Msaada wa nini unaoombwa na Rais wa Ukraine kama anaimudu URUSI. Nyie ndio mnachochea vita, hakuna njia sahihi ya kumaliza mauji kushinda MAZUNGUMZO.Warusi convoy zao zina nyanyaswa na haka kadude kadogo tuView attachment 2135256
Kuamini!! Hakuna suala la Imani hapa bali ni uhalisia, na huo ndo uhalisia wenyewe.Kwa akili ya kawaida tu unaweza kuamini kilichosemwa hapo.hakuna mwenye akili iyo hata robo sizani kama wamefika
Hakuna mchochea vita jfMsaada wa nini unaoombwa na Rais wa Ukraine kama anaimudu URUSI. Nyie ndio mnachochea vita, hakuna njia sahihi ya kumaliza mauji kushinda MAZUNGUMZO.
We kiazi kwani uyo Belarus anae msaidia urusi kaombwa na naniMsaada wa nini unaoombwa na Rais wa Ukraine kama anaimudu URUSI. Nyie ndio mnachochea vita, hakuna njia sahihi ya kumaliza mauji kushinda MAZUNGUMZO.
Mmepagawa na kichapo sasa mnaimbishwa chenja tu. Mbuzi nyie.We kiazi kwani uyo Belarus anae msaidia urusi kaombwa na nani
HahahaHapa anatuma ujumbe mnono kwa mabeberu na vibaraka wao🏃♂️🏃🏃♀️
Hapa upo sawahakuna njia sahihi ya kumaliza mauji kushinda MAZUNGUMZO.
Ni Vile tume subiri. 2 powerful military iichukue kiev hadi tume choka bwana putin kasha dataURUSI anatembeza kichapo, UZI umekimbiwa na wale PRO-NATO ngozi ya TAKO
Ila katika mazungumzo hayo shurti mabeberu wa ulaya na Amerika washiriki ili wajue kwanini waliemchuuza kapewa kichapo🤔Hapa upo sawa
Anachotaka ni dawa iwaingie mabeberu tartiibu pamoja na wote wanaokubali kutumiwa kuwa hujumu Russia na uchinaNi Vile tume subiri. 2 powerful military iichukue kiev hadi tume choka bwana putin kasha dataView attachment 2135260
Waambie sasa watoke barabarani wapambane na Panya Road uone shughuli yake.[emoji1787][emoji1787] wachambuzi huru mkiendesha vita
Unaweza kuta mabeberu hawajali kichapo anachokula ukrane, ukute kuna mambo yao tu wanapima na wasingeweza bila urusi kupigana, sasa wanafanikiwa na wanapata na bonus ya adui yao kupata vikwazo.Ila katika mazungumzo hayo shurti mabeberu wa ulaya na Amerika washiriki ili wajue kwanini waliemchuuza kapewa kichapo🤔
Watakwambia Urusi ni Noma,anakichafua haswa😂😂😂 masaa 24 na leo ni ijumanne!!!
Hii vita ya Russia na Ukraine inanikumbusha lile pambano la Lenox Lewis na Hashim Rahmani lililofanyika Afrika kusini miaka kadhaa iliyopita. Katika pambano lile Lewis alionesha dharau ya hali ya juu kwa Hashim, mpaka akafikia hatua ya kulilaumu shirikisho la ngumi duniani kwa kumpambanisha na chekechea (hashim) ambae angeweza kupambana na watoto wenzake huko mitaani. Wakati wa kuingia ulingoni (kabla ya pambano) Lewis alimsogelea Hashim akamuuliza unataka nikutwange ktk round ya ngapi.. ya kwanza, ya pili au ya tatu? Alipoulizwa swali hilo Hashim hakujibu kitu, basi Lewis akamwambia kwa vile dogo wewe ni jeuri, nakuahidi kukuadhibu katika round ya pili tu ili niwahi kwenda kupumzika na familia yangu. Basi pambano likaanza kila mtu akionesha hofu kwa kipigo kibaya atachopata Hashim kutokwa kwa Lewis. Hee kufumba na kufumbua Lewis akajaa kwenye himaya ya Hashim huku akiwa kasahau kulinda chaga (mbavu), Hashim hakutaka kuipoteza hiyo nafasi, akaingia na left hand kuichokonoa chaga ya adui, Lewis baada ya kuhisi chaga zake zimechokonolewa na dogo ikabidi ashushe gard kulinda chaga huku akiwa kasahau kabisa ulinzi wa sura, dah dogo akapata nafasi ya kucheza na sura ya mtu mzima kama vile achezavyo na panch bag. Mara mtu mzima Lewis chaliii, refa anahesabu mpaka kumi Lewis kalala tu kama gogo, dogo Hashim ikabidi apewe ushindi mnono wa nock out. So hata hii vita isije kuwa kama lile pambano la Lewis (urusi) na Hashim (ukraine) tukaja kusikia mtu mzima kazimishwa ugenini na mdogo wake.Hajamaliza kazi tu Putin? Bado yu ngali apiga?