Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Your browser is not able to display this video.


If you’re looking for media objectivity, best not focus on the West’s portrayal of Ukraine – Moscow


Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova lambasted Western media for its partisan coverage of the conflict in Ukraine.


However, in response to a question from RT, Zakharova praised “African and Asian countries,” for their objectivity while reporting on ongoing operations.

“I can see [that] this balance of presentation in African and Asian countries that have this desire to present a different point of view in shedding light on the situation […] There is an understanding that this is a complex situation,” she said during the St Petersburg Economic Forum.
 
Aiseeee
 

Ha ha ha!! Nimecheka sana, ila ndio ukweli ambao hawataki kuuskia, kuwa pro-Russia au Ukraine sio issue kimsingi unafanya kwa hoja zako bila kushikiliwa akili kidini. Sasa wenzetu yaani sio maofisini, mitaani, humu kwenye mitandao wote wanatia huruma.
Kuna mmoja mshikaji nilikua nachat naye akawa ananiambia kwanini anatamani Ukraine ipigwe, nikamhoji maswali machache yaani haijui Ukraine kwa chochote, kashikiliwa akili tu kaskia huko msikitini sijui Ukraine ndio chimbuko la mashoga.
 
Inaweza isiwepo!!!!!!
 
Hapo mwanzo hawakulaan wala kusapot lkn sasa wanasapot laiv bila chenga inaonesha moshi mweupe umeshaanza kuonekana.
 
Kibabeeee sanaaaaa.....
 
Kwani Russia [emoji635] ni nchi ya kiarabua/kiislam kama unavyofosi mambo kuwa? Ni kweli kuwa wapo waliokerwa sana na uvamizi wa USA [emoji631] huko middle East na wanaona ni kipindi kizuri sasa Russia [emoji635] arudishe "fadhila " upande wa pili.

Lakini pia USA pamoja na yote ni taifa linalochukiwa sana na Pro-Arab, that's a fact. Na ukristo wangu pia siipendi USA kwa tabia yake ya kuingilia mataifa mengine, sasa kwa vile Russia nae anafanya the same, its just a "copy and paste" from what the Americans do, nyie mnaoionea huruma Ukraine mnatakiwa mtulie na mnyolewe kwa kisu huku mkisiliizia maumivu na damu zikiwatoka taratibu.

Unapoharibu ni pale unapofosi kuwa issue ipo kidini, kila mtu anaruhusiwa kuegemea upande anaoona unafaa, iwe kwa sababu yoyote ile.

Ni sawa na unapotuambia kuwa kuoa wake wawili ni dhambi, lakini upo busy kufundisha watoto wetu from tertiary age kuwa, kuwa bwabwa ni sawa tu(huu ni mfano ambao upo huko)
 
Dah! Hiyo kauli inaleta picha kwamba lengo ni kufuta kabisa ile nchi, sipati picha wale Raia walioondoka nchini UKraine itakuwaje?
Ardhi haitafutika ila jina Ukraine litaweza futika. Nchi hufutika kwa kumezwa katika miungano ama kumegeka na kuundwa mataifa mengine. Kwa mf huenda tukawa na mataifa mapya huko DONBAS muda si mrefu
 
Bado namuombea Putin ashindwe ila Kila nikisubiri habari yenye mashiko yenye matumaini ya kumuangusha atoke Ukraine nakutana na habari ambazo sioni kama zinaweza kufanikisha hilo. NGOJA NISUBIRI.
👏 kwa Ukraine kwa kuifanya OP iwe ndefu japo najua bila msaada ingekuwa fupi. Still 👏👏👏👏👏

Habari kama hizi ndo nakutana nazo.
 
Neno la Mungu linasema aliyenecho huongezewa. Urusi ataongezewa.
Mungu akikuona unasumbua wenzio anakuondoa mfano tu tulikuwanao hapa Tz last year tu.Putin anaondoka for sure asitusumbue sisi wa ukraine hata kidogo na Tz mpaka tunapata shida ya inflation ,mafuta kupanda nk.Hiltler Mungu alimwondoa faster dunia ikastabilize in 1945.Nyie nidharau tu but after this year mtaona.Mungu awezi kuacha mtu mmoja akasumbua dunia kwa sababu zisizo za msingi
 
Unaamini wanamuamini mungu wako?
Wapo clear. Ni nini wanachoamini?
Mungu wangu ni mkubwa sana my mkuu .Usidharau mtu kwa kuwa wewe una machine gun au matrekta ya vita ya mabilion.Ingekuwa hivyo udogo usingemeza watu mashuhuru na waliokuwa na nguvu duniani,Mwache Mungu aitwe Mungu ,kifo kinawameza uwe tajiri ue mbabe ue na manyuklia end of hman being KIFO.Mwache MUNGU Aitwe MUNGU hata kama sio wao but GOD of this universal will not allow this to continue beyond this year or month.
 
Mungu siyo UPOPO. Halafu Mungu siyo Mama Ngina. Nyie wakenya mnashida sana.
 
Mbona USA na udhalimu wake bado anaitawala dunia, tena kwa kumwaga damu?
 
Finland is going to demolish the monument to Lenin because of the country's plans to join NATO.

This is reported by the British newspaper The Independent.

The monument was erected in memory of those killed in the Soviet-Finnish war and, as the article says, is considered offensive. It is alleged that after dismantling the monument will be transferred to the museum.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…