Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mi pia I wish Africa ingesimama,nikikumbuka alivyosimamia corona kivyetuvyetu na akatoboa yaani angekuwepo nchi ingekua imechangamka.
Ila 😂😂😂😂🙌 tungekua kama zimbabwe na Comrade Mugabe.
 
Kwa kweli binafsi sina Mpango wa kumkumbuka huyo unaemuita mwamba.
 
View attachment 2264225
The Bear, Mpole ila mkali sana ukimchokoza.

Yes, In English wanamuita Bear, Huku waswahili tunamuita Dubu. Kwa kirusi anaitwa "Medved"...

So there you know maana ya Jina la Mtata wetu Medvedev ni the Bear.
Mnyama mkaliii wap ile picha ya kibabe yaani mi nikiikumbuka nacheka peke yangu mara chache ukitupia vitu iweke na ile.
😂😂😂😂😂😂Pro nato wajinyonge vizuri.
 
Ukishamaliza tunasema UKRAINE waendelee kupigwa na kuteseka haswaaaaaa
PUT IN aendelee kuwafinya HASWAAAA
 
Jews halisi nasikia ni sisi sema hatupendagi show off [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah shangazi, kama wewe sikatai ha ha ha... Ila sio zile mbuzi za mchongo za kule Israel...

Nyanyuka hapa waulize wa wa marekani halisi Jews ni akina nani jibu utakalopata so poa. Utasikia Jews Pig Fu* dem to Hell [emoji41]

Hao ndio wameharib ustaarab wa dunia kupitia mgongo wa US.
 
Naunga mkono hili wazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…