokeo yake michango inahujumiwa shughuli haiendi
Wembe ni ule ule kuwalipisha rubles mpaka watie akiliπππVikwazo vimeshindikana
Vita wameshindwa.
Sasa,wategemee Putin kutoa masharti magumu ambayo yatawaumiza Sana.
Hahahahah Putin ni mdeadly, NATO wamepoteana kila mmoja anamlaumu mwenzie tu hasa Mmarekani kuwa ni boya kawazingua wenzieπTatizo la kulelewa masaki ndio hii hajui maisha ya mtaani yule comedian
Ila Manigga Putin anayajua maisha hayo.
NATO hawana budi maana Urusi kawabana kende, imagine mtu anashikilia uwezekano wa kuwasha umeme kwako akikubania Nuclear reactors unabakia gizaniπππ utafanyaje?Mwishowe kuna upande lazima ukubali kupoteza ili vita isimame.