Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anzisheni uzi wenu wa ISA na hizo nchi tuachieni Urusi na Ukraine
Msiingize matango pori hapa
Na hoja zetu zimeathirika na historia. Twajiuliza upekee wa Ukraine ni nini?. Wamebeba ujumbe gani kwa ulimwengu huu unaopelekea kutetewa kwa uchungu kiasi hiki.
Kinachoshangaza sisi tuna huruma kwa waukraine kuliko hata wao kwani Kate waendapo ni shida.
Je tukitaka kuzungumza amani yafaa tubague Congo na Yemen sio binadamu?. Na tukitaka kumnyooshea mmoja kidole je mwingine tumuache eti kafanya zamani?
 
Sawa Ukraine ni wababe na watamshinda Russia wakisaidiwa na NATO.

Mbona walishashinda kitambooo.. ile kwamba imemchukua Urusi zaidi ya siku 100 na Zelensky bado ndiye rais wa Ukraine, huo ni ushindi mkubwa sana, licha ya hasara yote aliyopata Urusi na anayoendelea kupata, supapawa la hovyo sana, sijui kwanini waarabu na waajemi walikua wanalitegemea.
Ni dhahiri sasa hivi dunia tumeanikwa vibaya sana, Marekani ameachwa bila mbabe.
 
Si kwa kukosa kwako usingizi hivi loh🤣🤣🤣. Kila siku usiku wa manane uko macho unaomboleza. Pole mkuu.
 

Siku ingine jitahidi sana watu wasijue hamnazo hata kwa kukaa kimya tu - sio kila jambo ni la kutolea mawazo hata kama una uhuru wa kufanya hivyo! Aibu kama hii inaweza epukika kwa siku ingine!!!!
 
Subiri Putin afunge hilo bomba Kwa sababu ya damage iliyotokea halafu ulaya wanaelekea kipindi cha baridi watanunua gas mara tatu ya bei wanayonunulia sasa
 
Hio Kiev ina nini cha maana? Ushajiuliza hilo swali?
 
Siku ingine jitahidi sana watu wasijue hamnazo hata kwa kukaa kimya tu - sio kila jambo ni la kutolea mawazo hata kama una uhuru wa kufanya hivyo! Aibu kama hii inaweza epukika kwa siku ingine!!!!

Aha ha!!! Aibu mnayo nyie mlioshindwa kuteka kataifa jirani licha ya kupoteza majenerali na hasara za kila aina, yaani sio furaha nilio nayo hapa.....poleni tatizo mlichagua kushabikia supapawa wa hovyo, hata waarabu na waajemi watamhama Huyu.
 
Awezi kusema wamekufa wengi maana anaogopa kuwatisha zaidi NATO na USA wasije wakaogopa kumpatia siraha na wanajeshi Zelensky, pia inaweza kuwavunja moyo wanajeshi wao na kuwatia nguvu wanajeshi wa urussi.....majuzi karopoka ukweli kidogo kuwa wanajeshi wanaokufa kwa siku ni 60 hadi 100 sasa fanya hesabu 100 x 120 = wanajeshi 12000 wamekufa na majerui ni kama 85000 hivi ila ukweli ni kwamba wanajeshi zaidi ya 48,000 wa ukrain wamesha kufa mpaka sasa
 
[emoji1787]
 
USA ikivamia sehemu RUSSIA akasaidia adui marekani hushindwa...
Russia akivamia marekani akiingilia upande wa adui, Russia hushinda ...
mala hii Russia kavamia Ukraine, marekani na washirika wake wote tena wenye nguvu kijeshi wanasaidia ukraine na bado progress inaendelea...
Russia akimaliza kwa kuchukua ardhi ya ukraine mimi John Issa, ntaelewa kuwa Russia ndo yenye NGUVU kijeshi kuliko taifa lolote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…