Subiri wenye nchi Yao wanaoishi huko membe waje wakumwagie mapovu kuwa hao ni warussia na si Ukrein 🤔🤔🤔Kalibr Missile limeangamiza Mageneral 50 plus other Ukr military leaders leo...
How could these targeted fools accumulate in one place?????
LoL !Wale wanao post Generali mmojammoja wa Russia anapokufa, sasa wapost hili kundi zima la Ukraine lililo angamizwa kwa pamoja
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Big loses today for the western mercenaries in Severodonetsk, friendly fire , shit show , killed SAS sniper , American mercury from New York , Aidar commander and his troops surrendered
https://www.facebook.com/
👏👏👏👏🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪‼️👴US President Joe Biden said that he is aware of the three Americans who disappeared in Ukraine, and urged American citizens not to visit Russia‼️
By ''visit'' he was meaning ''don't go to fight against Russia as mercenaries,because if you are captured no help coming...
Basi nahitimisha kwa kukuambia kwamba katika Thread hii Pro Russia ukweli mmeonesha uwezo mkubwa usii na kifani katika ufahamu wa mambo,ujengaji wa hoja,upanguaji wa upotoshaji, kumudu mijadala na kuchambua mambo mbalimbali..Hapana mwamba, Hii sio mara ya kwanza nakumbuka mwanzo mwanzo thread bado mbichi mlisema hivi. Malcom Yule anaonekana mtu mzima sana. Bora mie huyo Ask-Q ndio kabisa bado chalii sana.
Umeelewa lakini alichosema![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123]
Dunia imeshajua nani mbabe.
Wewe mtu unakatazwa hata kusogelea TU eneo la vita.
Hebu fikiria kama wamarekani wamesamabaza majeshi na masilaha Dunia nzima,Leo wanakatazwa hata kusogelea TU uwanja wa vita.hivi pro USA hamshituki tuu.
Kila sehemu yenye mgogoro wanajeshi wa USA wapo.
Walienda Iraq,Lebanon,Kuwait, Afhanistan,Syria,Kosovo,na vi nchi vingi TU.
Leo wanakatazwa askari wa USA wasisogelee kabisa eneo la ukraine.aisee.yaani wasisogeze kabisa Ukraine.
Russia wameionya BBC juzi kuwa hii sio vita,hii ni op.
Hii kauli ilinitisha sana.
Mimi kweli naona ni vita, wenyewe Urusi wanasema hii sio vita.sasa kwao vita inakuwaje?
Nimeogopa.huenda Hawa Wana silaha ambazo hazipo Dunia hii.
Sisi Kama wa Ukraine tunaomba picha.Kalibr Missile limeangamiza Mageneral 50 plus other Ukr military leaders leo...
How could these targeted fools accumulate in one place?????
Hata mimi nimeshikwa na wasiwasi kuwa Russia wana zana za kivita ambazo dunia haijawahi hata kuzifikiria kuwa zipo.........maana ukiwa hii bado ni military operations huo mziki wa vita kamili sijui utakuwaje,kimsingi wacha inyeshe tujue kunapovuja japo mpaka muda huu dunia imeshapata mbambe alie dhahiri sio yule wa mchongo na printers zake👏👏👏👏🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪
Dunia imeshajua nani mbabe.
Wewe mtu unakatazwa hata kusogelea TU eneo la vita.
Hebu fikiria kama wamarekani wamesamabaza majeshi na masilaha Dunia nzima,Leo wanakatazwa hata kusogelea TU uwanja wa vita.hivi pro USA hamshituki tuu.
Kila sehemu yenye mgogoro wanajeshi wa USA wapo.
Walienda Iraq,Lebanon,Kuwait, Afhanistan,Syria,Kosovo,na vi nchi vingi TU.
Leo wanakatazwa askari wa USA wasisogelee kabisa eneo la ukraine.aisee.yaani wasisogeze kabisa Ukraine.
Russia wameionya BBC juzi kuwa hii sio vita,hii ni op.
Hii kauli ilinitisha sana.
Mimi kweli naona ni vita, wenyewe Urusi wanasema hii sio vita.sasa kwao vita inakuwaje?
Nimeogopa.huenda Hawa Wana silaha ambazo hazipo Dunia hii.
Rafiki nikuambie kitu?Kalibr Missile limeangamiza Mageneral 50 plus other Ukr military leaders leo...
How could these targeted fools accumulate in one place?????
Kweli kabisa Mkuu,Hata mimi nimeshikwa na wasiwasi kuwa Russia wana zana za kivita ambazo dunia haijawahi hata kuzifikiria kuwa zipo.........maana ukiwa hii bado ni military operations huo mziki wa vita kamili sijui utakuwaje,kimsingi wacha inyeshe tujue kunapovuja japo mpaka muda huu dunia imeshapata mbambe alie dhahiri sio yule wa mchongo na printers zake
Wakirusha na moja kule Kongo walikovamia M23 itakuwa poa sana[emoji298]️Over 50 Ukrainian generals & officers reported killed in #Russia/n missile strike that hit the compound where the commanders gathered for a meeting. #Moscow seems to be getting down to its promise to start targeting "decision-making centers"
Comrade,upepo wa Dunia umegeuka ghafla.Hili nimewahi kulisema humu few weeks ago,naona yametimia,alafu serikali za ulaya huenda zikaanguka kwa maandamano.
In middle 1980s, niliwahi kusikia stori kuwa Russia (USSR at that time) alikuwa na silaha inayoweza kuwauwa wanaume tu wanawake ikawaacha.Hata mimi nimeshikwa na wasiwasi kuwa Russia wana zana za kivita ambazo dunia haijawahi hata kuzifikiria kuwa zipo.........maana ukiwa hii bado ni military operations huo mziki wa vita kamili sijui utakuwaje,kimsingi wacha inyeshe tujue kunapovuja japo mpaka muda huu dunia imeshapata mbambe alie dhahiri sio yule wa mchongo na printers zake
Kweli kabisa Mkuu,
Marekani hii tunayoijua Dunia nzima,ndio ya kukataza wanajeshi wake wasisogeze kabisa eneo la Ukraine,kwa sababu Urusi IPO na inampiga nchi kipenzi Chao Ukraine.
Hapana Kuna jambo haliko sawa.
Kwa Mtazamo wako sawa,lakini kwa sisi wajuzi wa mambo hayo huo ni udhaifu mkubwa mno wa USA dhidi ya Urusi katika sekta ya jeshi.Umeelewa lakini alichosema!
Afu Kuna sehemu umesema kila sehemu US ana wanajeshi, hiyo itoshe kukuonesha kwamba US ni dude kubwa sana. Hakuna ambae anaweza kujigawa hivyo duniani kwenye nchi zote hizo na base zake na bado akawa strong.
Hizi ndizo story za kwenye kahawa ambazo huwa tunasema[emoji16]Kwa Mtazamo wako sawa,lakini kwa sisi wajuzi wa mambo hayo huo ni udhaifu mkubwa mno wa USA dhidi ya Urusi katika sekta ya jeshi.
Unajua sababu ya USA kisambaza silaha Dunia nzima?
Sababu usa ana silaha ambazo haziwezi kupiga masafa Marefu ukilinganisha na za Urusi.
Urusi ndio nchi pekee duniani Ina makombora ya kupiga mbali zaidi kuliko kombola lolote lile la USA.
Kwa muktadha huo Urusi Hana sababu ya kuwa na ma base mengi sana duniani wakati anaweza akaifikia nchi yoyote akiwa kwake.
Urusi ana ndege vita inayopaa juu zaidi kuliko ndege yoyote na hakuna kombora lolote la Adui linaloweza kuifikia.ndege hiyo pia inaweza kwenda umabli mrefu zaidi bila kuongeza mafuta ikashusha mabomu ya nyukilia na kurudi.
Kwa hiyo kuwa na makambi mengi ni matumizi yasiyo na lazima ya fedha za walipakodi.
Hutaki acha.
Akili yako kwenye kuchanganua kitu bado Sana jitahidi jitahidi utakuwa vizuri nakuombea mungu uwe vizuriHizi ndizo story za kwenye kahawa ambazo huwa tunasema[emoji16]
Wewe unahisi US ni dhaifu, Ila Putin hawezi kufikiria hivyo.
Labda tukumbushane si urus ilisema atakae toa misaada atapokea kichapo cha moja kwa moja? Vipi Kuna bomu lishatua US!
Na je unaiona marekani ikiacha kutoa misaada Ukraine? Unafikiri ni kwanini mpaka sasa hajachapwa?
Unahisi wewe unaijua urusi zaidi ya marekani?
Timizeni kwanza mliosema, then ndio mseme marekani ni dhaifu.
US yeye alisema urusi ikipiga hata nzi kwenye eneo ama nchi yoyote ilio chini ya NATO basi atakiona, vipi urusi kashapiga?
Hivi huoni mpaka sasa marekani ni mbabe maana anasaidia hata mtu asie muhusu, vipi ikitokea yeye kaguswa, itakuwaje[emoji16]
Mwisho, acheni story za kahawa, watu hizo ndizo kazi zao, assignments zimefanyika miaka na miaka na wameona wanaweza kupambana na urus, huwezi kumtaka mtu usie muweza.
Kwani we ulitegemea urusi kutoka jasho hivi?