Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👏👏👏👏👏👏
Tuko pamoja kiongozi katika kuelimishana.
Endelea kumwaga knowledge mazee.
 
Blackjack haiifikii hata B-1B lancer kiuwezo
 
Wale wanao post Generali mmojammoja wa Russia anapokufa, sasa wapost hili kundi zima la Ukraine lililo angamizwa kwa pamoja

Sahv wameukimbia nafikirii wameanza kuelewa hali halisi ukraine walijazwa sana propaganda ndugu zetu. Kuja tu kwenye huu uzi ni aibu ila utawakuta kwenye baadhi ya thread ambazo za kuiponda Russia ila huku washakimbia[emoji3][emoji3]
 
Hizo za kuprint!!?? Hata zimbabwe waliprint....
 
Serikali ya tanzania inatumbo kubwa siyo mkono mrefu
 

Dogo bado mweupe sana kichwani hio bajeti ya Urusi inaenda sawa kabisa na US, kwakua ubongo wako umejaa kamasi acha tukuache. Unajua US nusu ya hio bajeti anatumia kwenye kununua malighafi za kutengenezea silaha? Ana import.

Unajua Russia malighafi zote anazo za kutengenezea silaha unafikir bajeti zitakua sawa? Ulishakaa ukajiuliza kama Russia akiamua kudouble bajeti yake unafikiri nini kitatokea??.

Nakupa mfano rahisi kabisa, wewe unazalisha chuma mimi sina chuma nategemea kununua ili nitengeneze bidhaa. Wote sisi ni watengenezaji wa bidhaa unafikiri bajeti yangu na yako zitakua sawa???.

Unafikiri kwanini bidhaa nyingi kutoka Russia ni cheap na zina quality??
 
Hichi kizee si kitulie mbona kina mapepe sana
Dunia ya sasa hivi marais wanao jidai siyo madikteta ni kituko kwelikweli ...kizazi cha marais wapumbavu kabisa kinaibuka kwenye hiyo team ..hata hapa tz tunayaona sijui uchifu sijui Royal tour ...ujingaujinga na upuuzi tupu sasa huyo rais wa marekani siyo timamu kwenye akili yake hata pentagoni imeshatambua tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…