Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

9.9 [emoji41]
 
Wap Ukraine imetoa tamko la kujivunia?jamii ya kimataifa ndo tunashangazwa na Uwezo wao wa kuwapush back nchi kubwa kama Russia.Tulitegemea pia Russia ilitegemea kuiangash ndani ya mwezi.maajabu Russia ndo anarudishwa nyuma saiv.
Kwan hadi sahiv asingekuwa anasaidiwa na nato na usa angekuwapo?
 
NATO wanangojea nn wakamzuie !!!??
 
Mrusi anabomoa majengo, mitaro ya maji safi na taka... huu si ubinadamu. Vita imegeuka ya kuharibu miundombinu na majengo, this is not acceptable; kimataifa Putin kachemka vibaya sana.
NATO mnangojea nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulieni dawa zisambae vyema
 
Better yet alichokifanya na anachokifanya Putin kime prove maneno ya Nyerere na JPM uchumi wa kijamaa unao jitegemea. Alichonacho awe valued kulingana na utajiri wa rasilimali,vivutio na maeneo yake sio kuprint pesa kitapeli wakati huna lolote Bali siasa. This time round, dunia inabadilika sasa kutoka kwenye paper nakurudi kwenye assets kama madini, wanyama, ukubwa wa maeneo nchi kavu na bahari.
 
Yaan wanatakiwa wafe kwawingi sana
Ua hao UKRO NAZI wote[emoji23][emoji16][emoji3][emoji35][emoji35]
 
Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.

Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
Acha awaue watazaliwa wengine
Ua hao UKRO NAZI[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Ila huyu jamaa bana[emoji16][emoji16][emoji16]
VIVA RUSSIAAAAAAAAA
 
Nimejifunza mengi sana katika mgogoro huu . Nilijua toka awali Russia ina nguvu ila sikujua kama inategemewa kiasi hiki na mabeberu. Russia akaze kamba US na mifumo ya dunia ibadilike . Ni wakati wa kuyaminya makupe ya dunia
Kabisa MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…